Ule upendo wa kweli bado upo?

Ule upendo wa kweli bado upo?

Everyone stays quiet just to catch someone’s attention, waiting for the other person to text first, because being the first to text makes you look like you don’t have options.
Being the first one to text inakufanya uonekane desperate sana na huna option nyingine
Ila Sasa hapo Kila mmoja akishikilia ego yake ya kukaa kimya Kuna Nini kinachofuata?
😄😄😄 Hii Dunia ngumu
 
Umenena vema mkuu,kinaanza na sisi
Tunajipa mema,upendo tutajipa lakini kutafuta Kwa mwenzio ni vibaya?
Lakini Watu wanahitajiana.
Nikisema mnajipa umuhimu msiokuwa nao nakosea 😅! Watu wapendane jamani furaha ya peko yako ipo ila haitoshi, inakuvusha vipindi flani flani tu baada ya hapo utahitaji tu mtu mwingine akupe kampani
 
Ndiyo
Tunahitaji pia Ile mutual love
Kwamba ikiwa binadamu unajipenda sana ina maana kwamba huihitaji kupendwa na mtu mwingine? Nina maswali mengi kuhusu hii self-love

Vizuri ✌️ , kwa maana ya kwamba kuna nafasi ya kuongeza upendo wa watu wengine, right?
 
  • Thanks
Reactions: ---
Back
Top Bottom