Ukweli mchungu: Magufuli atashinda tena 2020

Ukweli una sifa moja muhimu: kuuchukia ukweli hakuufanyi kuwa uongo. Na kuuchukia ukweli hakuuzuwii kutokea.

Kwa wanaojali mahesabu, imebaki miezi 22 tu kabla ya uchaguzi mkuu wa mwaka 2020. Tunajua bayana kuwa tayari mgombea wa CCM ni Magufuli. Naam, ukweli ndo huo maana kwa wanaoijua CCM wanafahamu fika kuwa hakuna nafasi ya kujitokeza Mwana-CCM wa kum-challenge.

Hapana, sio kwamba sheria inakataza bali ni muhimu kutambua kuwa CCM sio chama tu bali ni mfumo wa maisha. What I mean here ni kwamba, yeyote atakayeamua kuwa "Liwalo Na liwe" na kuamua kupambana na Magufuli kuwania kuteuliwa na CCM mwaka 2020 atakuwa anaweka rehani maisha yake ya kisiasa na kibinafsi. Jambo hili la ovyo kabisa linakera na kuchukiza lakini unfortunately ndio hali halisi hiyo.

Kitu pekee ndani ya CCM kinachoweza kumzuwia Magufuli ni yeye mwenyewe. Aidha aamue kuwa hatogombea au sijui aboronge kiasi gani. Lakini kutegemea sijui Membe, sijui Mwandosya, sijui nani ni kujaribu tu kujipa matumaini hewa.

Na ukweli mwingine mchungu ni kwamba njia pekee ya kumzuwia Magufuli mwaka 2020 ni ndani ya CCM. Lakini hilo nimeshaongelea hapo juu.

Kwanini ndani ya CCM na sio kwa Upinzani? Kwa sababu miezi 22 kabla ya uchaguzi, wapinzani wapo bize kumshangilia Membe badala ya kukaa kitako na kupanga mikakati ya ushindi 2020.

Naam, Magufuli anawafanyia udikteta Wapinzani lakini hata mkoloni alifanya hivyo kwa TANU lakini uhuru ukapatikana. In fact, huo udikteta wa Magufuli unavisaidia baadhi ya vyama kuficha udhaifu wake no wonder vimekuwa mahiri kudandia matukio badala ya kuwashawishi Watanzania kuwa vyama hivyo vinaweza kuwa mbadala wa CCM.

Chama kikuu cha upinzani Chadema bado kinakabiliwa na ombwe la ajenda. Ikumbukwe kuwa moja ya sababu zilizopelekea Chadema kukubalika kwa Watanzania wengi ni ajenda yake ya vita dhidi ya ufisadi.

Unfortunately, chama hicho kililazimika kutelekeza ajenda hiyo baada ya kumpokea Lowassa, mwanasiasa ambaye chama hicho kilimwandama kwa miaka tisa mfululizo kikimtaja kuwa "baba la ufisadi." It's neither rocket science nor brain surgery kwamba huwezi kumchafua mtu kwa miaka tisa kisha ukataka kumsafisha kwa miezi mitatu. Hiyo ni historia kwa sasa.

Ukijiuliza kitu gani kinaitambulisha Chadema kwa wananchi muda huu sidhani kama utapata jibu la kueleweka. We knew walikuwa mstari wa mbele dhidi ya ufisadi kabla ya ujio wa Lowassa. Kwahiyo ajenda yao kuu ilikuwa vita dhidi ya ufisadi. Je kwa sasa ajenda yao ni ipi?

CUF is too fragmented to mount any upinzani wa maana. Na CUF has always been chama cha Zanzibar. Lakini pia mtihani mkubwa kwa CUF 2020 ni suala la "mgombea wa kudumu wa kiti cha urais" yaani Maalim Seif. Tayari kuna vuguvugu la kutaka mgombea mwingine baada ya Maalim Seif kushindwa mfululizo.

Na hilo la mgombea ni headache nyingine kwa Chadema. Lowassa alishatamka kuwa atagombea 2020. Haihitaji ufahamu mzuri wa siasa za Tanzania kujua kuwa mwanasiasa huyo amesha-expire kisiasa. Vipi kuhusu ambitions za both Sumaye na Nyalandu? Na vipi kuhusu chaguo la wengi ndani ya Chadema Tundu Lissu? Lakini kwa kuzingatia kilichojiri 2015, what about MAKAPI kutoka CCM? Membe may be?

