Ukweli mchungu: Magufuli atashinda tena 2020

Ukweli una sifa moja muhimu: kuuchukia ukweli hakuufanyi kuwa uongo. Na kuuchukia ukweli hakuuzuwii kutokea.

Kwa wanaojali mahesabu, imebaki miezi 22 tu kabla ya uchaguzi mkuu wa mwaka 2020. Tunajua bayana kuwa tayari mgombea wa CCM ni Magufuli. Naam, ukweli ndo huo maana kwa wanaoijua CCM wanafahamu fika kuwa hakuna nafasi ya kujitokeza Mwana-CCM wa kum-challenge.

Hapana, sio kwamba sheria inakataza bali ni muhimu kutambua kuwa CCM sio chama tu bali ni mfumo wa maisha. What I mean here ni kwamba, yeyote atakayeamua kuwa "Liwalo Na liwe" na kuamua kupambana na Magufuli kuwania kuteuliwa na CCM mwaka 2020 atakuwa anaweka rehani maisha yake ya kisiasa na kibinafsi. Jambo hili la ovyo kabisa linakera na kuchukiza lakini unfortunately ndio hali halisi hiyo.

Kitu pekee ndani ya CCM kinachoweza kumzuwia Magufuli ni yeye mwenyewe. Aidha aamue kuwa hatogombea au sijui aboronge kiasi gani. Lakini kutegemea sijui Membe, sijui Mwandosya, sijui nani ni kujaribu tu kujipa matumaini hewa.

Na ukweli mwingine mchungu ni kwamba njia pekee ya kumzuwia Magufuli mwaka 2020 ni ndani ya CCM. Lakini hilo nimeshaongelea hapo juu.

Kwanini ndani ya CCM na sio kwa Upinzani? Kwa sababu miezi 22 kabla ya uchaguzi, wapinzani wapo bize kumshangilia Membe badala ya kukaa kitako na kupanga mikakati ya ushindi 2020.

Naam, Magufuli anawafanyia udikteta Wapinzani lakini hata mkoloni alifanya hivyo kwa TANU lakini uhuru ukapatikana. In fact, huo udikteta wa Magufuli unavisaidia baadhi ya vyama kuficha udhaifu wake no wonder vimekuwa mahiri kudandia matukio badala ya kuwashawishi Watanzania kuwa vyama hivyo vinaweza kuwa mbadala wa CCM.

Chama kikuu cha upinzani Chadema bado kinakabiliwa na ombwe la ajenda. Ikumbukwe kuwa moja ya sababu zilizopelekea Chadema kukubalika kwa Watanzania wengi ni ajenda yake ya vita dhidi ya ufisadi.

Unfortunately, chama hicho kililazimika kutelekeza ajenda hiyo baada ya kumpokea Lowassa, mwanasiasa ambaye chama hicho kilimwandama kwa miaka tisa mfululizo kikimtaja kuwa "baba la ufisadi." It's neither rocket science nor brain surgery kwamba huwezi kumchafua mtu kwa miaka tisa kisha ukataka kumsafisha kwa miezi mitatu. Hiyo ni historia kwa sasa.

Ukijiuliza kitu gani kinaitambulisha Chadema kwa wananchi muda huu sidhani kama utapata jibu la kueleweka. We knew walikuwa mstari wa mbele dhidi ya ufisadi kabla ya ujio wa Lowassa. Kwahiyo ajenda yao kuu ilikuwa vita dhidi ya ufisadi. Je kwa sasa ajenda yao ni ipi?

CUF is too fragmented to mount any upinzani wa maana. Na CUF has always been chama cha Zanzibar. Lakini pia mtihani mkubwa kwa CUF 2020 ni suala la "mgombea wa kudumu wa kiti cha urais" yaani Maalim Seif. Tayari kuna vuguvugu la kutaka mgombea mwingine baada ya Maalim Seif kushindwa mfululizo.

