Ukweli mchungu: Magufuli atashinda tena 2020

Nimesoma andiko lako na nakubaliana na wewe 100%
Tatizo liko kwa WAPINZANI....ni wagum wakujifanyia tathimini.
Hawajui kuwa siku zinayoyoma....wamekalia Membe Membe Membe. ....
 
Ukweli una sifa moja muhimu: kuuchukia ukweli hakuufanyi kuwa uongo. Na kuuchukia ukweli hakuuzuwii kutokea.

Kwa wanaojali mahesabu, imebaki miezi 22 tu kabla ya uchaguzi mkuu wa mwaka 2020. Tunajua bayana kuwa tayari mgombea wa CCM ni Magufuli. Naam, ukweli ndo huo maana kwa wanaoijua CCM wanafahamu fika kuwa hakuna nafasi ya kujitokeza Mwana-CCM wa kum-challenge.

Hapana, sio kwamba sheria inakataza bali ni muhimu kutambua kuwa CCM sio chama tu bali ni mfumo wa maisha. What I mean here ni kwamba, yeyote atakayeamua kuwa "Liwalo Na liwe" na kuamua kupambana na Magufuli kuwania kuteuliwa na CCM mwaka 2020 atakuwa anaweka rehani maisha yake ya kisiasa na kibinafsi. Jambo hili la ovyo kabisa linakera na kuchukiza lakini unfortunately ndio hali halisi hiyo.

Kitu pekee ndani ya CCM kinachoweza kumzuwia Magufuli ni yeye mwenyewe. Aidha aamue kuwa hatogombea au sijui aboronge kiasi gani. Lakini kutegemea sijui Membe, sijui Mwandosya, sijui nani ni kujaribu tu kujipa matumaini hewa.

Na ukweli mwingine mchungu ni kwamba njia pekee ya kumzuwia Magufuli mwaka 2020 ni ndani ya CCM. Lakini hilo nimeshaongelea hapo juu.

Kwanini ndani ya CCM na sio kwa Upinzani? Kwa sababu miezi 22 kabla ya uchaguzi, wapinzani wapo bize kumshangilia Membe badala ya kukaa kitako na kupanga mikakati ya ushindi 2020.

Naam, Magufuli anawafanyia udikteta Wapinzani lakini hata mkoloni alifanya hivyo kwa TANU lakini uhuru ukapatikana. In fact, huo udikteta wa Magufuli unavisaidia baadhi ya vyama kuficha udhaifu wake no wonder vimekuwa mahiri kudandia matukio badala ya kuwashawishi Watanzania kuwa vyama hivyo vinaweza kuwa mbadala wa CCM.

Chama kikuu cha upinzani Chadema bado kinakabiliwa na ombwe la ajenda. Ikumbukwe kuwa moja ya sababu zilizopelekea Chadema kukubalika kwa Watanzania wengi ni ajenda yake ya vita dhidi ya ufisadi.

Unfortunately, chama hicho kililazimika kutelekeza ajenda hiyo baada ya kumpokea Lowassa, mwanasiasa ambaye chama hicho kilimwandama kwa miaka tisa mfululizo kikimtaja kuwa "baba la ufisadi." It's neither rocket science nor brain surgery kwamba huwezi kumchafua mtu kwa miaka tisa kisha ukataka kumsafisha kwa miezi mitatu. Hiyo ni historia kwa sasa.

Ukijiuliza kitu gani kinaitambulisha Chadema kwa wananchi muda huu sidhani kama utapata jibu la kueleweka. We knew walikuwa mstari wa mbele dhidi ya ufisadi kabla ya ujio wa Lowassa. Kwahiyo ajenda yao kuu ilikuwa vita dhidi ya ufisadi. Je kwa sasa ajenda yao ni ipi?

CUF is too fragmented to mount any upinzani wa maana. Na CUF has always been chama cha Zanzibar. Lakini pia mtihani mkubwa kwa CUF 2020 ni suala la "mgombea wa kudumu wa kiti cha urais" yaani Maalim Seif. Tayari kuna vuguvugu la kutaka mgombea mwingine baada ya Maalim Seif kushindwa mfululizo.

