Ukweli mchungu: Wasomi wetu hawauziki…!

Ukweli mchungu: Wasomi wetu hawauziki…!

No more words that what you have said MOSSAD II....And that brutal truth becomes like a thorn in the heart...it pains people. Instead of working towards improving ourselves, we come with all nonsense stories that please our laziness.

smart!!
 
Kuna ukweli kdg, kwa mf ukija huku Austalia mtz maarufu ni dokta(phd) mzee mmoja amekimbia tz siku nyingi. Wenzetu wazimbabwe wako wengi na walifuatwa thru Rsa ambako kuna agent wa Australia. Madokta, engineers, nurses, wako wengi lkn kumpata mtz ni ngumu. Labda huyu msanii ajiita mr Zuxy!!

Kweli elimu yetu haiko Competence Based rather ni Knowledge based.. Mtu ana masters lkn km undergrad tu, kubali usikubali elimu ya nje specific km huku ni tofauti sanaaa
 
Hapana!! Huyu atakuwa bado yupo nchini!! Tena kule maeneo ya manzese!! hahaaa

Kwani kuwa Kigali Rwanda ni tanzania? Msibeze kisa ni jirani nje ya nchi hata ukivuka pale namanga uko kenya(oversea) bwana
 
Mkuu hatimaye nimepata Taarifa zake huyu Mzee wetu ndugu Erasto B Mpemba.Kumbe hakujiendeleza kwenye fani ya fizikia, baadae alisomea maswala ya wanyamapori na kufikia level ya shahada ya uzmili toka Texas na baadae akaajiriwa wizara ya utalii na mpaka kastaafia hapo.

tumblr_lv3x2gTxxh1r73aw3o1_400.png

TEDxDar Speaker
Erasto B. Mpemba
In 1963, Tanzanian Erasto B. Mpemba discovered a phenomenon that questions principles of established Newtonian physics – this phenomenon became (internationally) known as the “Mpemba effect.” The Mpemba effect is the observation that under certain circumstances, warm water freezes faster than cold water. Mr. Mpemba made this discovery while in form 3 at Magamba Secondary School, and later collaborated with University of Dar es Salaam Professor Denis Osborne to publish theMpemba effect in a 1969 paper “Cool?” Although earlier allusions of the Mpemba effect were made by the likes of Aristotle, Francis Bacon, and Descartes, Mpemba’s resolve to question conventional physics – with unadulterated curiosity – illuminated a phenomenon overlooked in popular physics.
After his groundbreaking work Mr. Mpemba went on to get a diploma from the College of African Wildlife Management in Moshi, completing further study in Natural Resource Management at the Canberra College of Advanced Education (now University of Canberra) in Australia, and a masters degree from Alpine, Texas, USA. He went on to become the Principal Game Officer in the Ministry of Natural Resources and Tourism in the Wildlife Division. He is now retired.

Hakuna chuo kinaitwa university of canbera ila Canbera ni political city km dodoma pana Australia National Univ (ANU)
 
Ni ukweli, japo unauma! Elimu ya tz inatufunza kukariri na sio kuelewa. Mitihani inayotungwa inamtaka mwanafunzi aandike alichokariri sio alichoelewa. Namkumbuka Lecturer Wangu Mr Massimba wa pale SUA ndio mwalimu pekee aliyekuwa anatunga maswali ya nn umeelewa sio nn umekariri. Lugha tunayotumia kusomea ni tatizo pia, nadhani kiswahli ni bora zaidi kwakuwa kitawafanya wanafunzi kuelewa baadala ya kukariri definitions.
 
Ukweli ni kwamba, ni vigumu kwa wasomi wengi wa Tanzania kushindana kwenye soko la dunia kitaaluma kwa sababu, hawakuandaliwa kuwa watu wanaofahamu, bali wameandaliwa kuwa watu wanaokariri…[/QUOTE]
umesema sahihi kabisa
 
Asilimia kubwa ya wasomi wa kibongo wanauzika sana na wengi wanafanya vitu vyao katika nchi za US, UK, UAE , Canada na nyingine nyingi duniani tena wana vyeo vya juu. Hata baadhi ya waajiri kuwaomba Wabongo waliowaajiri kuwapendekeza Wabongo wengine kwa waajiri hao ili nao waajiriwe. Wabongo hao wengi wamejijengea sifa ya uchapakazi, uaminifu, uelewa mkubwa wa kazi zao, kutokuwa walalamikaji.

