Ukweli ni kwamba hakuna mwanaCHADEMA aliyewahi kupambana na CHADEMA na akashinda, wengi wanaishia kudhalilika tu hata kama watapewa vyeo

Kuna kale kadada kako kule twiter kanaitwa ka Hilda eti kanaonesha msimamo kanawaiga kina Maria Sarungi na kigogo huku kana njaa hadi machoni.

Msimamo bongo hapa huku una njaa? Acha kina Halima wakajipigie mihela

Hakuoata nafasi tu.

Angepata naye angekuwepo
 
Huu ndio ukweli unaofahamika kila mahali, mifano ya waliokuwa wana CHADEMA na kusaliti chama chao waliodhalilika baada ya uamuzi wao huo ni mingi mno, hatuna haja ya kuirudia, ni kweli kwamba kuna waliopewa vyeo baada ya usaliti huo lakini heshima yao mbele ya jamii imepukutika mithili ya majivu kwenye upepo mkali.

Kwahiyo wanachopaswa kutambua wasaliti wapya na wajao ni kwamba usaliti wao utawagharimu heshima na utu wao mbele ya jamii kama ilivyowagharimu wasaliti waliopita ambao sasa wamepoteza kila kitu mbele ya Jamii, japo wamepata hela baada ya kununuliwa, hawaheshimiki na yeyote na wamedharauliwa moja kwa moja.

Muda utaongea...
Tumekusikia mbeba mikoba wa mwenye SACCOSS,ulipotea sana,naona Mdee kakuibua machimbo
 
Mbowe ninaye mfahamu Mimi,kaunguruma Leo. Mbowe ninaye mfahamu ni bora umchezee mke wake atakusamehee lakini si uchezee chadema. Ukichezea chadema unakuwa kama umemshika tako ,anakuwa mkali balaa.
 
Huu ndio ukweli unaofahamika kila mahali, mifano ya waliokuwa wana CHADEMA na kusaliti chama chao waliodhalilika baada ya uamuzi wao huo ni mingi mno, hatuna haja ya kuirudia, ni kweli kwamba kuna waliopewa vyeo baada ya usaliti huo lakini heshima yao mbele ya jamii imepukutika mithili ya majivu kwenye upepo mkali.

Kwahiyo wanachopaswa kutambua wasaliti wapya na wajao ni kwamba usaliti wao utawagharimu heshima na utu wao mbele ya jamii kama ilivyowagharimu wasaliti waliopita ambao sasa wamepoteza kila kitu mbele ya Jamii, japo wamepata hela baada ya kununuliwa, hawaheshimiki na yeyote na wamedharauliwa moja kwa moja.

Muda utaongea...
Je Kitila, Zito, Mwigamba, Mgwila, Kafukila waliadhirika?
 
Tumekusikia mbeba mikoba wa mwenye SACCOSS,ulipotea sana,naona Mdee kakuibua machimbo
Sijawahi kupotea JF , naambiwa laana ya wizi wa kura inaitafuna Kyela mpaka maembe yamekataa kuzaa mwaka huu !
 
Mimi hata Chadema ijiunge na wazee wa utopolo nitabaki kua mpinzani tu siwezi kuipenda serikali iliyokaa madarakani zaidi ya miaka 60 na shida zetu ni zile zile tu. Tunahitaji mtu mwingine kutoka chama kingine.
 
Magugu na ngano hata CCM waishafukuza Maaimu Seif, Sophia Simba majuzi Bernard Membe mambo hayo yapo ndani ya vyama .
 
Kama nani kwa mfano?
Umaarufu na heshima aliyokuwa nayo Dr.Slaa iko wapi?Umaarufu alikuwa na Kafulila uko wapi?Umaarufu alioupata Katabi uko wapi leo.Joshua Nasari!,Nilijualikali,..

Hata kama walipewa vyeo na kupata ubunge Umaarufu na heshima haipo kama awali angalia wanavyo jenga hoka mfu sikuhizi
 
Huu ndio ukweli unaofahamika kila mahali, mifano ya waliokuwa wana CHADEMA na kusaliti chama chao waliodhalilika baada ya uamuzi wao huo ni mingi mno, hatuna haja ya kuirudia, ni kweli kwamba kuna waliopewa vyeo baada ya usaliti huo lakini heshima yao mbele ya jamii imepukutika mithili ya majivu kwenye upepo mkali.

Kwahiyo wanachopaswa kutambua wasaliti wapya na wajao ni kwamba usaliti wao utawagharimu heshima na utu wao mbele ya jamii kama ilivyowagharimu wasaliti waliopita ambao sasa wamepoteza kila kitu mbele ya Jamii, japo wamepata hela baada ya kununuliwa, hawaheshimiki na yeyote na wamedharauliwa moja kwa moja.

Muda utaongea...
Siyo kweli! Kwa metric chache tu ni kuwa Zitto aliwashinda CHADEMA mahakamani na sasa hivi amewashindwa CHADEMA kwa kuwa na wabunge wengi wa kuchaguliwa hata kama siyo kwa kura nyingi. Metric ya pili ni kuwa wabunge waliohama chadema kati ya 2015 na leo wamesababisha CHADEMA kuanguka na kushindwa kunyakua viti vya ubunge, mmojawapo akiwa ni Waitara. Sababu za aina ya Trump kuwa wameibiwa kura ni kisingizio tu cha kuficha aibu. Ndiyo maana kelel zote za akina Amsterdam haziendi popopte, na badala yake TZa inepewa uongozi ndani ya UN, na vile vile EU inaendelea kushirikiana na TZ!
 
huna unalolijua , sijui ulipewaje huo U platnum member ?
 
Back
Top Bottom