Nusratt
JF-Expert Member
- Dec 18, 2024
- 1,707
- 4,192
Utakataa na kufyonza pengine hata kuniporomoshea matusi, ila huu ndio ukweli mchungu kwa baadhi ya wanawake walio ndani ya ndoa zao ambao hawataki kuusikia abadani.
Nina siku ya 4 leo tangu nimetoka vacation Dubai, haijalishi nimetumikaje au nani kanitumia nikiwa huko, ila kiukweli nimeridhika na haya maisha ninayoishi.
Najua wanawake wengi sana wanatamani maisha tunayoishi sisi.
Sijasema msiolewe, nyie kama mmechagua kuolewa ni ninyi.
Kila mtu abaki na amani ya moyo wake.
Ila kiufupi ni kuwa sisi tuna maisha mazuri na yenye furaha kuliko ninyi.
Nimejenga
Nina biashara huria
Nina usafiri wa kutembelea
Kwanini nisijisifu?
Muhimu tujali afya zetu tu.