Let's hope busara ita-prevail na chama hicho kitapata mgombea sahihi. Tatizo ni kwamba, muda hauko upande wao. Mwaka 2020 ni kesho kutwa tu na so far maandalizi ni as good as nonexistent.

ACT ya Zitto imeshindwa kujipanua na imeendelea kuwa "chama cha mtu mmoja" ambacho licha ya kuwa kinachofanya vema sana kuliko chama kingine chochote kile cha siasa katika ufuatiliaji wa Bajeti, ripoti ya CAG, nk, kimebaki kuwa kikundi cha harakati zaidi kuliko chama cha siasa.

Idea ya Zitto kuwaunganisha wanasiasa na wanaharakati kuunda democratic front ni nzuri lakini sana sana itaishia kukirahisishia kazi kitengo kuhujumu Umoja kusudiwa. Huwezi kukusanya kila Tom, Dick and Harry kwa vile tu "lengo lenu ni moja" na kutarajia kuking'oa madarakani chama ambacho kinafahamu fika nini kitawakumba viongozi wake kikitoka madarakani.

Yes, CCM kama taasisi ya kihalifu inafahamu fika kuwa ikipigwa chini, watajazana jela. And they are not that stupid kuruhusu hilo litokee kirahisi.

Which brings me back to kichwa cha habari kuwa unless kuna miujiza itakayotokea kati ya sasa na 2020, Magufuli atashinda tena katika uchaguzi mkuu ujao. Kirahisi tu.

Jiskie huru kutafsiri vyovyote vile andiko hili lakini naomba kukumbushia tena kwamba "kuuchukia ukweli hakuufanyi kuwe uongo."

Na jingine la mwisho ni kwamba wishful thinking haiwezi kuleta mabadiliko yoyote yale.

I stand to be corrected.
Huo ni ukweli Evarist Chahali japo hatutaki lakini hatutaweza kuubadili hata iweje. Nili comment jana katika moja ya thread nikauliza kwanini sisi Watanzania ni wepesi sana kusahau matukio kama haya utadhani kama hayajawahi kutokea. Ni vizuri Chahali umekuja na thread kama hii maana huo ndiyo ukweli wenyewe.

Nakuunga mkono 100%
 
JPM atarudi tena 2020~25, changamoto ni kujenga umoja ndani ya chama.
 
Great analysis. Waambie maana naona wanaota mchana kweupe
 
Yes atashinda coz hatuna history ya kumpa Rais awamu Moja tu,

Pili me sidhan kama wapiga kura wa Tanzania wapo after ajenda za vyama wala usishangae ukifanya research yako ukagundia 80% hawajui hata ajenda ya ccm au chadema ni ipi,

Kitu muhimu kwa Watanzania maisha yawe mazuri pesa ziwepo that's all,

Ndio maan Leo ukisema uchumi wa Tanzania unakuwa kwa asilimia 99 kwa mwezi na watu hawana pesa hakuna mtu anakuelewa, wanatamani uchumi ukue kwa 00.01% as long as pesa ipo

Well said brother,hawa wengine sijui sababu wanaishi uhamishoni au mijini ambako ni asilimia ndogo tu ya mabingwa wa mitandaoni wanaamini kuwa mtu kama Membe anaweza kuiburuza CCM,wangejiuliza kuna mtu alikuwa na jeuri huko CCM kama Lowassa ambaye aliwahi kudiriki kusema asiyemtaka ahame CCM,Lowassa aliyeimbiwa wimbo kwenye ukumbi,pia mumemsahau Salimini Amour Komandoo alivyotaka kutikisa kiberiti,watu wanadanganyika na Membe na hivyo vijisenti vyake vya Libya,nawaambia Membe atausikia tu uraisi kama vile walivyo akina Maalim Seif,Lowassa,Sumaye .jeuri ya samaki ipo majini na si nchi kavu, na majini ni CCM na sio upinzani,upinzani ni nchi kavu . Siasa za Tanzania kwa upinzani wa aina hii (matukio) ambao akina Zitto,Lissu ,Maalimu Seif na timu zao wanaufanya hawatashika dola kamwe, si ajabu CCM watatutawala milele.
 