Na hilo la mgombea ni headache nyingine kwa Chadema. Lowassa alishatamka kuwa atagombea 2020. Haihitaji ufahamu mzuri wa siasa za Tanzania kujua kuwa mwanasiasa huyo amesha-expire kisiasa. Vipi kuhusu ambitions za both Sumaye na Nyalandu? Na vipi kuhusu chaguo la wengi ndani ya Chadema Tundu Lissu? Lakini kwa kuzingatia kilichojiri 2015, what about MAKAPI kutoka CCM? Membe may be?

Let's hope busara ita-prevail na chama hicho kitapata mgombea sahihi. Tatizo ni kwamba, muda hauko upande wao. Mwaka 2020 ni kesho kutwa tu na so far maandalizi ni as good as nonexistent.

ACT ya Zitto imeshindwa kujipanua na imeendelea kuwa "chama cha mtu mmoja" ambacho licha ya kuwa kinachofanya vema sana kuliko chama kingine chochote kile cha siasa katika ufuatiliaji wa Bajeti, ripoti ya CAG, nk, kimebaki kuwa kikundi cha harakati zaidi kuliko chama cha siasa.

Idea ya Zitto kuwaunganisha wanasiasa na wanaharakati kuunda democratic front ni nzuri lakini sana sana itaishia kukirahisishia kazi kitengo kuhujumu Umoja kusudiwa. Huwezi kukusanya kila Tom, Dick and Harry kwa vile tu "lengo lenu ni moja" na kutarajia kuking'oa madarakani chama ambacho kinafahamu fika nini kitawakumba viongozi wake kikitoka madarakani.

Yes, CCM kama taasisi ya kihalifu inafahamu fika kuwa ikipigwa chini, watajazana jela. And they are not that stupid kuruhusu hilo litokee kirahisi.

Which brings me back to kichwa cha habari kuwa unless kuna miujiza itakayotokea kati ya sasa na 2020, Magufuli atashinda tena katika uchaguzi mkuu ujao. Kirahisi tu.

Jiskie huru kutafsiri vyovyote vile andiko hili lakini naomba kukumbushia tena kwamba "kuuchukia ukweli hakuufanyi kuwe uongo."

Na jingine la mwisho ni kwamba wishful thinking haiwezi kuleta mabadiliko yoyote yale.

I stand to be corrected.
Evarist, kwa CCM na Maghufuli walipoifikisha siasa za nchi hii, unategemea hao wapinzani wafanyeje ?! [emoji40][emoji87]. Bora hata kama mfumo wa sheria ungekuwa huru, huo u dictator usingekuwa tabu. Lakini mihimili hii miwili inayopewa maagizo na mhimili mkuu unategemea nini ?! Kwa Rais anayejua hatashtakiwa kwa kosa lolote nasema lolote awapo au asiwepo madarakani !!. Kwa kiongozi anayeteuwa kila mkuu wa idara, mhimili, na hata waku wa vyombo vya maamuzi na vya dola ?!.

Unamshindanisha na nani ?! Hawa ambao hata wakienda kufungua shina la wakereketwa na makamanda wanatiwa kizuizini. Maghufuli si tu atashinda, lakini atakikalia kiti. Na hakuna namna ya kushindana naye labda badala ya vyama vya upinzani wa kistaarabu, basi tuwe na vyama vya waasi labda inaweza kuwalazimisha CCM kuja mezani na kuweka neutral ground kwa ajili ya siasa.

Hii ni Africa, tena EAC na especially Tz. Huko unashindana na muamuaji
 
Hii si taarifa, ni kitu kilicho wazi. Safari hii atafikisha zaidi ya asilimia 70% believe me.
Mwaka 2015, alipata 58% pekee kutokana na ubovu wa watangulizi wake. Kipimo cha mafanikio yake subirini hata Uchaguzi wa Serikali za Mitaa tu wa 2019. Wapinzani wamenyang'anywa majimbo na kata kiulaini halafu hao ndio wampe shida Rais 2020?
Dreamliner tumeiona.
Ma-Airbus mengine yanatua soon.
2019 tayari mchuma wa SGR tunaanza kuupanda.