Na hilo la mgombea ni headache nyingine kwa Chadema. Lowassa alishatamka kuwa atagombea 2020. Haihitaji ufahamu mzuri wa siasa za Tanzania kujua kuwa mwanasiasa huyo amesha-expire kisiasa. Vipi kuhusu ambitions za both Sumaye na Nyalandu? Na vipi kuhusu chaguo la wengi ndani ya Chadema Tundu Lissu? Lakini kwa kuzingatia kilichojiri 2015, what about MAKAPI kutoka CCM? Membe may be?

Let's hope busara ita-prevail na chama hicho kitapata mgombea sahihi. Tatizo ni kwamba, muda hauko upande wao. Mwaka 2020 ni kesho kutwa tu na so far maandalizi ni as good as nonexistent.

ACT ya Zitto imeshindwa kujipanua na imeendelea kuwa "chama cha mtu mmoja" ambacho licha ya kuwa kinachofanya vema sana kuliko chama kingine chochote kile cha siasa katika ufuatiliaji wa Bajeti, ripoti ya CAG, nk, kimebaki kuwa kikundi cha harakati zaidi kuliko chama cha siasa.

Idea ya Zitto kuwaunganisha wanasiasa na wanaharakati kuunda democratic front ni nzuri lakini sana sana itaishia kukirahisishia kazi kitengo kuhujumu Umoja kusudiwa. Huwezi kukusanya kila Tom, Dick and Harry kwa vile tu "lengo lenu ni moja" na kutarajia kuking'oa madarakani chama ambacho kinafahamu fika nini kitawakumba viongozi wake kikitoka madarakani.

Yes, CCM kama taasisi ya kihalifu inafahamu fika kuwa ikipigwa chini, watajazana jela. And they are not that stupid kuruhusu hilo litokee kirahisi.

Which brings me back to kichwa cha habari kuwa unless kuna miujiza itakayotokea kati ya sasa na 2020, Magufuli atashinda tena katika uchaguzi mkuu ujao. Kirahisi tu.

Jiskie huru kutafsiri vyovyote vile andiko hili lakini naomba kukumbushia tena kwamba "kuuchukia ukweli hakuufanyi kuwe uongo."

Na jingine la mwisho ni kwamba wishful thinking haiwezi kuleta mabadiliko yoyote yale.

I stand to be corrected.
Confused; hiyo bidii mliyonayo inawafaa ninyi tu si Watanzania.
 
Huu sio ukweli sema ni mawazo yako.mawazo yako na hisia zako na matokeo yake yanaweza kua tofauti kabisa..Maisha sio sawa na kuchomoza na kuzama kwa jua.Hiyo miezi 22 inaweza kutimia nchi ikiwa na historia tofauti kabisa.Muda utaongea.
 
Akina Mwanakijiji walikuwa mabingwa wa kuandika na leo hii wantamani maandishi yao yapotee
 
Unaandika haya yote kana kwamba kuna tume huru ya uchaguzi.
 
kuuchukia ukweli hakuufanyi kuwe uongo na kuupenda uongo hakuufanyi kuwa ukweli hii haiitaji rocket science au brain surgery
 
Ukweli una sifa moja muhimu: kuuchukia ukweli hakuufanyi kuwa uongo. Na kuuchukia ukweli hakuuzuwii kutokea.

Kwa wanaojali mahesabu, imebaki miezi 22 tu kabla ya uchaguzi mkuu wa mwaka 2020. Tunajua bayana kuwa tayari mgombea wa CCM ni Magufuli. Naam, ukweli ndo huo maana kwa wanaoijua CCM wanafahamu fika kuwa hakuna nafasi ya kujitokeza Mwana-CCM wa kum-challenge.

Hapana, sio kwamba sheria inakataza bali ni muhimu kutambua kuwa CCM sio chama tu bali ni mfumo wa maisha. What I mean here ni kwamba, yeyote atakayeamua kuwa "Liwalo Na liwe" na kuamua kupambana na Magufuli kuwania kuteuliwa na CCM mwaka 2020 atakuwa anaweka rehani maisha yake ya kisiasa na kibinafsi. Jambo hili la ovyo kabisa linakera na kuchukiza lakini unfortunately ndio hali halisi hiyo.

