Boss la DP World
JF-Expert Member
- Dec 12, 2021
- 2,702
- 9,510
Samia na Bashe mradi ule wa kilimo wa vijana mliowaweka kambini na kuwatengenezea mashamba umeushia wapi?
Watoto wakike mliowabebesha ujauzito mtawapa nini?
Mradi wote ndiyo umeishia hapa. Hela zenu walipa kodi amezitumia kununulia maelfu ya ng'ombe wa maziwa, kafungua ranch kubwa nje kidogo ya mji wa Morogoro! Na pesa nyingine anezipeleka anakojua yeye!Nia ilikuwa safi tu, -enjoy bashe milk products-View attachment 3672244
Tutawapa watoto.Samia na Bashe mradi ule wa kilimo wa vijana mliowaweka kambini na kuwatengenezea mashamba umeushia wapi?
Watoto wakike mliowabebesha ujauzito mtawapa nini?
Ni masikitiko kwa kweli.Samia na Bashe mradi ule wa kilimo wa vijana mliowaweka kambini na kuwatengenezea mashamba umeushia wapi?
Watoto wakike mliowabebesha ujauzito mtawapa nini?
Enjoy milks products only!..kuna huyu anawekeza nyumbani kuna yule ananunua kibanda uswiss!?..(yupi ametukosea zaidi)Mradi wote ndiyo umeishia hapa. Hela zenu walipa kodi amezitumia kununulia maelfu ya ng'ombe wa maziwa, kafungua ranch kubwa nje kidogo ya mji wa Morogoro! Na pesa nyingine anezipeleka anakojua yeye!
Maisha yanaendelea, na hakuna anayejali.
Ndiyo kwa kutumia hela za ufisadi!Enjoy milks products only!..kuna huyu anawekeza nyumbani kuna yule ananunua kibanda uswiss!?..
Upuuzi mkubwa sana huuNdiyo kwa kutumia hela za ufisadi!
Mkuu ukitaka ujiumize akili zako tafakari issue za aina hiyo, je kuna aliyehi kuwa na mali nyingi kama mansa mussa?,ajabu leo hii hata kaburi lake halijulikani lilipo! Ukufikiria kwa akili kama zangu wealth is useless, jitahidi kwa kipande yako uishi vizuri bila stress wanaopigania vita vya mali watazame tu kwa macho ya hekima kuu.Ndiyo kwa kutumia hela za ufisadi!
Mshana Jr piga kikombe cha mtindi safi. ππUpuuzi mkubwa sana huu
π ππππFutuhi
Vijana Wamehenya Bure BureNawasikitikia vijana kupoteza muda na nguvu kazi yao buree.
Ni hatari mnoMradi wote ndiyo umeishia hapa. Hela zenu walipa kodi amezitumia kununulia maelfu ya ng'ombe wa maziwa, kafungua ranch kubwa nje kidogo ya mji wa Morogoro! Na pesa nyingine anezipeleka anakojua yeye!
Maisha yanaendelea, na hakuna anayejali.