Kila kitu kinaenda sawa isipokuwa vilaza wachache wa mitandaoni wanaodhani mkulima kijijini anafikiria wabavyofikiria wao. Wapinzani wakati wa Kampeni watakuwa wanailalamikia Serikali kwa wananchi huko vijijini - eti oooohh, Serikali
  • imeminya demokrasia,
  • inawakamata Wapinzani kwa uonevu,
  • imefungia Bunge live,
  • imekataa mchakato wa Katiba mpya,
  • tumetengwa na mataifa ya nje. Na blah blah ...
Serikali inakuja na kuwaeleza wakulima vijijini kuwa imetoa:
  • Elimu bure,
  • Imesambaza umeme vijinini,
  • Imesambaza maji kwa kasi kubwa,
  • Imeboresha huduma za afya kwa kujenga hospitali na vituo vya afya,
  • Imeboresha miundombinu ya barabara vijijini (TARURA)
  • Imeboresha mazingira ya kibiashara ya wanyonge (machinga).
  • Imekuza usafirishaji kwa kuleta ndege, meli mpya, treni mpya, bandari kupanuliwa,
  • Imeboresha customer care maofisini, etc, etc, etc.
Jiulize hapo mkulima atampaje Mpinzani kura?
unadhani hayo yote uliosema serekali itawaeleza wananchi, hayakufanywa na wakoloni? Uhuru ni muhimu zaidi ya utajiri wa mali.
 
Tatizo la binaadamu anapopanga mambo yako huwa anasahau kuwa kuna kuumwa na kufa hivi viwili huja bila taarifa.
 
Well said brother,hawa wengine sijui sababu wanaishi uhamishoni au mijini ambako ni asilimia ndogo tu ya mabingwa wa mitandaoni wanaamini kuwa mtu kama Membe anaweza kuiburuza CCM,wangejiuliza kuna mtu alikuwa na jeuri huko CCM kama Lowassa ambaye aliwahi kudiriki kusema asiyemtaka ahame CCM,Lowassa aliyeimbiwa wimbo kwenye ukumbi,pia mumemsahau Salimini Amour Komandoo alivyotaka kutikisa kiberiti,watu wanadanganyika na Membe na hivyo vijisenti vyake vya Libya,nawaambia Membe atausikia tu uraisi kama vile walivyo akina Maalim Seif,Lowassa,Sumaye .jeuri ya samaki ipo majini na si nchi kavu, na majini ni CCM na sio upinzani,upinzani ni nchi kavu . Siasa za Tanzania kwa upinzani wa aina hii (matukio) ambao akina Zitto,Lissu ,Maalimu Seif na timu zao wanaufanya hawatashika dola kamwe, si ajabu CCM watatutawala milele.
Ni kwa sababu tuna watu kama wewe. Bahati mbaya wengine wamepenyezwa kwenye vyombo vya maamuzi.

CCM inashinda si kwa kukubalika, bali imejisokota dhidi ya washindani wake. Na hiyo si mafanikio ya nchi bali kujipumbaza. Hao waliofanikiwa hawaabudu chama. Sisi tulio failure wa maendeleo kuna watu wanaabudu chama eti ni cha ukombozi.

Pole yetu.
 
Kyiki den kwecho kukelushauri lwiibo fyandu na mawe lukabane na rais wa lalu?
 
Mara paaap, wapinzani wasusia uchaguzi mkuu. Kuanzia udiwani, ubunge mpaka urais
 
Hii si taarifa, ni kitu kilicho wazi. Safari hii atafikisha zaidi ya asilimia 70% believe me.
Mwaka 2015, alipata 58% pekee kutokana na ubovu wa watangulizi wake. Kipimo cha mafanikio yake subirini hata Uchaguzi wa Serikali za Mitaa tu wa 2019. Wapinzani wamenyang'anywa majimbo na kata kiulaini halafu hao ndio wampe shida Rais 2020?
Dreamliner tumeiona.
Ma-Airbus mengine yanatua soon.
2019 tayari mchuma wa SGR tunaanza kuupanda.

Kila kitu kinaenda sawa isipokuwa vilaza wachache wa mitandaoni wanaodhani mkulima kijijini anafikiria wabavyofikiria wao. Wapinzani wakati wa Kampeni watakuwa wanailalamikia Serikali kwa wananchi huko vijijini - eti oooohh, Serikali
  • imeminya demokrasia,
  • inawakamata Wapinzani kwa uonevu,
  • imefungia Bunge live,
  • imekataa mchakato wa Katiba mpya,
  • tumetengwa na mataifa ya nje. Na blah blah ...
Serikali inakuja na kuwaeleza wakulima vijijini kuwa imetoa:
  • Elimu bure,
  • Imesambaza umeme vijinini,
  • Imesambaza maji kwa kasi kubwa,
  • Imeboresha huduma za afya kwa kujenga hospitali na vituo vya afya,
  • Imeboresha miundombinu ya barabara vijijini (TARURA)
  • Imeboresha mazingira ya kibiashara ya wanyonge (machinga).
  • Imekuza usafirishaji kwa kuleta ndege, meli mpya, treni mpya, bandari kupanuliwa,
  • Imeboresha customer care maofisini, etc, etc, etc.
Jiulize hapo mkulima atampaje Mpinzani kura?
Hovyo kabisa ; wewe unaishi wapi?
 