Story za kijiweni hizi...
 
Hili Serikali imeliona na ndiyo sababu kwa sasa kuna kitu kinaitwa competence-based curriculum ambayo ni tofauti na ile ambayo ilikuwa teacher-centred. Tatizo ni kwamba bado walimu hawajaelewa jinsi ya kuimudu kwa hoyo bado wanafundisha wanafunzi past papers ili waweze kufaulu mitihani. Ila kama walimu watapata orientation hii hali itabadilika na hivyo kuwafanta Watz kuweze ku-compete kwenye soko la ajira au kuwa na ujuzi wa kujiajiri wenyewe.

Katika fani nyeti ambazo serikali imezidharau sana ni pamoja na hii ya ufundishaji (nyingine ni ulinzi - polisi). Imekuwa kawaida kusikia wazazi wanaulizana mpango wa maendeleo ya watoto wao kama wamefaulu kuendelea na high level au vipi. Ukiwasikiliza wazazi hao hutakosa kusikia maneno haya:
Vipi Baba flan, mtoto wetu kafaulu kuendelea au?
Vipi hata post ya ualimu hajapata?
Subiri labda tumwangaikie ajiunge na polisi watakapotangaza nafasi,

Ina maana sekta ya elimu imepuuzwa kiasi kwamba wale wenye ufaulu mbovu ndo wanarudishwa kuendelea kufundisha. Tusitegemee elimu kuboreshwa kama kasumba hii itaendelea, na kibaya zaidi vihiyo kwenye idara hii ni wengi sana hadi bosi wao ngazi ya juu kabisa asiyejua hata historia ya nchi yake ndo anakaa meza moja na wadau wengine wa elimu kujadili namna ya kuboresha elimu.

Upande wa serikali nako ni majanga matupu, wanawatumia walimu hao hao kwenye mambo ya ovyo hovyo wakati wanawalipa malipo kidogo sana. NASEMA SEKTA YA ELIMU IFUMULIWE NA KUUNDWA UPYA.
 
Baadhi ya Watanzania ndivyo mlivyo. Siku zote mnapenda kusikia habari mbaya za Watanzania waishio nchi za nje kwamba wanajihusisha na biashara ya madawa ya kulevya, wanafanya kazi za hovyo hovyo kama vile kukaa na vizee na mataahira, kubeba box n.k. Kamwe hamtaki kuamini kwamba kuna Watanzania wengi tu wenye kazi za maana na wamelijengea Taifa letu sifa nzuri. Inasikitisha sana lakini ndio ukweli halisi.

Story za kijiweni hizi...
 
Tutor B a drink from me popote ilipo...
 
Last edited by a moderator:
Mwalimu je unaweza kutueleza hao watu uliowataja walisomea wapi Degree zao kuanzia ya kwanza na ya pili na kadhalika. Je walisomea degree zote kutoka UDSM na taasisi zake? Nauliza just kuweka mambo sawa ili nami nijivunie kwa confidence mafanikio ya hao watanzania wenzangu.
wote walisoma degree za kwanza na pili UDSM na hulda na asante rabi walisoma phd na post doc nje ya nchi.
 
Hiyo definition yako ya yupi anayestahili kuitwa msomi wa Kitanzania mie siikubali. Huwezi kumuondoa Mtanzania aliyesoma Tanzania kwa miaka 16/17 katika kundi la wasomi wa Kitanzania eti kwa sababu Masters yake ya miaka miwili/mitatu (mitatu kama alirudia courses chache za 1st degree kwa mwaka mmoja). Yaani kwa kusoma nje miaka miwili a mitatu kama ni masters tu au miaka 7/8 pamoja na Phd basi ile miaka yake 17 iliyokuwa ni msingi mkubwa wa kwenda kusoma nje isiwe kigezo cha kumuona Mtanzania kama huyo ni msomi wa Kitanzania.
Ukiipata vizuri elimu ya TZ(na ukiwa mzuri, na sio kilaza), utakuwa na msingi mzuri wa kufanya vizuri zaidi utakapoenda kuongeza elimu nchi za dunia ya kwanza. Wakati mwingine huwa nashukuru kuzaliwa na kuanza elimu ya awali TZ, nimekutana na waafrika wengi ambao wana struggle mno hata kwenye vitu ambavyo mimi navifahamu toka nikiwa TZ.

