ShesRise_1
JF-Expert Member
- Aug 21, 2025
- 20,090
- 47,075
Wewe mwenyewe hujanielewa broKwanini umpende mtu ambaye tayari ni mtu wa mwingine?
Kama ukisoma ile reply yangu niliyo ku-quote utanielewa.
Upendo wa kweli ni kujipenda mwenyewe. Haina sababu ya kulia kilio cha mbwa koko baada ya kuangukia kwenye upendo usio sahihi.
Mtu wa mwingine sio lazima ujue wazi kuna mtu ana mpenda yeye ndiyo anajua
Mleta mada hajaongelea kujipenda kaongelea mtu A kumpenda mtu B
Tujifunze kuelewa mada