Ukweli ni kuwa dini zina-limit watu kutumia common sense na kwa maana hiyo wanaunganisha kuhoji sana na kufuru

ELI COHEN

JF-Expert Member
Joined
Jun 19, 2023
Posts
9,375
Reaction score
28,484
I am proud kwamba bado nikiwa kijana nime debunk utapeli wa dini na itikadi katika maisha yangu.

Thus kwa maana hio, nitakufa sio kama mtumwa wa kitu ambacho ili bidi babu yangu acharazwe viboko na kuteswa ndio akipokee.

Nitakufa nikijua, sijakubali itikadi yoyote ile ishinde utashi ulio asili yangu ndani.

CHAOO...
 
Ndio Umekuja kujua Leo !?

Dini ni siasa za kale na philosophy yake Haina tofauti na siasa kabisa

Ni sawa sawa na mtu anapo jaribu kuhoji kuhusu uhalali wa utawala wa kidikteta Nini hufuata baada ya hapo !?? Nadhani jibu unalo

Ndio sawa sawa na dini Sasa Unapo hoji Mambo mengi yanayo onekana kuwa ni uongo Ambayo yapo katika dini basi ni lazima watu watakutenga Unajua Kwanini ni kwasababu tayari Huo ni mfumo uliojengewa defense mechanism ili watu wasiweze kutoka katika Hilo tanuri la moto ,

Wewe Jiulize inakuwaje mtu amchukie binaadamu mwenzie kisa tu amebadilisha dini wakati suala la Imani ni issue ya mtu binafsi na kama akienda peponi au kuchomwa moto hayo yote ni yake binafsi haya kuhusu mtu mwingine so why huyo mtu achukiwe !??

Dini ni upumbavu
 
💯💯💯
 
Back
Top Bottom