Elimu ya TZ haswa kwa upande wa engineering bado haijakamilika vizuri, ipo vizuri kwenye nadharia, haipo vizuri kwenye application. Vilevile TZ haina maeneo mengi ya ajira ambayo yatamfanya muhitimu kwenda deep kutumia alichosoma chuoni, hivyo hata kile kidogo anachojua anasahau, unakuta mtu amesoma electrical engineering, amepewa dawati tanesco anakaa kaa tu, anawatumia ma technician wazoefu ambao amewakuta wanamfanyia kazi na hana muda wa kubuni kipya.
Wenzetu licha ya kusisitiza nadharia pia wanatilia mkazo vitendo, vilevile wahitimu wanapata nafasi nyingi za kwenda ku apply moja kwa moja walichokisomea kwenye makampuni ya teknolojia ambayo wanayo mengi mno kulinganisha na sisi. Hivyo wana nafasi zaidi ya kwenda mbele kitaaluma na haswa kwenye application.

Kwa hiyo kwa mtanzania mwenye kichwa kizuri, hiyo miaka mitatu au zaidi ya masters kuna uwezekano mkubwa mno wa yeye ku gain vitu vingi mno kutokana tayari ana theories nyingi ambazo ameshazi swallow, atakachokifanya yeye ni kujitumbukiza zaidi kwenye vitendo.
 
Mkuu naona unazungumzia kundi dogo sana katika jamii.
Kilaza kwa definition ya kibongo ni mtu aliyeshindwa kukariri alichosoma na matokeo yake akafeli ,
The best education system will nurse an ordinary minded people to archive his destined potential .
 
Ukiipata vizuri elimu ya TZ(na ukiwa mzuri, na sio kilaza), utakuwa na msingi mzuri wa kufanya vizuri zaidi utakapoenda kuongeza elimu nchi za dunia ya kwanza. Wakati mwingine huwa nashukuru kuzaliwa na kuanza elimu ya awali TZ, nimekutana na waafrika wengi ambao wana struggle mno hata kwenye vitu ambavyo mimi navifahamu toka nikiwa TZ.

Elimu ya TZ haswa kwa upande wa engineering bado haijakamilika vizuri, ipo vizuri kwenye nadharia, haipo vizuri kwenye application. Vilevile TZ haina maeneo mengi ya ajira ambayo yatamfanya muhitimu kwenda deep kutumia alichosoma chuoni, hivyo hata kile kidogo anachojua anasahau, unakuta mtu amesoma electrical engineering, amepewa dawati tanesco anakaa kaa tu, anawatumia ma technician wazoefu ambao amewakuta wanamfanyia kazi na hana muda wa kubuni kipya.
Wenzetu licha ya kusisitiza nadharia pia wanatilia mkazo vitendo, vilevile wahitimu wanapata nafasi nyingi za kwenda ku apply moja kwa moja walichokisomea kwenye makampuni ya teknolojia ambayo wanayo mengi mno kulinganisha na sisi. Hivyo wana nafasi zaidi ya kwenda mbele kitaaluma na haswa kwenye application.

Kwa hiyo kwa mtanzania mwenye kichwa kizuri, hiyo miaka mitatu au zaidi ya masters kuna uwezekano mkubwa mno wa yeye ku gain vitu vingi mno kutokana tayari ana theories nyingi ambazo ameshazi swallow, atakachokifanya yeye ni kujitumbukiza zaidi kwenye vitendo.

Ina maana gani hii? Wasomi wengine wana afadhali kidogo? Mbona wote tunafanana tu kwa asilimia kubwa?
 
Ina maana gani hii? Wasomi wengine wana afadhali kidogo? Mbona wote tunafanana tu kwa asilimia kubwa?

Nadhani wasomi wengine kwenye nchi yetu (kuondoa wasomi wa engineering) hawana ukwasi mkubwa kwenye zana za kujifundishia uhalisia wa kozi zao, hivyo nadhani watakuwa na afadhali, ingawa watahitaji kujua kutumia technology labda na software mbalimbali kutendea kazi bado watakuwa na nafuu kulinganisha na wasomi wa engineering.
 
mimi naomba nianze kwa kuwataja wasomi ambao ninaajua na mambo wanayoyafanya nje ya nchi yetu.