Hii si taarifa, ni kitu kilicho wazi. Safari hii atafikisha zaidi ya asilimia 70% believe me.
Mwaka 2015, alipata 58% pekee kutokana na ubovu wa watangulizi wake. Kipimo cha mafanikio yake subirini hata Uchaguzi wa Serikali za Mitaa tu wa 2019. Wapinzani wamenyang'anywa majimbo na kata kiulaini halafu hao ndio wampe shida Rais 2020?
Dreamliner tumeiona.
Ma-Airbus mengine yanatua soon.
2019 tayari mchuma wa SGR tunaanza kuupanda.

Kila kitu kinaenda sawa isipokuwa vilaza wachache wa mitandaoni wanaodhani mkulima kijijini anafikiria wabavyofikiria wao. Wapinzani wakati wa Kampeni watakuwa wanailalamikia Serikali kwa wananchi huko vijijini - eti oooohh, Serikali
  • imeminya demokrasia,
  • inawakamata Wapinzani kwa uonevu,
  • imefungia Bunge live,
  • imekataa mchakato wa Katiba mpya,
  • tumetengwa na mataifa ya nje. Na blah blah ...
Serikali inakuja na kuwaeleza wakulima vijijini kuwa imetoa:
  • Elimu bure,
  • Imesambaza umeme vijinini,
  • Imesambaza maji kwa kasi kubwa,
  • Imeboresha huduma za afya kwa kujenga hospitali na vituo vya afya,
  • Imeboresha miundombinu ya barabara vijijini (TARURA)
  • Imeboresha mazingira ya kibiashara ya wanyonge (machinga).
  • Imekuza usafirishaji kwa kuleta ndege, meli mpya, treni mpya, bandari kupanuliwa,
  • Imeboresha customer care maofisini, etc, etc, etc.
Jiulize hapo mkulima atampaje Mpinzani kura?
[emoji13][emoji13][emoji13]
 
CCM labla waungane wote wamtoe Magu, na wakijaribu kufanya hivyo ikishindikana watafute sehemu ya kukimbilia baada ya jaribio lao kufail..

Nacho washauri wapinzani ili kuingoa ccm madarakani watengeneze idadi kubwa ya wabunge kuwazidi wa ccm, upinzani wawe na idadi kubwa ya wabunge hapo ndiyo watakapo weza kupambana na ccm, matamko ya hovyo hatuta yasikia tena, mwanzo wa katiba mpya kupatikana..
 
Kwa sababu Wewe na Mungu WA Israeli mpo Karibu!
 
Wenye akili wataelewa na wanaelewa tatizo la upinzani wa nchi hii ni umalaya.

Magufuli piga kazi.
 
Kwa bandiko hili sasa nimeanza kutilia shaka kweli Evarist Chahali anatumika kwa mnasaba wa ccm nyuma ya mgongo.
 
Ukweli una sifa moja muhimu: kuuchukia ukweli hakuufanyi kuwa uongo. Na kuuchukia ukweli hakuuzuwii kutokea.

Kwa wanaojali mahesabu, imebaki miezi 22 tu kabla ya uchaguzi mkuu wa mwaka 2020. Tunajua bayana kuwa tayari mgombea wa CCM ni Magufuli. Naam, ukweli ndo huo maana kwa wanaoijua CCM wanafahamu fika kuwa hakuna nafasi ya kujitokeza Mwana-CCM wa kum-challenge.

Hapana, sio kwamba sheria inakataza bali ni muhimu kutambua kuwa CCM sio chama tu bali ni mfumo wa maisha. What I mean here ni kwamba, yeyote atakayeamua kuwa "Liwalo Na liwe" na kuamua kupambana na Magufuli kuwania kuteuliwa na CCM mwaka 2020 atakuwa anaweka rehani maisha yake ya kisiasa na kibinafsi. Jambo hili la ovyo kabisa linakera na kuchukiza lakini unfortunately ndio hali halisi hiyo.

