Ukweli mchungu: Magufuli atashinda tena 2020

Umeongea ukweli mtupu

Ila unakumbuka huu ukweli unawaambia watu wa aina gani?

wasubiri kidogo mda huu wako busy wanamsafisha the so called "mango man"

wakija hapa hutaona ukipingwa kwa hoja ila ni matusi mwanzo mwisho

usiwashangae ukiona hivyo, we jua tayari unajibiwa na viumbe kutoka serengeti

yes ni nyumbu hao

wanasukumwa na kila aina ya upepo

teh hatari.
 
Hii si taarifa, ni kitu kilicho wazi. Safari hii atafikisha zaidi ya asilimia 70% believe me.
Mwaka 2015, alipata 58% pekee kutokana na ubovu wa watangulizi wake. Kipimo cha mafanikio yake subirini hata Uchaguzi wa Serikali za Mitaa tu wa 2019. Wapinzani wamenyang'anywa majimbo na kata kiulaini halafu hao ndio wampe shida Rais 2020?
Dreamliner tumeiona.
Ma-Airbus mengine yanatua soon.
2019 tayari mchuma wa SGR tunaanza kuupanda.

Kila kitu kinaenda sawa isipokuwa vilaza wachache wa mitandaoni wanaodhani mkulima kijijini anafikiria wabavyofikiria wao. Wapinzani wakati wa Kampeni watakuwa wanailalamikia Serikali kwa wananchi huko vijijini - eti oooohh, Serikali
  • imeminya demokrasia,
  • inawakamata Wapinzani kwa uonevu,
  • imefungia Bunge live,
  • imekataa mchakato wa Katiba mpya,
  • tumetengwa na mataifa ya nje. Na blah blah ...
Serikali inakuja na kuwaeleza wakulima vijijini kuwa imetoa:
  • Elimu bure,
  • Imesambaza umeme vijinini,
  • Imesambaza maji kwa kasi kubwa,
  • Imeboresha huduma za afya kwa kujenga hospitali na vituo vya afya,
  • Imeboresha miundombinu ya barabara vijijini (TARURA)
  • Imeboresha mazingira ya kibiashara ya wanyonge (machinga).
  • Imekuza usafirishaji kwa kuleta ndege, meli mpya, treni mpya, bandari kupanuliwa,
  • Imeboresha customer care maofisini, etc, etc, etc.
Jiulize hapo mkulima atampaje Mpinzani kura?
 
Yes, CCM kama taasisi ya kihalifu
Hapa ndio umeharibu ujumbe wote ulianza vizui lakini umeharibu mwishoni ni sawa na umepika wee lakini mwishoni wakati unatia chumvi kiasi ,ukamwaga kopo zima la chumvi kwenye chakula na mwishowe kisilike,leo hii CCN imekuwa taasisi ya kihalifu?uhalifu upi na kwa manufaa ya nani?
 
Yes atashinda coz hatuna history ya kumpa Rais awamu Moja tu,

Pili me sidhan kama wapiga kura wa Tanzania wapo after ajenda za vyama wala usishangae ukifanya research yako ukagundia 80% hawajui hata ajenda ya ccm au chadema ni ipi,

Kitu muhimu kwa Watanzania maisha yawe mazuri pesa ziwepo that's all,

Ndio maan Leo ukisema uchumi wa Tanzania unakuwa kwa asilimia 99 kwa mwezi na watu hawana pesa hakuna mtu anakuelewa, wanatamani uchumi ukue kwa 00.01% as long as pesa ipo
Hahaha, binafsi nimekuelewa vizuri sana kiongozi, na hapa tukicha ushabiki maelezo yako yanafafanua aina ya raia tulionao, civic competence kwa watanzania ndogo sanaa, basics za economics hawana, wao hata kama uchumi haukuwi kabisa wawe na pesa tu, hautapata tabu kuwatawala!!
 
Huu sio ukweli mchungu. It is obvious. Kama Maalim aliporwa ushindi wake mchana kweupe pale zenji, unadhani JPM atakubali kupigwa chini? mifumo yetu ya uchaguzi imewekwa in such a way kumsaidia incumbent president. Hili wala halihitaji IQ kubwa kulielewa. Pale mgombea Urais anapokuwa bado na powers zote za Rais wakati wa uchaguzi, sijui nini kitakachoweza kumtoa pale
 
Ukweli una sifa moja muhimu: kuuchukia ukweli hakuufanyi kuwa uongo. Na kuuchukia ukweli hakuuzuwii kutokea.

