Mkongo 1
JF-Expert Member
- May 31, 2020
- 302
- 352
Kama ulivyo empty setWewe ni debe tupu
Kama ulivyo empty setWewe ni debe tupu
Kweli magugu yameondoka. Limebaki zao moja tu Aidan Kenan.Wacha Magugu yaende Mkuu...
Unapoteza muda kujiapiza kwenye jambo ambalo hakuna atakayelibadilisha na huko mbeleni mtaanza kutwangana ngumi sio kwa sababu taratibu za kichama zimekiukwa lahasha ni kwa kuwa kwanini fulani ni miongoni mwa walioteuliwa viti maalumu na sio mimi au yule?Huu ndio ukweli unaofahamika kila mahali, mifano ya waliokuwa wana CHADEMA na kusaliti chama chao waliodhalilika baada ya uamuzi wao huo ni mingi mno, hatuna haja ya kuirudia, ni kweli kwamba kuna waliopewa vyeo baada ya usaliti huo lakini heshima yao mbele ya jamii imepukutika mithili ya majivu kwenye upepo mkali.
Kwahiyo wanachopaswa kutambua wasaliti wapya na wajao ni kwamba usaliti wao utawagharimu heshima na utu wao mbele ya jamii kama ilivyowagharimu wasaliti waliopita ambao sasa wamepoteza kila kitu mbele ya Jamii, japo wamepata hela baada ya kununuliwa, hawaheshimiki na yeyote na wamedharauliwa moja kwa moja.
Muda utaongea...
Hivi wanaodhalilika ni hawa walio Jamii Forums na Twitter wanaobweka na kubwata hovyo na hakuna chochote kinachotokea, au hawa ambao wako pale nje "field" wanasababisha mambo yanatokea, wanakuwa "recognized" na wanafanikisha kile kinachopaswa kwa mujibu wa utaratibu?Huu ndio ukweli unaofahamika kila mahali, mifano ya waliokuwa wana CHADEMA na kusaliti chama chao waliodhalilika baada ya uamuzi wao huo ni mingi mno, hatuna haja ya kuirudia, ni kweli kwamba kuna waliopewa vyeo baada ya usaliti huo lakini heshima yao mbele ya jamii imepukutika mithili ya majivu kwenye upepo mkali.
Kwahiyo wanachopaswa kutambua wasaliti wapya na wajao ni kwamba usaliti wao utawagharimu heshima na utu wao mbele ya jamii kama ilivyowagharimu wasaliti waliopita ambao sasa wamepoteza kila kitu mbele ya Jamii, japo wamepata hela baada ya kununuliwa, hawaheshimiki na yeyote na wamedharauliwa moja kwa moja.
Muda utaongea...
Kama ambavyo mliobaki hamuwezi kuongelea tena ufisadiDr Slaa hawezi kuongea kwenye kongamano lolote litakalozungumzia democrasia ya Tanzania hata kama kongamano hilo litafanyika chumbani kwake , huyu ndio Slaa uliyemfahamu ?
Alishafuta ile comment yake aliyosema yeye si mwana chadema na ana kadi ya CCMMi nadhani bavicha tawi la Jf mngekuwa na akiba ya maneno hadi Mbowe atakapoongea. Kama kwenye 19 mmoja ni mke wa John Mrema na mwingine ni mke wa Salum Mwalim(makam wa rais) nadhani kuna kitu kinaendelea ambacho kikijulikana kitawafanya baadae muyaonee aibu matamko yenu hapa.
Mwenzenu Lord denning jana kawakana chadema hata jogoo hajawika
Mzee utachanganyikiwa bure, chadema maslahi tu hao, toka enzi za kubadili gia angani! Mwamba mwenyewe kasema atawalinda!Huu ndio ukweli unaofahamika kila mahali, mifano ya waliokuwa wana CHADEMA na kusaliti chama chao waliodhalilika baada ya uamuzi wao huo ni mingi mno, hatuna haja ya kuirudia, ni kweli kwamba kuna waliopewa vyeo baada ya usaliti huo lakini heshima yao mbele ya jamii imepukutika mithili ya majivu kwenye upepo mkali.