Magufuli yeye hautaki urais si keshasema urais mzigo.
Mara nyingi tu kasema urais ni mzigo tumuombee nk.
Kwahiyo hatagombea tena urais 2020 ndiyo maana akina Ben Membe wameanza kupiga jaramba.
 
Tatizo ni kwamba hatuna tunachoamini kama taifa, tumebaki kuwa mashabiki wa vyama na watu. Chahali anazungumza kama mtaalamu ambaye utaalamu wake unamfanya aishi. Kazi yake ni kucheza na upepo, hii makala inaonekana anajaribu kuomba kibarua kwa wakubwa akiamini wametingwa hivyo wataomba msaada. Chahali ndugu, JPM ni namba nyingine, acha kucheza na vichwa vya Watanzania.
 
Si kweli ili ushinde yatakiwa makundi yote muhimu uyakamate yawe upande wake zinaitwa nguzo za ushindi pillars sasa pillars zote kazibomoa kashaziumiza atapatia wapi sapoti tegemeo pekee ni dola na tume hawa pia ni wahanga wa 25% wako nae kimwili ili kulinda maslai yao lkn kiroho hawako nae ndio watakaomuangusha Sababu nao ni sehemu ya jamii inayoteseka 95% ya wanaomzunguka ni wanafiki wako nae kimwili tu.Ukiweza kukubalika na Makundi haya ushindi ni njia nyeupe uhitaji kutumia nguvu Freemasonry, wafanyabiashara, wafanyakazi, matajiri, wakulima, wavuvi,wasomi,wawekezaji, nchi za magharibi, wazee wa nchi,wastaafu sasa jiulize ni kundi halijaumizwa?Huo ushindi utatokea wapi? Ili ashinde yatakiwa ayaunganishe makundi yote hayo yamkubali.Uchaguzi wa 2020 utakuwa mgumu sana,na akifanya kosa kuwafukuza uanachama ccm masalia ndo itakuwa mwisho wa ccm kama kosa walilofanya KANU, maana ccm masalia au asili wataunganisha nguvu na ukawa lengo kuu ili asirudi kipindi cha pili maana wanajua akirudi watamsalia mtume,kila kundi upigania maslai yao ccm masalia itafunga ndoa na ukawa itayakamata makundi hayo makuu kwenye jamii kwa msaada wa USA, Ulaya, India itakuwa ni vita kuu dhidi ya ccm makinikia.
 
Tatizo ni kwamba hatuna tunachoamini kama taifa, tumebaki kuwa mashabiki wa vyama na watu. Chahali anazungumza kama mtaalamu ambaye utaalamu wake unamfanya aishi. Kazi yake ni kucheza na upepo, hii makala inaonekana anajaribu kuomba kibarua kwa wakubwa akiamini wametingwa hivyo wataomba msaada. Chahali ndugu, JPM ni namba nyingine, acha kucheza na vichwa vya Watanzania.
Labda ndio makubaliano aliyopewa naona kabadili gia ili asamehewe kurudi home
 
Ukweli una sifa moja muhimu: kuuchukia ukweli hakuufanyi kuwa uongo. Na kuuchukia ukweli hakuuzuwii kutokea.

Kwa wanaojali mahesabu, imebaki miezi 22 tu kabla ya uchaguzi mkuu wa mwaka 2020. Tunajua bayana kuwa tayari mgombea wa CCM ni Magufuli. Naam, ukweli ndo huo maana kwa wanaoijua CCM wanafahamu fika kuwa hakuna nafasi ya kujitokeza Mwana-CCM wa kum-challenge.

Hapana, sio kwamba sheria inakataza bali ni muhimu kutambua kuwa CCM sio chama tu bali ni mfumo wa maisha. What I mean here ni kwamba, yeyote atakayeamua kuwa "Liwalo Na liwe" na kuamua kupambana na Magufuli kuwania kuteuliwa na CCM mwaka 2020 atakuwa anaweka rehani maisha yake ya kisiasa na kibinafsi. Jambo hili la ovyo kabisa linakera na kuchukiza lakini unfortunately ndio hali halisi hiyo.

