Ule mradi wa Bashe umeishia wapi?

Ule mradi wa Bashe umeishia wapi?

Mkuu ukitaka ujiumize akili zako tafakari issue za aina hiyo, je kuna aliyehi kuwa na mali nyingi kama mansa mussa?,ajabu leo hii hata kaburi lake halijulikani lilipo! Ukufikiria kwa akili kama zangu wealth is useless, jitahidi kwa kipande yako uishi vizuri bila stress wanaopigania vita vya mali watazame tu kwa macho ya hekima kuu.
Unapofika ufisadi wa CCM ndipo Huwa unakumbuka Kuna stress. Acha kudanganya watu, ukweli ni kwamba Bashe alitumia mradi wa BBT kujinufaisha.
 
Sudanise brand

hiyo ni barbaria somalia, hakuna barbaria somali anayeweza kufunga mdomo bila ya meno kuchomoza, kwa sababu ya kuzalishana ndugu kwa ndugu, ni genetic defect ...

1789705131016.png
 
Mrad uleee n pesa zetuuuu! Waliokula wanekula, endeleen kutimua vijan wasaka furss kstikat ys jij kam wamachinga
 
Kila nikisikia jina la bashe nakumbuka sukari, mbolea na BBT, hapo ndo utajiri wake ulipoanzia.
 
LABDA NIMEJIFUNZA SANA,KWA HILI,""WALE WATU WANAOJUA KUONGEA SANA NA KUTOA DATA NYINGI SANA KWENYE IMPLEMENTATION HUWA ZERO KABISA""NIMEJIFUNZA KWA MUHONGO NA BASHE,ALL ARE GOOD 🔊 SPEAKER!....
 
Samia na Bashe mradi ule wa kilimo wa vijana mliowaweka kambini na kuwatengenezea mashamba umeushia wapi?

Vipi wale watoto wakike mliokuwa mnawala uroda kule na kuwabebesha mimba mmewasaidia au mmewatelekeza?

Je CHADEMA ndiyo wamefelisha?
Upigaji tuu
 
Mkuu ukitaka ujiumize akili zako tafakari issue za aina hiyo, je kuna aliyehi kuwa na mali nyingi kama mansa mussa?,ajabu leo hii hata kaburi lake halijulikani lilipo! Ukufikiria kwa akili kama zangu wealth is useless, jitahidi kwa kipande yako uishi vizuri bila stress wanaopigania vita vya mali watazame tu kwa macho ya hekima kuu.
Dah kumbe watu wa lumumba sometimes upstairs mko fit na kushusha nondo za hatarii.
 
Back
Top Bottom