Kitu pekee ndani ya CCM kinachoweza kumzuwia Magufuli ni yeye mwenyewe. Aidha aamue kuwa hatogombea au sijui aboronge kiasi gani. Lakini kutegemea sijui Membe, sijui Mwandosya, sijui nani ni kujaribu tu kujipa matumaini hewa.

Na ukweli mwingine mchungu ni kwamba njia pekee ya kumzuwia Magufuli mwaka 2020 ni ndani ya CCM. Lakini hilo nimeshaongelea hapo juu.

Kwanini ndani ya CCM na sio kwa Upinzani? Kwa sababu miezi 22 kabla ya uchaguzi, wapinzani wapo bize kumshangilia Membe badala ya kukaa kitako na kupanga mikakati ya ushindi 2020.

Naam, Magufuli anawafanyia udikteta Wapinzani lakini hata mkoloni alifanya hivyo kwa TANU lakini uhuru ukapatikana. In fact, huo udikteta wa Magufuli unavisaidia baadhi ya vyama kuficha udhaifu wake no wonder vimekuwa mahiri kudandia matukio badala ya kuwashawishi Watanzania kuwa vyama hivyo vinaweza kuwa mbadala wa CCM.

Chama kikuu cha upinzani Chadema bado kinakabiliwa na ombwe la ajenda. Ikumbukwe kuwa moja ya sababu zilizopelekea Chadema kukubalika kwa Watanzania wengi ni ajenda yake ya vita dhidi ya ufisadi.

Unfortunately, chama hicho kililazimika kutelekeza ajenda hiyo baada ya kumpokea Lowassa, mwanasiasa ambaye chama hicho kilimwandama kwa miaka tisa mfululizo kikimtaja kuwa "baba la ufisadi." It's neither rocket science nor brain surgery kwamba huwezi kumchafua mtu kwa miaka tisa kisha ukataka kumsafisha kwa miezi mitatu. Hiyo ni historia kwa sasa.

Ukijiuliza kitu gani kinaitambulisha Chadema kwa wananchi muda huu sidhani kama utapata jibu la kueleweka. We knew walikuwa mstari wa mbele dhidi ya ufisadi kabla ya ujio wa Lowassa. Kwahiyo ajenda yao kuu ilikuwa vita dhidi ya ufisadi. Je kwa sasa ajenda yao ni ipi?

CUF is too fragmented to mount any upinzani wa maana. Na CUF has always been chama cha Zanzibar. Lakini pia mtihani mkubwa kwa CUF 2020 ni suala la "mgombea wa kudumu wa kiti cha urais" yaani Maalim Seif. Tayari kuna vuguvugu la kutaka mgombea mwingine baada ya Maalim Seif kushindwa mfululizo.

Na hilo la mgombea ni headache nyingine kwa Chadema. Lowassa alishatamka kuwa atagombea 2020. Haihitaji ufahamu mzuri wa siasa za Tanzania kujua kuwa mwanasiasa huyo amesha-expire kisiasa. Vipi kuhusu ambitions za both Sumaye na Nyalandu? Na vipi kuhusu chaguo la wengi ndani ya Chadema Tundu Lissu? Lakini kwa kuzingatia kilichojiri 2015, what about MAKAPI kutoka CCM? Membe may be?

Let's hope busara ita-prevail na chama hicho kitapata mgombea sahihi. Tatizo ni kwamba, muda hauko upande wao. Mwaka 2020 ni kesho kutwa tu na so far maandalizi ni as good as nonexistent.

ACT ya Zitto imeshindwa kujipanua na imeendelea kuwa "chama cha mtu mmoja" ambacho licha ya kuwa kinachofanya vema sana kuliko chama kingine chochote kile cha siasa katika ufuatiliaji wa Bajeti, ripoti ya CAG, nk, kimebaki kuwa kikundi cha harakati zaidi kuliko chama cha siasa.

