Sister Abigail
JF-Expert Member
- Sep 2, 2020
- 4,100
- 12,760
- Thread starter
- #61
Tufanyeje Sasa..Kabisa mkuu. Binadamu ambaye sio mzazi wako hawezi kukupenda kwa kila hali hadi mwisho wa dahari. Never!
Kila mwanadamu ana turning point yake (hata mwanao), tunatofautiana tu. Yupo atakayekuwa bega kwa bega na wewe katika nyakati fulani ngumu ila ikifikia ukomo wake (Turning point) atakuacha solemba tu. Ni mzazi wako tu (Hasa mama na Baba kwa asilimia kubwa) anaweza kuwa pamoja na wewe kwenye changamoto zako zote mpaka kifo. Wengine wote wana Breaking/Turning point.
Tuwe wahuni?