Nafaka
JF-Expert Member
- Feb 17, 2015
- 12,155
- 31,081
Kuumia naumia ila siwezi endelea kuunga safari ambayo hao ninawaunga mkono sijui safari yao wanaelekea wapi. We unaweza kuwa bsy unahangaika na akina halima mdee ukidhani mnapigania haki usawa, maisha bora kwa watu wote, kumbe kama ilivyojidhihirisha wao wanapigania matumbo yao. Mtu kakaa bungeni miaka 10, lakini anaona kukaa nje miaka 5 kusimamia msimamo wa chama chake hawezi. Halfu utamkuta jukwaani vijana mjiajiri 😂 😂 😂 😂Mkuu hata darasa aliimba huwezi kimbia unachokipenda sanaa unabaki unaumia.... Me Chadema naipenda japo na. makosa yote yanayotokea sijawai kukimbia nipo tu bora niitwe nyumbu maan nimeshazoea na hata kwa ManU yangu kuitwa hivyo
Mkuu ukipata nafasi achana na siasa we kula tu. we humuoni pole pole alivyong'aa siyo pole pole wa enzi za katiba