Kwani Sumu ya Panya haiui binadamu eehHahaha yani Evarist Chahali hata usingeandika huu uzi, hilo linafahamika rais kwa ticket ya ccm ni miaka 10 na ccm mwenyekiti taifa ni miaka 10.
Huwa sielewi nyuzi zako huwa zina ujumbe gani.
Juzi ulituambia eti adui wa upinzani ni ccm, kisha ukatuambia zitto kabwe ni pandikizo huko upinzani, unavyokwenda iko siku utatuambia sumu ya panya inaua na binadamu.