Kitu pekee ndani ya CCM kinachoweza kumzuwia Magufuli ni yeye mwenyewe. Aidha aamue kuwa hatogombea au sijui aboronge kiasi gani. Lakini kutegemea sijui Membe, sijui Mwandosya, sijui nani ni kujaribu tu kujipa matumaini hewa.

Na ukweli mwingine mchungu ni kwamba njia pekee ya kumzuwia Magufuli mwaka 2020 ni ndani ya CCM. Lakini hilo nimeshaongelea hapo juu.

Kwanini ndani ya CCM na sio kwa Upinzani? Kwa sababu miezi 22 kabla ya uchaguzi, wapinzani wapo bize kumshangilia Membe badala ya kukaa kitako na kupanga mikakati ya ushindi 2020.

Naam, Magufuli anawafanyia udikteta Wapinzani lakini hata mkoloni alifanya hivyo kwa TANU lakini uhuru ukapatikana. In fact, huo udikteta wa Magufuli unavisaidia baadhi ya vyama kuficha udhaifu wake no wonder vimekuwa mahiri kudandia matukio badala ya kuwashawishi Watanzania kuwa vyama hivyo vinaweza kuwa mbadala wa CCM.

Chama kikuu cha upinzani Chadema bado kinakabiliwa na ombwe la ajenda. Ikumbukwe kuwa moja ya sababu zilizopelekea Chadema kukubalika kwa Watanzania wengi ni ajenda yake ya vita dhidi ya ufisadi.

Unfortunately, chama hicho kililazimika kutelekeza ajenda hiyo baada ya kumpokea Lowassa, mwanasiasa ambaye chama hicho kilimwandama kwa miaka tisa mfululizo kikimtaja kuwa "baba la ufisadi." It's neither rocket science nor brain surgery kwamba huwezi kumchafua mtu kwa miaka tisa kisha ukataka kumsafisha kwa miezi mitatu. Hiyo ni historia kwa sasa.

Ukijiuliza kitu gani kinaitambulisha Chadema kwa wananchi muda huu sidhani kama utapata jibu la kueleweka. We knew walikuwa mstari wa mbele dhidi ya ufisadi kabla ya ujio wa Lowassa. Kwahiyo ajenda yao kuu ilikuwa vita dhidi ya ufisadi. Je kwa sasa ajenda yao ni ipi?

CUF is too fragmented to mount any upinzani wa maana. Na CUF has always been chama cha Zanzibar. Lakini pia mtihani mkubwa kwa CUF 2020 ni suala la "mgombea wa kudumu wa kiti cha urais" yaani Maalim Seif. Tayari kuna vuguvugu la kutaka mgombea mwingine baada ya Maalim Seif kushindwa mfululizo.

Na hilo la mgombea ni headache nyingine kwa Chadema. Lowassa alishatamka kuwa atagombea 2020. Haihitaji ufahamu mzuri wa siasa za Tanzania kujua kuwa mwanasiasa huyo amesha-expire kisiasa. Vipi kuhusu ambitions za both Sumaye na Nyalandu? Na vipi kuhusu chaguo la wengi ndani ya Chadema Tundu Lissu? Lakini kwa kuzingatia kilichojiri 2015, what about MAKAPI kutoka CCM? Membe may be?

Let's hope busara ita-prevail na chama hicho kitapata mgombea sahihi. Tatizo ni kwamba, muda hauko upande wao. Mwaka 2020 ni kesho kutwa tu na so far maandalizi ni as good as nonexistent.

ACT ya Zitto imeshindwa kujipanua na imeendelea kuwa "chama cha mtu mmoja" ambacho licha ya kuwa kinachofanya vema sana kuliko chama kingine chochote kile cha siasa katika ufuatiliaji wa Bajeti, ripoti ya CAG, nk, kimebaki kuwa kikundi cha harakati zaidi kuliko chama cha siasa.

Idea ya Zitto kuwaunganisha wanasiasa na wanaharakati kuunda democratic front ni nzuri lakini sana sana itaishia kukirahisishia kazi kitengo kuhujumu Umoja kusudiwa. Huwezi kukusanya kila Tom, Dick and Harry kwa vile tu "lengo lenu ni moja" na kutarajia kuking'oa madarakani chama ambacho kinafahamu fika nini kitawakumba viongozi wake kikitoka madarakani.

