UrbanGentleman
JF-Expert Member
- Jun 19, 2016
- 2,584
- 1,886
Makaveliiiiiii[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] fala sana weweTitle ya uzi pamoja na contents vinareflect hiki: "Ulaya pamenishinda narudi bongo".
Halafu wewe ambaye huwa unajitambulisha kuwa upo Uswisi ukacomment hivi:
View attachment 1447001
Hadi hapo huoni kwamba 'ushamchanganya' msomaji wa threads zako unazosimuliaga kwamba upo Uswisi? Just by common sense, huuoni kabisa huo utatanishi hapo?
Naona ushaanza kupanic [emoji16].
-Kaveli-
Sent using Jamii Forums mobile app