Ukweli utabaki kuwa ukweli

Sasa ujue nn Da marry, siku ingine ukipata appointment na kapuku wa humu. Jibebee zako vijipesa vya kukutosha mwenyewe.

Ili yeye akileta njegeka zake, unasepa fastaa maeneo. Usicheke na wowotee.
😂😂😂😂😂😂
😹😹😹 Alijua humu watu wana pesa km wanavyojibrand, mi nilimwambia humu watu unaowaona wana maisha mazuri ilitakiwa uwaonee huruma hakunielewa?
 
Mwachi ana kisokorokwinyo ndo shida yake..!!
Yeye minyuzi yake tunamsapoti kwann mwenzie hataki ashine? 😹😹😹
Hapo sasa!! Yeye na nyuzi zake za mapishi yuko winja winja.
Ila mwenzie anaturusha waja na ubuyu, eti hataki. Ila Da marry kashasema shida ni gani.
😂😂😂😂😂
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…