Kwahiyo wanachopaswa kutambua wasaliti wapya na wajao ni kwamba usaliti wao utawagharimu heshima na utu wao mbele ya jamii kama ilivyowagharimu wasaliti waliopita ambao sasa wamepoteza kila kitu mbele ya Jamii, japo wamepata hela baada ya kununuliwa, hawaheshimiki na yeyote na wamedharauliwa moja kwa moja.
Muda utaongea...
Bora Lord Denning ameamua kutulia kusubiri vikwazo toka EU. Ashaona siasa za kibongo ni stress tu.Alishafuta ile comment yake aliyosema yeye si mwana chadema na ana kadi ya CCM
Mkuu,Huu ndio ukweli unaofahamika kila mahali, mifano ya waliokuwa wana CHADEMA na kusaliti chama chao waliodhalilika baada ya uamuzi wao huo ni mingi mno, hatuna haja ya kuirudia, ni kweli kwamba kuna waliopewa vyeo baada ya usaliti huo lakini heshima yao mbele ya jamii imepukutika mithili ya majivu kwenye upepo mkali.
Kwahiyo wanachopaswa kutambua wasaliti wapya na wajao ni kwamba usaliti wao utawagharimu heshima na utu wao mbele ya jamii kama ilivyowagharimu wasaliti waliopita ambao sasa wamepoteza kila kitu mbele ya Jamii, japo wamepata hela baada ya kununuliwa, hawaheshimiki na yeyote na wamedharauliwa moja kwa moja.
Muda utaongea...
Weed upo upande gani?Wewe ni debe tupu
Anasikilizia kesi ya ICCBora Lord Denning ameamua kutulia kusubiri vikwazo toka EU. Ashaona siasa za kibongo ni stress tu.
Subiri Ijumaa. Wenzako wataendelea kupata mshahara wa mbunge for 5 years.Sisi si watu wa kutuletea vya kuchonga , utadhalilika
Jamaa ana mikwara na hii ICC utasema ni mzee wa mahakama pale The HagueAnasikilizia kesi ya ICC
😂😂😁😁😃🤣🤣🤣🤣🤣, duuuuh. Mkuu, utapata wazimu na wanasiasa. Nakuonea huruma.Huu ndio ukweli unaofahamika kila mahali, mifano ya waliokuwa wana CHADEMA na kusaliti chama chao waliodhalilika baada ya uamuzi wao huo ni mingi mno, hatuna haja ya kuirudia, ni kweli kwamba kuna waliopewa vyeo baada ya usaliti huo lakini heshima yao mbele ya jamii imepukutika mithili ya majivu kwenye upepo mkali.
Kwahiyo wanachopaswa kutambua wasaliti wapya na wajao ni kwamba usaliti wao utawagharimu heshima na utu wao mbele ya jamii kama ilivyowagharimu wasaliti waliopita ambao sasa wamepoteza kila kitu mbele ya Jamii, japo wamepata hela baada ya kununuliwa, hawaheshimiki na yeyote na wamedharauliwa moja kwa moja.
Muda utaongea...
Nimewakanaje Chadema ndugu?? Mimi ni mfuasi na mpenzi kindakindaki wa Chadema na nitabaki kuwa hivi unless otherwise wakengeuke wenyewe. Hadi sasa Tanzania hakuna Chama Chenye Itikadi nzuri na sera Nzuri ambazo zinaweza kuifikisha mbali Tanzania kimaendeleo kama Chadema!Mi nadhani bavicha tawi la Jf mngekuwa na akiba ya maneno hadi Mbowe atakapoongea. Kama kwenye 19 mmoja ni mke wa John Mrema na mwingine ni mke wa Salum Mwalim(makam wa rais😀) nadhani kuna kitu kinaendelea ambacho kikijulikana kitawafanya baadae muyaonee aibu matamko yenu hapa.
Mwenzenu Lord denning jana kawakana chadema hata jogoo hajawika
Naona Bin Laden kaamua kunisingizia ndugu. Mie naamini itikadi. Kamwe siwezi kuwa shabiki maandazi. Mimi ni mshabiki na mpenzi wa Chadema kutokana na itikadi zakeLord denning unaitwa hukuuuu??!