Sister Abigail
JF-Expert Member
- Sep 2, 2020
- 4,130
- 12,861
- Thread starter
- #101
Wapi sasaHaya twende mguu kwa mguu... 🤠
Wapi sasaHaya twende mguu kwa mguu... 🤠
Well saidHuo upendo ugeuzie kwako ...utapata wa kukupenda ivyo
Upendo unaanza na ww
Unachukia?-Ulikuwa wapi?
-Umetoka wapi?
-Ulikuwa kwa wananwake zako?
Frequently question asked!
Na kupata toka Kwa mwingine huamini Hilo?
Ukijipenda inatoshaWell said
Ninao
Mbona wanasemaga MUNGU anakupa wa kufanana na wewe! kwa hiyo hii michengano inatoka wapi?Ndio upendo huo bado hupo hauwezi kuisha wengi wetu tunachegana nao mwenye upendo wa dhati hana sifa za kuwa mke mwenye sifa za kuwa mke hana upendo wa dhati
Sana,kibaya unakuta misele imegoma, huna hata mia,mtu anakwambia ulikuwa kwa wanawake zako?, nauliza hii ni Haki?Unachukia?
Vipi unataka kuniongezea upendo nini? 😉😉😉Na kupata toka Kwa mwingine huamini Hilo?
Huu nao huwa naona kama unafki vile, ukipendwa vizuri utaona jinsi gani kujipenda hakutoshi. Ila kuliko kuumizwa bora tu ukajipenda kweli.Ukijipenda inatosha
Majeraha ya mtu mmoja hayafuti uwepo wa upendo dunianiUmesema vile ninavyojua mimi, kwa kuongezea tu.....
Upendo wa kweli huanza na kujipenda kwa dhati wewe mwenyewe.
Mtu asiyethamini nafsi yake mara nyingi huwa anatafuta upendo wa kujaza pengo ndani yake. Lakini anayejipenda kwa afya ana uwezo wa kupenda bila kujipoteza, kuheshimu mipaka, kusamehe pale inapowezekana na kubaki mwaminifu bila kulazimisha.
mleta mada anauliza hivi kwa sababu huenda anaona kuna watu wameumizwa, wamekatishwa tamaa au anaangalia dhana ya upendo kupitia majeraha ya watu wengine. Lakini majeraha ya mtu mmoja hayaifuti uwepo wa upendo duniani.
Kwenye kilele cha ubora, Kilimandjaro😀Wapi sasa
Naomba ufafanuzi kwenye nyongeza hapo. Kwamba watu wanapenda wapenzi wa watu, kivipi yaani? Maana maisha ya mahusiano ya kimapenzi yana siri nyingi sana 😅Majeraha ya mtu mmoja hayafuti uwepo wa upendo duniani
Nyongeza kaka : watu tunapenda wapenzi wa watu period!
Haya twende😄Kwenye kilele cha ubora, Kilimandjaro😀
Yaani una mpemda mtu kumbe ana mpenzi wake I mean ana mtu anae mpenda ambaye sio weweNaomba ufafanuzi kwenye nyongeza hapo. Kwamba watu wanapenda wapenzi wa watu, kivipi yaani? Maana maisha ya mahusiano ya kimapenzi yana siri nyingi sana 😅
Huo ni wivu ikimaanisha unapendwaSana,kibaya unakuta misele imegoma, huna hata mia,mtu anakwambia ulikuwa kwa wanawake zako?, nauliza hii ni Haki?
Eti upo serious twende, twende wapi binti! wakati ndo tumefika sasa hivi au wewe ni Abby Msafiri 😁, ni safari mpaka kieleweke!Haya twende😄
🙄🙄🙄 🙄🙄🙄🙄🙄🙄Vipi unataka kuniongezea upendo nini? 😉😉😉
Kwanini umpende mtu ambaye tayari ni mtu wa mwingine?Yaani una mpemda mtu kumbe ana mpenzi wake I mean ana mtu anae mpenda ambaye sio wewe
Kwahiyo umependa mpenzi wa mtu lazima ulie kilio cha mbwaaa