nderingosha
JF-Expert Member
- Mar 20, 2011
- 4,285
- 3,253
yap nilikuwepo kwenye smart partneship na nilikuwa kwenye nanotech manake i have my products already ambazo nasubiri kwajili ya kupatet ili zianze kutumika . infact nilikuwa na booth ya nanotech na niliweza kuonyesha baadhi ya products zangu nanocatalys, nanomaterials for waste water treatment na pia nanoparticlesfor portabale water treatment. nilipresent kwenye 29ners na this was what kikwete was saying kwamba wanataka kuipa nguvu.
however kwenye nano hub niliongelea pia some of my innovation nilikuwa the last person kabla mtu wa graffein hajaanza kupresent. uliingia kweny parallel session ya nano??
hapa kwetu vifaa ndo ishu but presdent alimwambia waziri wa sayansi na teknalojia kwamba wataona ins ambavyo serikali inaweza ikatupatia centre for excellency pamoja na vifaa. kikubwa tunahitaj particle anaylser, SEM and other equips ambazo ni ghali sana.
anyways kama uko dar na unadeal na hii kitu njoo kwenye platform yetu ya nano nipm email yako nikuadd ili uwe unapata habari za vikao etc.tuweke nguvu kushinikiza kupata hii centre. nina products kwenye drug delivery zingefaa sana but sina pakuzipeleka.
hapa kwetu ishu ya nano watu tunafanya sana a
......thanks for reply....kwa sasa niko Asia....kwenye taasisi moja ya biotech......lakini huwa nakuja east africa kwa ajili ya product zetu....Infact taasisi yetu ina venture na thermofisher scientific....magwiji wa kutengeneza analyzers...na other products....tuna branch Nairobi....
...Kuhusu nanotech...nimefurahi kuona TZ inaamka at least sasa.....Kweli kama usemavyo issue kubwa ni uwepo wa vifaa kama mashine za kufanyia characterization ya nanomaterials...mfano SEM....au TEM....au FTIR...n.k....Lakini kwa upande wangu mimi naona tatizo kubwa lililopo TZ kwenye hii issue ni kutokuwepo kwa human resource ya kutosha....
...Nikiwa na maana kuwa tz inahitaji nguvu ya ziada ya kutoa capacity kwa kusomesha wataalam wa kutosha kwenye bio nanotech.....kwasababu kunaweza kuwepo na vifaa vya kutosha...na pia reagents kwa ajili ya synthesis na fabrication ya nanomaterials.....lakini watu wa kuifanya hii kazi na pia kutumia hizi mashine wakakosekana....hili ni tatizo kubwa kwa TZ sasa.....mfan...nimewahi kuona hata pale NIMR wamekuaga na next generation DNA sequencing machine...lakini wakawa hawana watu wa kuitumia...mifano iko mingi....
.....Nasema hivi nikirejea hata mifano hai ya asia..ulaya na marekani...hawakuweza kuwa na success kwenye application ya nanotech pasi kuwatumia wataalam wao....wao wamejiwekea mikakati madhubuti ya kuwavuta wataalam wao....haswa wal waliosomea nje...wakarudi makwao kwa ajili ya kuendeleza innovations kwenye R&D wakitumia applications za nanotech....haya maendeleo watu wanayozungumzia kuhusu Asia...yametokana kwa kiasi kikubwa na matumizi ya nanomaterials....kwenye almost fields zote....mfano matumizi ya graphene.....ama carbon nanotubes kwenye viwanda (mfano electronics etc).....Ungemsikiliza yule waziri mkuu wa Malyasia alikazia sana kuhusu capacity building kwenye haya mambo.....wakati watawala wetu wao wamekalia kuchapana na wapinzani kwenye siasa...
......Nije kwenye issue ya kuanzisha kitengo cha nanotech TZ...hili ndilo jambo la msingi sana la kutiliwa nguvu sasa....na haswa serikali....maana investment hii ni bei mbaya.....na inahitaji commitment kubwa ya serikali...ili kuvuta wataalam kuja kufanya kazi TZ..haswa wabongo........Mimi nafikiri pale Nelson Mandela Institute Arusha ni mahali muafaka sana kuanzisha centre of excellence kwenye nanotech.....mimi huku niliko ninaongea na contacts zangu....ma Prof.wa chuo changu kuangalia uwezekano wa siku moja kuwaalika TZ kuja ku facilitate issue ya kufungua nanotech and biomaterial department kwenye one of the universities we have in TZ...Najua tukiunganisha nguvu na nyie mlioko bongo hili linawezekana....kila mtu akija na experience yake.....nadhani kuanza na conference ingekua muafaka.......
....That said....lazima kuwe na initiative ya serikali kwenye hili......maana wakati mwingi watu wanafikiri haya mambo ni magumu...lakini ukweli sivyo....kutengeneza nanomaterials kunahitaji elimu ya kawaida sana....ila matumizi ya zile characterization tools ndio kunahitaji specialized skills zaidi....mflano:.mimi sioni haja eti ya watu kwenye mahospitali makubwa TZ kuagiza magnetic nanoparticles kutoka nje kwa ajili ya kuzitumia kama imaging agents kwenye MRI...wakati tunaweza kutengeneza magnetic nanoparticles kwenye lab hapo bongo (nimespecialize kwenye magnetic nanoparticles)...
...NIMR najua kuna some guys wamefanya nanotech...you may be one of them...maana najua kuna mtu katengeneza nanomaterials kwa ajili ya kuhifadhi maji....mnaita sijui "maji poa!"....
....Will check on you once in Dar.....