Yes, CCM kama taasisi ya kihalifu inafahamu fika kuwa ikipigwa chini, watajazana jela. And they are not that stupid kuruhusu hilo litokee kirahisi.

Which brings me back to kichwa cha habari kuwa unless kuna miujiza itakayotokea kati ya sasa na 2020, Magufuli atashinda tena katika uchaguzi mkuu ujao. Kirahisi tu.

Jiskie huru kutafsiri vyovyote vile andiko hili lakini naomba kukumbushia tena kwamba "kuuchukia ukweli hakuufanyi kuwe uongo."

Na jingine la mwisho ni kwamba wishful thinking haiwezi kuleta mabadiliko yoyote yale.

I stand to be corrected.
Mkuu,ulichoandika kiko wazi,ni wachache watakuelewa,kumshinda Magufuli there must be a blood shed,huwezi kumshinda shetani kirahisi bila maombi ya vita...
Ila unakosea kusema upinzani unamshangilia Membe,majuzi Nilikufafanulia vyema ila hukuelewa kabisa...
2015 Magufuli hakushinda,ni nguvu za dola zimekuwa zikisimamia uhalifu wa ccm,ongezea na ujuha wa watanzania wengi
 
Tunakusubiri sana Tanzania,Umevujisha siri nyingi za Taifa

Leo Taifa letu limevuliwa nguo na wewe chahali

Taifa lilikuamini,Watanzania wanakusubiri

Wewe na Mange kimbambi ni Idiot wa Taifa

Kwanini uliamua wewe na Mange kutoa siri za nchi

Nyie mmesaliti nchi na Taifa

Mmeacha majeraha makubwa ya uhaini

Muda utaongea
 
Hayo madaraka anaporwa nani mkuu maana atakayeshinda ndio huyo mwenye nayo.
CCM haishindi uchaguzi inapora matokeo na kujitangaza. Ref. Uchaguzi Mdogo wa marudio kinondoni ,korogwe ,monduli nk
 
ingawa ni pumba lakini naheshimu uhuru wa maoni ulonao
endelea kuota tuu
nani asiejua untatumika as assets sehem fulani?
lini utakua mzalendo kwa inchi yako? badala usaidie wananchi wenzio we unawasaidia watawala kudumaza nchi yetu

boy ungekua tz ngekufumua bichwa lako kwa mkono wangu 😬
 
Nadhani mtoa mada ni vizuri ukatoa tafsiri sahihi ya kushinda na kushindwa pale uchaguzi wa Tanzania unapohusika. Nadhani lugha sahihi ni kuwa Magufuli atapotishwa tena kuwa Rais wa Tanzania ifikapo uchaguzi wa 2020. Sio sahihi kusema kuwa wapinzani watashindwa wakati unajua kabisa kuwa uwanja hauko sawa. Tume ya uchaguzi haiko huru, hakuna asiyejua kuwa kitengo ndicho kinaamua nani awe Rais. Kwa lugha rahisi Tanzania hakuna kuchagua bali kuna kusikia nani Rais.
 
Ukweli una sifa moja muhimu: kuuchukia ukweli hakuufanyi kuwa uongo. Na kuuchukia ukweli hakuuzuwii kutokea.

Which brings me back to kichwa cha habari kuwa unless kuna miujiza itakayotokea kati ya sasa na 2020, Magufuli atashinda tena katika uchaguzi mkuu ujao. Kirahisi tu.

Jiskie huru kutafsiri vyovyote vile andiko hili lakini naomba kukumbushia tena kwamba "kuuchukia ukweli hakuufanyi kuwe uongo."

Na jingine la mwisho ni kwamba wishful thinking haiwezi kuleta mabadiliko yoyote yale.
I stand to be corrected.
Naunga mkono hoja,
Swali la Ukweli Mchungu: Je, 2020 Magufuli ana mpinzani au mshindani, au Ni Magufuli tu?!. - JamiiForums
P
 
Back
Top Bottom