Kitu pekee ndani ya CCM kinachoweza kumzuwia Magufuli ni yeye mwenyewe. Aidha aamue kuwa hatogombea au sijui aboronge kiasi gani. Lakini kutegemea sijui Membe, sijui Mwandosya, sijui nani ni kujaribu tu kujipa matumaini hewa.

Na ukweli mwingine mchungu ni kwamba njia pekee ya kumzuwia Magufuli mwaka 2020 ni ndani ya CCM. Lakini hilo nimeshaongelea hapo juu.

Kwanini ndani ya CCM na sio kwa Upinzani? Kwa sababu miezi 22 kabla ya uchaguzi, wapinzani wapo bize kumshangilia Membe badala ya kukaa kitako na kupanga mikakati ya ushindi 2020.

Naam, Magufuli anawafanyia udikteta Wapinzani lakini hata mkoloni alifanya hivyo kwa TANU lakini uhuru ukapatikana. In fact, huo udikteta wa Magufuli unavisaidia baadhi ya vyama kuficha udhaifu wake no wonder vimekuwa mahiri kudandia matukio badala ya kuwashawishi Watanzania kuwa vyama hivyo vinaweza kuwa mbadala wa CCM.

Chama kikuu cha upinzani Chadema bado kinakabiliwa na ombwe la ajenda. Ikumbukwe kuwa moja ya sababu zilizopelekea Chadema kukubalika kwa Watanzania wengi ni ajenda yake ya vita dhidi ya ufisadi.

Unfortunately, chama hicho kililazimika kutelekeza ajenda hiyo baada ya kumpokea Lowassa, mwanasiasa ambaye chama hicho kilimwandama kwa miaka tisa mfululizo kikimtaja kuwa "baba la ufisadi." It's neither rocket science nor brain surgery kwamba huwezi kumchafua mtu kwa miaka tisa kisha ukataka kumsafisha kwa miezi mitatu. Hiyo ni historia kwa sasa.

Ukijiuliza kitu gani kinaitambulisha Chadema kwa wananchi muda huu sidhani kama utapata jibu la kueleweka. We knew walikuwa mstari wa mbele dhidi ya ufisadi kabla ya ujio wa Lowassa. Kwahiyo ajenda yao kuu ilikuwa vita dhidi ya ufisadi. Je kwa sasa ajenda yao ni ipi?

CUF is too fragmented to mount any upinzani wa maana. Na CUF has always been chama cha Zanzibar. Lakini pia mtihani mkubwa kwa CUF 2020 ni suala la "mgombea wa kudumu wa kiti cha urais" yaani Maalim Seif. Tayari kuna vuguvugu la kutaka mgombea mwingine baada ya Maalim Seif kushindwa mfululizo.

Na hilo la mgombea ni headache nyingine kwa Chadema. Lowassa alishatamka kuwa atagombea 2020. Haihitaji ufahamu mzuri wa siasa za Tanzania kujua kuwa mwanasiasa huyo amesha-expire kisiasa. Vipi kuhusu ambitions za both Sumaye na Nyalandu? Na vipi kuhusu chaguo la wengi ndani ya Chadema Tundu Lissu? Lakini kwa kuzingatia kilichojiri 2015, what about MAKAPI kutoka CCM? Membe may be?

Let's hope busara ita-prevail na chama hicho kitapata mgombea sahihi. Tatizo ni kwamba, muda hauko upande wao. Mwaka 2020 ni kesho kutwa tu na so far maandalizi ni as good as nonexistent.

ACT ya Zitto imeshindwa kujipanua na imeendelea kuwa "chama cha mtu mmoja" ambacho licha ya kuwa kinachofanya vema sana kuliko chama kingine chochote kile cha siasa katika ufuatiliaji wa Bajeti, ripoti ya CAG, nk, kimebaki kuwa kikundi cha harakati zaidi kuliko chama cha siasa.

Idea ya Zitto kuwaunganisha wanasiasa na wanaharakati kuunda democratic front ni nzuri lakini sana sana itaishia kukirahisishia kazi kitengo kuhujumu Umoja kusudiwa. Huwezi kukusanya kila Tom, Dick and Harry kwa vile tu "lengo lenu ni moja" na kutarajia kuking'oa madarakani chama ambacho kinafahamu fika nini kitawakumba viongozi wake kikitoka madarakani.