Kwa wanaojali mahesabu, imebaki miezi 22 tu kabla ya uchaguzi mkuu wa mwaka 2020. Tunajua bayana kuwa tayari mgombea wa CCM ni Magufuli. Naam, ukweli ndo huo maana kwa wanaoijua CCM wanafahamu fika kuwa hakuna nafasi ya kujitokeza Mwana-CCM wa kum-challenge.

Hapana, sio kwamba sheria inakataza bali ni muhimu kutambua kuwa CCM sio chama tu bali ni mfumo wa maisha. What I mean here ni kwamba, yeyote atakayeamua kuwa "Liwalo Na liwe" na kuamua kupambana na Magufuli kuwania kuteuliwa na CCM mwaka 2020 atakuwa anaweka rehani maisha yake ya kisiasa na kibinafsi. Jambo hili la ovyo kabisa linakera na kuchukiza lakini unfortunately ndio hali halisi hiyo.

Kitu pekee ndani ya CCM kinachoweza kumzuwia Magufuli ni yeye mwenyewe. Aidha aamue kuwa hatogombea au sijui aboronge kiasi gani. Lakini kutegemea sijui Membe, sijui Mwandosya, sijui nani ni kujaribu tu kujipa matumaini hewa.

Na ukweli mwingine mchungu ni kwamba njia pekee ya kumzuwia Magufuli mwaka 2020 ni ndani ya CCM. Lakini hilo nimeshaongelea hapo juu.

Kwanini ndani ya CCM na sio kwa Upinzani? Kwa sababu miezi 22 kabla ya uchaguzi, wapinzani wapo bize kumshangilia Membe badala ya kukaa kitako na kupanga mikakati ya ushindi 2020.

Naam, Magufuli anawafanyia udikteta Wapinzani lakini hata mkoloni alifanya hivyo kwa TANU lakini uhuru ukapatikana. In fact, huo udikteta wa Magufuli unavisaidia baadhi ya vyama kuficha udhaifu wake no wonder vimekuwa mahiri kudandia matukio badala ya kuwashawishi Watanzania kuwa vyama hivyo vinaweza kuwa mbadala wa CCM.

Chama kikuu cha upinzani Chadema bado kinakabiliwa na ombwe la ajenda. Ikumbukwe kuwa moja ya sababu zilizopelekea Chadema kukubalika kwa Watanzania wengi ni ajenda yake ya vita dhidi ya ufisadi.

Unfortunately, chama hicho kililazimika kutelekeza ajenda hiyo baada ya kumpokea Lowassa, mwanasiasa ambaye chama hicho kilimwandama kwa miaka tisa mfululizo kikimtaja kuwa "baba la ufisadi." It's neither rocket science nor brain surgery kwamba huwezi kumchafua mtu kwa miaka tisa kisha ukataka kumsafisha kwa miezi mitatu. Hiyo ni historia kwa sasa.

Ukijiuliza kitu gani kinaitambulisha Chadema kwa wananchi muda huu sidhani kama utapata jibu la kueleweka. We knew walikuwa mstari wa mbele dhidi ya ufisadi kabla ya ujio wa Lowassa. Kwahiyo ajenda yao kuu ilikuwa vita dhidi ya ufisadi. Je kwa sasa ajenda yao ni ipi?

CUF is too fragmented to mount any upinzani wa maana. Na CUF has always been chama cha Zanzibar. Lakini pia mtihani mkubwa kwa CUF 2020 ni suala la "mgombea wa kudumu wa kiti cha urais" yaani Maalim Seif. Tayari kuna vuguvugu la kutaka mgombea mwingine baada ya Maalim Seif kushindwa mfululizo.

Na hilo la mgombea ni headache nyingine kwa Chadema. Lowassa alishatamka kuwa atagombea 2020. Haihitaji ufahamu mzuri wa siasa za Tanzania kujua kuwa mwanasiasa huyo amesha-expire kisiasa. Vipi kuhusu ambitions za both Sumaye na Nyalandu? Na vipi kuhusu chaguo la wengi ndani ya Chadema Tundu Lissu? Lakini kwa kuzingatia kilichojiri 2015, what about MAKAPI kutoka CCM? Membe may be?

Let's hope busara ita-prevail na chama hicho kitapata mgombea sahihi. Tatizo ni kwamba, muda hauko upande wao. Mwaka 2020 ni kesho kutwa tu na so far maandalizi ni as good as nonexistent.

ACT ya Zitto imeshindwa kujipanua na imeendelea kuwa "chama cha mtu mmoja" ambacho licha ya kuwa kinachofanya vema sana kuliko chama kingine chochote kile cha siasa katika ufuatiliaji wa Bajeti, ripoti ya CAG, nk, kimebaki kuwa kikundi cha harakati zaidi kuliko chama cha siasa.

