Northern Lights
JF-Expert Member
- Sep 24, 2013
- 412
- 367
Mbona mapema mno hata lugha umejua kweli,wenzio wanaoza miaka na hawakimbii mwisho wanatoka,wewe ungeomba wakaazi wa huko ulipo humu wakusaidie upate kazi hakuna mahali utapata kazi bila kushikwa mkono ila na hako kamji sasa utasanda
Na akijoba hapo atalipwa kr 50 kwa lisaa aondoke haraka sana kabla hajaanza kunywa lugna ner.Atapata shida sana hako kamji, kamejaa wanafunzi balaa
Alikua na kibali tuanzie hapo.COVID-19 imeharib mengi sana, unemployment iko juu sana saiv
Wazungu wanaona mwarabu, mhindi mwafrika tunafanana, yaani inawachukua muda sana kutusoma...Hujaishi ughaibuni, watu hawana makaratasi yoyote na kwa uzoefu ukimwangalia tu unajua ni mgeni kwa sura na rangi lakini wanapiga mzigo wa kufa-mtu bila wasiwasi wowote, tuulize sisi wenye uzoefu.
Tupe connection za ujerumanMkuuu ugekuwa ujeruman ningekufanyia connection moja ujishikize hata kwa miez 6
sent from toyota Allex
Duuuhh ...!!! Nilivyokuwa na kinyaa sasa ptuuuuuuuuChambisha wazungu wewe, Kuna mzee wa Kinigeria aliniambia akiona mavi ya wazee kwake anaona US$
Yaaani hata miezi 6 haijasha kesha kata tamaa khaa!!!!Doh, kazi ni nyingi mno duniani.
Hahaa daahh !!!
HahaaHiyu itakuwa anaangalia TBC kile kipindi cha "Kishindo Cha JPM"sasa kapagawa. [emoji16][emoji16]
Mtoa mada ana umama sana ... Yaani mimi nifike euro halafu ni rudi tz nimerogwa au ...!!!! Nitafia huko huko hata kama pawe na shida kiasi ganiIzo tamaa za uchumi wa Kati [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Miezi Sita unataka utoboe acha izo mkuu uku kwenyewe ukirud utasugua Tena bora ubaki uko
Utaishia kuamkia wenyenyumba hata kama wamekuzidi umri πππDuuuhh ...!!! Nilivyokuwa na kinyaa sasa ptuuuuuuuu
Kaka vip bado upo Sweden?Mkuu unafahamu kutengeneza Baiskeli? Kama ujuavyo Sweden na nchi nyingine nyingi za Ulaya, baiskeli ni usafiri wa kawaida na watu wengi hutumia. Nakushauri uanzishe sehemu ya kutengeneza.
Anza za majirani wanaokuzunguka badae wakishakujua utaanza kupokea za watu wengi. Jambo la msingi punguza tu bei maana garage za kutengeneza bike kwa Sweden ni very expensive. Unaweza ambulia hata 1000 kr kwa siku. Hiyo ni sawa na 260K za Bongo!
Kuna jamaa M-Kongo anapiga hiyo kazi pamoja na kunyoa watu nyumbani kwake tu kwa bei nafuu. Huwezi amini ana make pesa kimasikhra na maisha yanamwendea vizuri. Muhimu usichague tu kazi.
Mie kutokujua kutengeneza baiskeli na kutokujua kunyoa imenikosesha pesa za bure kabisa. Hapa kilichobaki ni kutafuta tu kazi ya kufanya delivery..