Hatariii 😂😂😂😂😂Uuuuwiii 😂😂😂😂😂
. mmmh kweli naamini😂😂😂😂😂😂
Mwenye hela hatumi sms 50, anatuma 3 za salamu, kinachofuata muamala ukiambatana na vocha, kifuatacho loc ya appointment.
Ndo nakusanua hivyoooo. JF kaa nayo kimastaaa.
😂😂😂😂😂😂
Mbona hii ni ndogo ungekutana na Mm nngekunywa hata hy soda niliyokununuliaDada humu hamna wanaume,mtu gani mnakunywa soda za miasita ambapo jumla ni 1200 halafu inabaki 800 kwenye 2000 aliyotoa lakini chaajabu mianane anaing'ang'ania mpaka,,,,,,eeh😂
Malaya ni mtu ganiWanaume tujitahidi na tuombe sana Mungu tusioe malaya
Ewaaah.!! 😹😂😂😂😂😂😂
Boraaa alivyo sema Da marry nyanya, sie wengine vitunguu, tunawatoa machozi wajaa.
Kila siku nasema, ukiona mwanaume JF kutwaa kuranda randa ktk nyuzi na comments holela, ni choka mbayaa.
Ma boss kubwa wako kimyaa na ⌨️zao.
😂😂😂😂😂
PoleMbona hii ni ndogo ungekutana na Mm nngekunywa hata hy soda niliyokununulia
Makuli wa kkoo au stand za mabus?Ila marry mbavu zinaniuma, bora ulivyotusanua unaweza kukutana na makuli 😹😹😹
Viboro dinda😂😂😂Ewaaah.!! 😹
Wanaume wenye pesa hawana kelele comment moja anaenda kupanga mipango yake huko..!!
Ila Hawa viboro dinda kila nyuzi za hovyo wamo wanasema wana mawe kumbe mishuzi mitupuuuuu..!.! 🤣
😹😹😹Wanisamehe tu mm si saizi yao
Haswaaaaa!!!Ewaaah.!! 😹
Wanaume wenye pesa hawana kelele comment moja anaenda kupanga mipango yake huko..!!
Ila Hawa viboro dinda kila nyuzi za hovyo wamo wanasema wana mawe kumbe mishuzi mitupuuuuu..!.! 🤣
Tibu UTI kwanzaShikamooni wakubwa wote humu ndani, wadogo zangu marhaba.
Yanasemwa mengi,.yanaongelewa mengi.nayaona meengi lakini kujiamini ndiyo kila kitu.
Leo si sikukuu wala nini ila naiona alhamis nzuri ikiisha bila matatizo yeyote,mtoto wa Kiswahili nipo niliambiwa nipo kwaajili ya kutapeli wanaume,aaaaah wapi hata niliokutana nao ni makapuku tu, mwanaume gani nguo hafui,hanyooshi shati,ataninyoosha Mimi,
Humu najua wenye pesa wapo ila ni wachache mno.
Povu ruksa,ila matusi sitaki ,tutavirugana Maria nipo mejaa teleee
Haya kujeni
😂😂😂😂Azitaje bhana, sema mijanja ilienda na id mpya ili isijulikane na member’s..!! 😹😹
Ok 👍So kweli
Mmmmh dada si vizuri nitaonekana mwehu au msungo ,nimefundwa ujue😂😂😂😂😹😹😹
Malizia ubuyu basi toa na id zao tukalale Marry Dee
Na sisi tunaomba tusipate km aliowasema Marry..!!Wanaume tujitahidi na tuombe sana Mungu tusioe malaya
Kanipa naniTibu UTI kwanza
Kuperuzi sio shida, tatizo anaperuzi sana ktk majukwaa yapiii?Saidia fundi ndo wengi humu.
Kwanza dada hujiulizi mtu gani gani wa maana ataperuzi jf kutwa nzima
😂😂😂😂😹😹😹 Atakuwa ndo huyo mwenye Pima maji na mwiko..!!