Idea ya Zitto kuwaunganisha wanasiasa na wanaharakati kuunda democratic front ni nzuri lakini sana sana itaishia kukirahisishia kazi kitengo kuhujumu Umoja kusudiwa. Huwezi kukusanya kila Tom, Dick and Harry kwa vile tu "lengo lenu ni moja" na kutarajia kuking'oa madarakani chama ambacho kinafahamu fika nini kitawakumba viongozi wake kikitoka madarakani.

Yes, CCM kama taasisi ya kihalifu inafahamu fika kuwa ikipigwa chini, watajazana jela. And they are not that stupid kuruhusu hilo litokee kirahisi.

Which brings me back to kichwa cha habari kuwa unless kuna miujiza itakayotokea kati ya sasa na 2020, Magufuli atashinda tena katika uchaguzi mkuu ujao. Kirahisi tu.

Jiskie huru kutafsiri vyovyote vile andiko hili lakini naomba kukumbushia tena kwamba "kuuchukia ukweli hakuufanyi kuwe uongo."

Na jingine la mwisho ni kwamba wishful thinking haiwezi kuleta mabadiliko yoyote yale.

I stand to be corrected.
Basi sasa umeshapewa msamaha wa ukimbizi kwa madhambi uliyofanya rudi nyumbani Evarist Chahali
 
Sasa umeacha ushushushu umekua msema chochote
 
Nimesoma weweeee, naomba nisijiingize kwenye hivyo vigezo vyako ulivyotumia. Upinzani hauwezi kushinda kwa sababu ya kutokuwa na tume huru ya uchaguzi. Hata kama wangekuwa vizuri kwenye hayo yote uliyoyaelezea bado kutokuwepo tume huru kunafanya iwe kazi bure.

Na labda cha kuwasaidia wafanye juu chini wamletee magufuli na ccm upinzani mzito sana na urais ili at least aachilie huku kwenye ubunge atleast wapate hata wabunge wawili watatu wakijiandaa kwa 2025 la sivyo uwezekano wa kupoteza wabunge na kukosa Urais ni wazi kabisa.
 
Yes atashinda coz hatuna history ya kumpa Rais awamu Moja tu,

Pili me sidhan kama wapiga kura wa Tanzania wapo after ajenda za vyama wala usishangae ukifanya research yako ukagundia 80% hawajui hata ajenda ya ccm au chadema ni ipi,

Kitu muhimu kwa Watanzania maisha yawe mazuri pesa ziwepo that's all,

Ndio maan Leo ukisema uchumi wa Tanzania unakuwa kwa asilimia 99 kwa mwezi na watu hawana pesa hakuna mtu anakuelewa, wanatamani uchumi ukue kwa 00.01% as long as pesa ipo
Yah hiyo hoja ya sijui ajenda za chadema haina maana yoyote. Mtanzania gani anayeangalia agenda, sijui itikadi au mrengo, wengi ni wafuata mkumbo na mihemko. Hebu mmoja ajaribu kupita hata kwa wanachama wa ccm awaulize itikadi ya ccm ni ipi wengi hawajui wakijitahidi watakwambia itikadi ni hapa kazi tu. Pita hata huko chadema uwaulize wanachama kama wanajua hiyo Sera mbadala zilizozinduliwa juzi kama wanazifahamu.

Kitachokwamisha upinzani ni tume huru ya uchaguzi na hakuna muujiza. Kusema upinzani utashinda uchaguzi wa 2020 kwa tume hii ni ndoto na kukimbiza upepo.
 
Chahali tatizo lako ni moja tu. Unapenda sana kukosoa watu. Wewe ukikosolewa kidogo tu (hata bila kutukanwa) huko Twitter, huwa unakimbilia ku-block watu ama kuwaita kenge 😀. Hii haki ya kukosoa iwe ni two-way traffic mzee. Najua watuamiaji wengi wa Twitter mtakua mnanielewa hapa. Point nyingine sitofautiani sana na wewe kwenye chapisho hapo juu.
Nadhani ni so-called "wanaharakati" wa mtandaoni wote ni bingwa wa kublock ukiwabana kwa hoja anzia kwa Chahali, mange Kimambi, malisa, lemutuz, zitto Kabwe. Hawa niliowataja wana block wakibanwa na hoja nzito dhidi ya hoja zao nyepesi, hata asipotukanwa.