Idea ya Zitto kuwaunganisha wanasiasa na wanaharakati kuunda democratic front ni nzuri lakini sana sana itaishia kukirahisishia kazi kitengo kuhujumu Umoja kusudiwa. Huwezi kukusanya kila Tom, Dick and Harry kwa vile tu "lengo lenu ni moja" na kutarajia kuking'oa madarakani chama ambacho kinafahamu fika nini kitawakumba viongozi wake kikitoka madarakani.

Yes, CCM kama taasisi ya kihalifu inafahamu fika kuwa ikipigwa chini, watajazana jela. And they are not that stupid kuruhusu hilo litokee kirahisi.

Which brings me back to kichwa cha habari kuwa unless kuna miujiza itakayotokea kati ya sasa na 2020, Magufuli atashinda tena katika uchaguzi mkuu ujao. Kirahisi tu.

Jiskie huru kutafsiri vyovyote vile andiko hili lakini naomba kukumbushia tena kwamba "kuuchukia ukweli hakuufanyi kuwe uongo."

Na jingine la mwisho ni kwamba wishful thinking haiwezi kuleta mabadiliko yoyote yale.

I stand to be corrected.
Hakuna jasusi mweupe kichwani kama wewe mkuu
 
Sijasoma kila ulichoandika ila kichwa cha uzi pekee kinatosha kukujibu kitu hapa. Magufuli hawezi kushinda tena, maana hajwahi kushinda hata mara moja hata useme atashinda tena. ILA USEME ATASHINDISHWA TENA.
 
Hahaha, binafsi nimekuelewa vizuri sana kiongozi, na hapa tukicha ushabiki maelezo yako yanafafanua aina ya raia tulionao, civic competence kwa watanzania ndogo sanaa, basics za economics hawana, wao hata kama uchumi haukuwi kabisa wawe na pesa tu, hautapata tabu kuwatawala!!

Absolutely
 
Ukweli una sifa moja muhimu: kuuchukia ukweli hakuufanyi kuwa uongo. Na kuuchukia ukweli hakuuzuwii kutokea.

Kwa wanaojali mahesabu, imebaki miezi 22 tu kabla ya uchaguzi mkuu wa mwaka 2020. Tunajua bayana kuwa tayari mgombea wa CCM ni Magufuli. Naam, ukweli ndo huo maana kwa wanaoijua CCM wanafahamu fika kuwa hakuna nafasi ya kujitokeza Mwana-CCM wa kum-challenge.

Hapana, sio kwamba sheria inakataza bali ni muhimu kutambua kuwa CCM sio chama tu bali ni mfumo wa maisha. What I mean here ni kwamba, yeyote atakayeamua kuwa "Liwalo Na liwe" na kuamua kupambana na Magufuli kuwania kuteuliwa na CCM mwaka 2020 atakuwa anaweka rehani maisha yake ya kisiasa na kibinafsi. Jambo hili la ovyo kabisa linakera na kuchukiza lakini unfortunately ndio hali halisi hiyo.

Kitu pekee ndani ya CCM kinachoweza kumzuwia Magufuli ni yeye mwenyewe. Aidha aamue kuwa hatogombea au sijui aboronge kiasi gani. Lakini kutegemea sijui Membe, sijui Mwandosya, sijui nani ni kujaribu tu kujipa matumaini hewa.

Na ukweli mwingine mchungu ni kwamba njia pekee ya kumzuwia Magufuli mwaka 2020 ni ndani ya CCM. Lakini hilo nimeshaongelea hapo juu.

Kwanini ndani ya CCM na sio kwa Upinzani? Kwa sababu miezi 22 kabla ya uchaguzi, wapinzani wapo bize kumshangilia Membe badala ya kukaa kitako na kupanga mikakati ya ushindi 2020.

Naam, Magufuli anawafanyia udikteta Wapinzani lakini hata mkoloni alifanya hivyo kwa TANU lakini uhuru ukapatikana. In fact, huo udikteta wa Magufuli unavisaidia baadhi ya vyama kuficha udhaifu wake no wonder vimekuwa mahiri kudandia matukio badala ya kuwashawishi Watanzania kuwa vyama hivyo vinaweza kuwa mbadala wa CCM.

Chama kikuu cha upinzani Chadema bado kinakabiliwa na ombwe la ajenda. Ikumbukwe kuwa moja ya sababu zilizopelekea Chadema kukubalika kwa Watanzania wengi ni ajenda yake ya vita dhidi ya ufisadi.