Wa kwanza kabisa ni mwana jf mwenzetu ambaye yuko Marekani anafanya kazi na kampuni ya glaxo smith yeye ni mtaalam wa fluid micronization technique na sasayuko kwenye post doc.

wa pili nimemsahau jina lake halisi ila yeye yupo Kigali ndiye mtaalam wa biogas production huyu alikuwa ni mwanafunzi wa Dr. rubindamayugi na kwasasa Rwanda ndio nchi inayoongoza Africa kwa matuizi ya Biogas hapa Africa.

Mwingine ni huyu mwanamama Hulda Shaidi Swai huyu yeye ni Nanotechnologist anafanya na CSIR huko SA huyu anagroup ya wanasayansi zaid ya 100 huyu ndiye aliyegundua ANTI TB drug ambayo ni nanomedicine. Dawa hii imeshakuwa patented na soon itaingia sokoni. iko tofauti na dawa za TB za kawaida manake badala ya mtu kumeza dawa kama 60 hivi hapa anameza dawa 1 tu kila baada ya siku 4. kumbuka CSIR ni taasisi kubwa sanaa ambayo ni uti wa mgongo wa viwanda huko SA kwani wanazalisha malighafi nyingi sana kwajili ya viwanda vyao.

mwingine ni huyu aliayetengeneza BIOSENSORS huyu anaitwa Asanterabi Malima, yuko Boston marekani na ana fanyakazi na Biolom( hii ndiyo kampuni inayojihusisha na usambazaji wa biomakers na biosensors) lakini pia ni mwajiriwa wa Centre for High rate Nanomanufacturing (CHN) na anafanya post doc huko Northerneastern University.

haya mimi nimeamua kuwataja hawa wa4 ila ninaamini kwamba wapo wengine ambao watataja. Kimsingi kama kuna mtu anafanya kazi nzuri apewe sifa zake binafsi mie nawakubali sana hawa niliowataja manake ni majembe sana tu.

....mkuu nawe uko kwenye nanotech?......ulikuwepo TZ kwenye smart partnership dialogue?....mimi pia nilikuwepo TZ kwenye hilo kongamano....Kina Dr.Swai wa CSIR wanashughulika na area ya "nano drug delivery system"....ambapo wana synthetize na ku fabricate nano drug carriers.....alafu wanazitumia ku encapsulate drugs(mfano anti TBs)...ili kuziongezea bioavailability na kupunguza toxicity na pill burden kwa mgonjwa.....

...Mimi nipo kwenye area ya nano biomaterial detection....ambapo tuna synthesize na ku fabricate nanoparticles na kuzitumia kwa ajili ya detection ya magonjwa kama cancer....mfano wa hizi nano biomaterials tunazodili nazo ni magnetic nanoparticles (kwa ajili ya MRI)....gold and silica nanoparticles....carbon nanorods na quantum dots.....

.....nanotech ni field iliyo juu kwa sasa duniani....na inasikitisha kwa africa nzima ni South africa pekee wako na capacity ya kufanya innovations kwenye R & D kwa kutumia nanotech.......Nashangaa hata kule Nelson Mandela Institute Arusha hawana hata ka kitengo ka hii kitu ili kuwavuta Biomed. Engineers walio kwenye nanotech field (wakiwemo wabongo wachache sana nje ya nchi)......
 
yap nilikuwepo kwenye smart partneship na nilikuwa kwenye nanotech manake i have my products already ambazo nasubiri kwajili ya kupatet ili zianze kutumika . infact nilikuwa na booth ya nanotech na niliweza kuonyesha baadhi ya products zangu nanocatalys, nanomaterials for waste water treatment na pia nanoparticlesfor portabale water treatment. nilipresent kwenye 29ners na this was what kikwete was saying kwamba wanataka kuipa nguvu.

however kwenye nano hub niliongelea pia some of my innovation nilikuwa the last person kabla mtu wa graffein hajaanza kupresent. uliingia kweny parallel session ya nano??

hapa kwetu vifaa ndo ishu but presdent alimwambia waziri wa sayansi na teknalojia kwamba wataona ins ambavyo serikali inaweza ikatupatia centre for excellency pamoja na vifaa. kikubwa tunahitaj particle anaylser, SEM and other equips ambazo ni ghali sana.

anyways kama uko dar na unadeal na hii kitu njoo kwenye platform yetu ya nano nipm email yako nikuadd ili uwe unapata habari za vikao etc.tuweke nguvu kushinikiza kupata hii centre. nina products kwenye drug delivery zingefaa sana but sina pakuzipeleka.

hapa kwetu ishu ya nano watu tunafanya sana a
 
Back
Top Bottom