Yes, CCM kama taasisi ya kihalifu inafahamu fika kuwa ikipigwa chini, watajazana jela. And they are not that stupid kuruhusu hilo litokee kirahisi.

Which brings me back to kichwa cha habari kuwa unless kuna miujiza itakayotokea kati ya sasa na 2020, Magufuli atashinda tena katika uchaguzi mkuu ujao. Kirahisi tu.

Jiskie huru kutafsiri vyovyote vile andiko hili lakini naomba kukumbushia tena kwamba "kuuchukia ukweli hakuufanyi kuwe uongo."

Na jingine la mwisho ni kwamba wishful thinking haiwezi kuleta mabadiliko yoyote yale.

I stand to be corrected.
Kishinda ni lazima,kwani huko si kuna polisi na tume ya nyumbani. Lakini kama uchaguzi ni fair,nakuhakikishia ccm itapigwa vibaya
 
Bwana Chahali kwanza binafsi nakushukuru kwa kurudi hapa.
Nimekufuatilia Tweeter na Insta na naamini una kipaji kikubwa kwa yale uliyodhamiria kuyaweka hadharani.
Ulichoandika ni ukweli mtupu na sisi tuliopo chini kabisa tunashangaa kwa nini CCM inatumia njia hata zisizopendeza wakati wana vitu na ushahidi mkubwa wa kuringa nao uchaguzi ukifika.
Magufuli ndani ya CCM atashinda kwa kishindo kikubwa ingawa lililo wazi ni kuwa IDADI YA WAPIGA KURA ITAKUWA NDOGO MNO.
Hakuna wa kubadili upeo huu labda Mwenyezi Mungu.
 
Hivi bado kwani kuna uchaguzi hapa tanzania?
 
Kwanini ndani ya CCM na sio kwa Upinzani? Kwa sababu miezi 22 kabla ya uchaguzi, wapinzani wapo bize kumshangilia Membe badala ya kukaa kitako na kupanga mikakati ya ushindi 2020.
Nilitaka kuanza kukufuatilia...nashukuru you have come straight to your highest level of ***....

Like what the ***....

Kwamba wapinzani wanampraize na kumtarajia Membe.

Hili tusi mbona kubwa.

Masisiem huko ndo yanavurugana.

Hizo hela mnazolipwa....
Acheni uk...a..
 
Yes atashinda coz hatuna history ya kumpa Rais awamu Moja tu,

Pili me sidhan kama wapiga kura wa Tanzania wapo after ajenda za vyama wala usishangae ukifanya research yako ukagundia 80% hawajui hata ajenda ya ccm au chadema ni ipi,

Kitu muhimu kwa Watanzania maisha yawe mazuri pesa ziwepo that's all,

Ndio maan Leo ukisema uchumi wa Tanzania unakuwa kwa asilimia 99 kwa mwezi na watu hawana pesa hakuna mtu anakuelewa, wanatamani uchumi ukue kwa 00.01% as long as pesa ipo
`Kitu muhimu kwa Watanzania maisha yawe mazuri pesa ziwepo that's all`
Iliwahi kutokea hii hali kwa watanzania au unaota?
 
Kila mara nikiona haya nawakumbuka sana wakina Uncle Tom Pius Lugangira, Pia huwa nawakumbuka sana wakina Ibrahimu Babangida , SANI Abacha, Olesegun Obasanjo,,, na Hata Wakina Kaguta Mseveni wa enzi za Obote,,,,,Kweli walikuwa binadamu na wenye kuchukia maonevu,,walikuwa wanaume,,kizazi chetu tuendelee kulalamika na kusubiri majibu ya maombi tu ,.
 
Tunakusubiri sana Tanzania,Umevujisha siri nyingi za Taifa

Leo Taifa letu limevuliwa nguo na wewe chahali

Taifa lilikuamini,Watanzania wanakusubiri

Wewe na Mange kimbambi ni Idiot wa Taifa

Kwanini uliamua wewe na Mange kutoa siri za nchi

Nyie mmesaliti nchi na Taifa

Mmeacha majeraha makubwa ya uhaini

Muda utaongea
Shut up your ass!
Wafuateni huko huko walipo kama nyie ni wanaume kweli mlijivua nguo wenyewe kwa ujinga wenu
 
Back
Top Bottom