Ule mradi wa Bashe umeishia wapi?

Ule mradi wa Bashe umeishia wapi?

Nawasikitikia vijana kupoteza muda na nguvu kazi yao buree.
Kabisa tena wengine eti wanasikia uchungu wealth is useless, utakuwa na jumba,gari,mifugo,utakula kila kizuri lakini hutaona furaha halisi zaidi ya kukiogopa kifo lakini kitakuchukuwa kwa haraka sana,wale wa zamani zaidi waliwekeana hadi asali na chumvi ili wasioze wakidhani labda wataamka tena lakini wapi?
 
Nia ilikuwa safi tu, -enjoy bashe milk products-
Kama jinsi vile sikoseagi katika fisibiliti study zangu,utengenezaji wa processing ind,ni muhimu sana unaweza boost wingi wa mazao baadae ukayatupa bure?,ukizingatia kilimo kwa wakulima wetu chenye faida kubwa kwao ni kilimo cha miezi 3 mitatu,na mara nyingi ni perishable,mfano nyanya n.k.
View attachment 3672244
Aliyekuelewa anyooshe mkono juu!
 
Nchi Makini Kupitia Vyombo Vyake
Yule Jamaa Angekuwa Mbombo Anajibu Tuhuma
Pesa Na Vijana Wamepotezewa Muda
Tanzania Itakuwa Ghala La Chakula Africa

Morogoro Iringa Mbeya Ruvuma Dodoma Kigoma

Inatia Kinyaa
Dodoma Pale Ukifika Oops
Pakoje mkuu, comments zote naona lawama tu, lakini hajatokea mtu anayefahamu, kututoa tongo tongo tulio gizani tusiojua chochote kuhusu uhai wa miradi hiyo kwa sasa.
 
Back
Top Bottom