Mtu ambaye huwa hablock watu ni Yericko Nyerere na pia bora mashangazi maria na Fatma wana block wakitukanwa matusi mazito.
 
Ukweli una sifa moja muhimu: kuuchukia ukweli hakuufanyi kuwa uongo. Na kuuchukia ukweli hakuuzuwii kutokea.

Kwa wanaojali mahesabu, imebaki miezi 22 tu kabla ya uchaguzi mkuu wa mwaka 2020. Tunajua bayana kuwa tayari mgombea wa CCM ni Magufuli. Naam, ukweli ndo huo maana kwa wanaoijua CCM wanafahamu fika kuwa hakuna nafasi ya kujitokeza Mwana-CCM wa kum-challenge.

Hapana, sio kwamba sheria inakataza bali ni muhimu kutambua kuwa CCM sio chama tu bali ni mfumo wa maisha. What I mean here ni kwamba, yeyote atakayeamua kuwa "Liwalo Na liwe" na kuamua kupambana na Magufuli kuwania kuteuliwa na CCM mwaka 2020 atakuwa anaweka rehani maisha yake ya kisiasa na kibinafsi. Jambo hili la ovyo kabisa linakera na kuchukiza lakini unfortunately ndio hali halisi hiyo.

Kitu pekee ndani ya CCM kinachoweza kumzuwia Magufuli ni yeye mwenyewe. Aidha aamue kuwa hatogombea au sijui aboronge kiasi gani. Lakini kutegemea sijui Membe, sijui Mwandosya, sijui nani ni kujaribu tu kujipa matumaini hewa.

Na ukweli mwingine mchungu ni kwamba njia pekee ya kumzuwia Magufuli mwaka 2020 ni ndani ya CCM. Lakini hilo nimeshaongelea hapo juu.

Kwanini ndani ya CCM na sio kwa Upinzani? Kwa sababu miezi 22 kabla ya uchaguzi, wapinzani wapo bize kumshangilia Membe badala ya kukaa kitako na kupanga mikakati ya ushindi 2020.

Naam, Magufuli anawafanyia udikteta Wapinzani lakini hata mkoloni alifanya hivyo kwa TANU lakini uhuru ukapatikana. In fact, huo udikteta wa Magufuli unavisaidia baadhi ya vyama kuficha udhaifu wake no wonder vimekuwa mahiri kudandia matukio badala ya kuwashawishi Watanzania kuwa vyama hivyo vinaweza kuwa mbadala wa CCM.

Chama kikuu cha upinzani Chadema bado kinakabiliwa na ombwe la ajenda. Ikumbukwe kuwa moja ya sababu zilizopelekea Chadema kukubalika kwa Watanzania wengi ni ajenda yake ya vita dhidi ya ufisadi.

Unfortunately, chama hicho kililazimika kutelekeza ajenda hiyo baada ya kumpokea Lowassa, mwanasiasa ambaye chama hicho kilimwandama kwa miaka tisa mfululizo kikimtaja kuwa "baba la ufisadi." It's neither rocket science nor brain surgery kwamba huwezi kumchafua mtu kwa miaka tisa kisha ukataka kumsafisha kwa miezi mitatu. Hiyo ni historia kwa sasa.

Ukijiuliza kitu gani kinaitambulisha Chadema kwa wananchi muda huu sidhani kama utapata jibu la kueleweka. We knew walikuwa mstari wa mbele dhidi ya ufisadi kabla ya ujio wa Lowassa. Kwahiyo ajenda yao kuu ilikuwa vita dhidi ya ufisadi. Je kwa sasa ajenda yao ni ipi?

