HAKI KWA WOTE
JF-Expert Member
- Nov 30, 2022
- 2,691
- 2,303
Viongozi wote wa Kiafrika wakubali wakaungana na kusimama katika mshikamano watafanikiwa kuwakomboa watu wao wanaoishi katika umaskini. Waafrika wote wanahitaji kuungana tena na kuacha kuruhusu Magharibi kudhibiti utajiri wa Afrika.
Viingozi wa Afrika yote mnahitaji ka kudhibiti utajiri wa Afrika ili kuwa huru na sio kuruhusu ukoloni mamboleo wa Magharibi na ubeberu na nguvu za ubepari kudhibiti watu wenu, nchi zenu na rasilimali zenu na utajiri wenu tena. .
Baadhi ya viongozi wa Kiafrika hawajali watu wao kwa sababu ni vibaraka wa nchi za Magharibi juu ya nchi yao, watu wao na rasilimali zao za asili.