Heaven Seeker
JF-Expert Member
- May 12, 2017
- 479
- 1,079
Vipi mkuu. Unahitaji kufahamu jambo? Karibu.!Kaka vip bado upo Sweden?
Vipi mkuu. Unahitaji kufahamu jambo? Karibu.!Kaka vip bado upo Sweden?
Vibibi si vimekufa na coved19 ?Turudi kwa mtoa mada
sasa wewe una viza ya sweden inamaana ulikuwa na SHENGEN VIZA au?
kama ungeshajua zamani ulipofika hamna maslahi, kwanini usianze kuzurura ulaya nzima,
ungepata tu kibibi cha kukustiri
Kila siku kujisifu hapa Jamii forum mkiambiwa mtoe ramani na sisi tutusue mnakimbia.Ughaibuni utapafurahia kama umeenda kwa kujipanga.
1. Umesoma katika nyanja yenye kuhitajika sana kwenye nchi nzuri, sio ilimradi tu ughaibuni.
2. Una vibali vya kuishi na kufanya kazi.
3. Una mipango mizuri ya biashara yenye demand kubwa.
4. Una uvumilivu na subira kutekeleza malengo ya muda mrefu.
5. Unaweza ku focus kwenye malengo yako bila kutetereka na tamaa za starehe, madawa ya kulevya, makundi.
Nimeishi maisha hayo takriban miaka 20 Marekani, na sijajutia maamuzi yangu ya kuhamia Marekani.
Sent using Jamii Forums mobile app
Madame, shikilia hapo hapo kwenye dhahabu you will make it, life is the process...nakushauri ukate dealer licence ya 2.5mil ujaribu kucross border...
Karasha + mwalo tu na mtaji wa 5mil unakomaa mwenyewe site, jipe 1yrs na hizo fursa za huko mapolini lazima unyanyuke jipe muda...nawajua watu wengi sana kuanzia huko nyangarata, nyarugusu nk walivyoanza mpaka ukongwe..Mitaji ya kuishi mjini kibabe inapatikana huko asikudanganye mtu...hiyo dhahabu ndio imejenga Mwanza, kahama, Geita na kuleta jeuri kuanzia Ar to Dsm....jipe muda life is the process...
I knw bro Ila nimechoka kuishi porini😔!
usitoke huko kama bado hujakaa sawa, huko ndio mitaji inatoka na ukishaweka sawa setting na ukawa uko vizuri unaweza kutoka hata ukaacha watu ukawa on-off sana kuchungulia na kutoka...then ukawekeza mjini... asikwambie mtu huko mijini ni biashara zenye mitaji mikubwa tu ndizo zisizo na pressure na unaweza kuziendesha remotely... mapolini unatafuta mtaji na kujenga jina then unahamia mjini..ukiicheza game na remote...
Maisha ya ulaya ni magum mno bila uvumilivu huwez kutoboa lazma ulegeze buti , alaf ukienda na mawazo ya kutegemea sijui wabongo wenzako watakusaidia ndo unayumba kabisa
Ukienda na mawazo kuwa mambo Ni rahis yatakushinda mapema kule mambo ni magum had ukae sawa lazma ikuchukue muda kidogo, jamaa kakaa miez m3 kashakata tamaa ndo madhara ya kufikir mambo ni rahisYaani Ulaya yawe maisha magumu kuzidi Africa?Ila jamani..
Wewe kwanza kwa comment hii umeshakosa ramani ya kufikiri, hata ukipewa ya kufanya mengine utawayawaya.Kila siku kujisifu hapa Jamii forum mkiambiwa mtoe ramani na sisi tutusue mnakimbia.
Wabongo bana
Huna loloteWewe kwanza kwa comment hii umeshakosa ramani ya kufikiri, hata ukipewa ya kufanya mengine utawayawaya.
Mimi nikieleza maisha yangu tu, kwa sababu watu wameanzisha thread na mimi kama mwanachama nina haki na wajibu wa kuchangia, wewe kwa inferiority complex yako unaona najisifu.
Kuna watu nimewapa michongo na wametoboa, hapo hapo bongo na nje ya bongo.
Wewe kalaghabaho.
Hawa wengi hawanaga lolote wasikutishe ..Huna lolote
Sawa. Sasa unalialia nini?Huna lolote
Dah mimi bado sijafanikiwa mkuu ..naomba nisaidieVipi mkuu. Unahitaji kufahamu jambo? Karibu.!
Chambisha wazungu wewe, Kuna mzee wa Kinigeria aliniambia akiona mavi ya wazee kwake anaona US$