CUF is too fragmented to mount any upinzani wa maana. Na CUF has always been chama cha Zanzibar. Lakini pia mtihani mkubwa kwa CUF 2020 ni suala la "mgombea wa kudumu wa kiti cha urais" yaani Maalim Seif. Tayari kuna vuguvugu la kutaka mgombea mwingine baada ya Maalim Seif kushindwa mfululizo.

Na hilo la mgombea ni headache nyingine kwa Chadema. Lowassa alishatamka kuwa atagombea 2020. Haihitaji ufahamu mzuri wa siasa za Tanzania kujua kuwa mwanasiasa huyo amesha-expire kisiasa. Vipi kuhusu ambitions za both Sumaye na Nyalandu? Na vipi kuhusu chaguo la wengi ndani ya Chadema Tundu Lissu? Lakini kwa kuzingatia kilichojiri 2015, what about MAKAPI kutoka CCM? Membe may be?

Let's hope busara ita-prevail na chama hicho kitapata mgombea sahihi. Tatizo ni kwamba, muda hauko upande wao. Mwaka 2020 ni kesho kutwa tu na so far maandalizi ni as good as nonexistent.

ACT ya Zitto imeshindwa kujipanua na imeendelea kuwa "chama cha mtu mmoja" ambacho licha ya kuwa kinachofanya vema sana kuliko chama kingine chochote kile cha siasa katika ufuatiliaji wa Bajeti, ripoti ya CAG, nk, kimebaki kuwa kikundi cha harakati zaidi kuliko chama cha siasa.

Idea ya Zitto kuwaunganisha wanasiasa na wanaharakati kuunda democratic front ni nzuri lakini sana sana itaishia kukirahisishia kazi kitengo kuhujumu Umoja kusudiwa. Huwezi kukusanya kila Tom, Dick and Harry kwa vile tu "lengo lenu ni moja" na kutarajia kuking'oa madarakani chama ambacho kinafahamu fika nini kitawakumba viongozi wake kikitoka madarakani.

Yes, CCM kama taasisi ya kihalifu inafahamu fika kuwa ikipigwa chini, watajazana jela. And they are not that stupid kuruhusu hilo litokee kirahisi.

Which brings me back to kichwa cha habari kuwa unless kuna miujiza itakayotokea kati ya sasa na 2020, Magufuli atashinda tena katika uchaguzi mkuu ujao. Kirahisi tu.

Jiskie huru kutafsiri vyovyote vile andiko hili lakini naomba kukumbushia tena kwamba "kuuchukia ukweli hakuufanyi kuwe uongo."

Na jingine la mwisho ni kwamba wishful thinking haiwezi kuleta mabadiliko yoyote yale.

I stand to be corrected.
Wewe cjui hata unaongea point gan hapa. Ukweli ni huu apa ili ukawa washinde 2020 ni lazima NEC wakubali kuwepo na wawakilishi wa vyama vya upinzani ndani ya NEC ili kuepuka udanganyifu uliotokea 2015.
 
CCM labla waungane wote wamtoe Magu, na wakijaribu kufanya hivyo ikishindikana watafute sehemu ya kukimbilia baada ya jaribio lao kufail..

Nacho washauri wapinzani ili kuingoa ccm madarakani watengeneze idadi kubwa ya wabunge kuwazidi wa ccm, upinzani wawe na idadi kubwa ya wabunge hapo ndiyo watakapo weza kupambana na ccm, matamko ya hovyo hatuta yasikia tena, mwanzo wa katiba mpya kupatikana..
Hicho ndicho Mwalimu Nyerere aliwaambia kina Mabere Nyaucho Marando mwaka 1995. Wabunge wakiwa wengi kwa Katiba yetu wao ndiyo watatoa Waziri mkuu kama ccm hawatacheza mchezo mchafu hata kama wakicheza mchezo mchafu wakiwa na idadi kubwa ya wabunge rais hatakua na nguvu. Kina Lissu wanalitambua hilo lakini wanajifanya wana usongo na Ikulu ambayo wataisikia kwenye radio na TV tu wapende wasipende hata kama watamleta Yseu na Mohhamad wagombee kwa tiketi ya UKAWA.
 
Back
Top Bottom