Unfortunately, chama hicho kililazimika kutelekeza ajenda hiyo baada ya kumpokea Lowassa, mwanasiasa ambaye chama hicho kilimwandama kwa miaka tisa mfululizo kikimtaja kuwa "baba la ufisadi." It's neither rocket science nor brain surgery kwamba huwezi kumchafua mtu kwa miaka tisa kisha ukataka kumsafisha kwa miezi mitatu. Hiyo ni historia kwa sasa.

Ukijiuliza kitu gani kinaitambulisha Chadema kwa wananchi muda huu sidhani kama utapata jibu la kueleweka. We knew walikuwa mstari wa mbele dhidi ya ufisadi kabla ya ujio wa Lowassa. Kwahiyo ajenda yao kuu ilikuwa vita dhidi ya ufisadi. Je kwa sasa ajenda yao ni ipi?

CUF is too fragmented to mount any upinzani wa maana. Na CUF has always been chama cha Zanzibar. Lakini pia mtihani mkubwa kwa CUF 2020 ni suala la "mgombea wa kudumu wa kiti cha urais" yaani Maalim Seif. Tayari kuna vuguvugu la kutaka mgombea mwingine baada ya Maalim Seif kushindwa mfululizo.

Na hilo la mgombea ni headache nyingine kwa Chadema. Lowassa alishatamka kuwa atagombea 2020. Haihitaji ufahamu mzuri wa siasa za Tanzania kujua kuwa mwanasiasa huyo amesha-expire kisiasa. Vipi kuhusu ambitions za both Sumaye na Nyalandu? Na vipi kuhusu chaguo la wengi ndani ya Chadema Tundu Lissu? Lakini kwa kuzingatia kilichojiri 2015, what about MAKAPI kutoka CCM? Membe may be?

Let's hope busara ita-prevail na chama hicho kitapata mgombea sahihi. Tatizo ni kwamba, muda hauko upande wao. Mwaka 2020 ni kesho kutwa tu na so far maandalizi ni as good as nonexistent.

ACT ya Zitto imeshindwa kujipanua na imeendelea kuwa "chama cha mtu mmoja" ambacho licha ya kuwa kinachofanya vema sana kuliko chama kingine chochote kile cha siasa katika ufuatiliaji wa Bajeti, ripoti ya CAG, nk, kimebaki kuwa kikundi cha harakati zaidi kuliko chama cha siasa.

Idea ya Zitto kuwaunganisha wanasiasa na wanaharakati kuunda democratic front ni nzuri lakini sana sana itaishia kukirahisishia kazi kitengo kuhujumu Umoja kusudiwa. Huwezi kukusanya kila Tom, Dick and Harry kwa vile tu "lengo lenu ni moja" na kutarajia kuking'oa madarakani chama ambacho kinafahamu fika nini kitawakumba viongozi wake kikitoka madarakani.

Yes, CCM kama taasisi ya kihalifu inafahamu fika kuwa ikipigwa chini, watajazana jela. And they are not that stupid kuruhusu hilo litokee kirahisi.

Which brings me back to kichwa cha habari kuwa unless kuna miujiza itakayotokea kati ya sasa na 2020, Magufuli atashinda tena katika uchaguzi mkuu ujao. Kirahisi tu.

Jiskie huru kutafsiri vyovyote vile andiko hili lakini naomba kukumbushia tena kwamba "kuuchukia ukweli hakuufanyi kuwe uongo."

Na jingine la mwisho ni kwamba wishful thinking haiwezi kuleta mabadiliko yoyote yale.

I stand to be corrected.
Huna Jipya wewe!!
 
wewe ndio una wishful thinking, mpinzani gani ambaye umemsikia anamsifia Membe? and that is one
unajua vipi kwamba upinzani unamsupport Membe ndani ya ccm ili apambane na magufuri kura za maoni?
au unafikiri wewe ni nani kusema kwamba hilo haliwezekani? who are you? god?

wewe ndio ridiculous kabisa kufikiria kwamba kuna mpinzani ana mpango wa kupambana na Magufuri na kumshinda 2020.
usijaribu ku water down possibility ya Membe kuwa president 2020 kupitia ccm.

2020 twende na Membe.
 
Jiskie huru kutafsiri vyovyote vile andiko hili lakini naomba kukumbushia tena kwamba "kuuchukia ukweli hakuufanyi kuwe uongo."
Hayo uliyoandika hapo juu hayana ukweli wowote, kwa sisi wa imani ukweli na amin vyatoka kwa Mwenyezi Mungu peke yake. Tusubiri kwanza tuone wagombea watakaofika salama 2020.
 
Back
Top Bottom