Ukweli mchungu: Magufuli atashinda tena 2020

Mzalendo_Mwandamizi

JF-Expert Member
Joined
Dec 12, 2007
Posts
1,116
Reaction score
4,773
Ukweli una sifa moja muhimu: kuuchukia ukweli hakuufanyi kuwa uongo. Na kuuchukia ukweli hakuuzuwii kutokea.

Kwa wanaojali mahesabu, imebaki miezi 22 tu kabla ya uchaguzi mkuu wa mwaka 2020. Tunajua bayana kuwa tayari mgombea wa CCM ni Magufuli. Naam, ukweli ndo huo maana kwa wanaoijua CCM wanafahamu fika kuwa hakuna nafasi ya kujitokeza Mwana-CCM wa kum-challenge.

Hapana, sio kwamba sheria inakataza bali ni muhimu kutambua kuwa CCM sio chama tu bali ni mfumo wa maisha. What I mean here ni kwamba, yeyote atakayeamua kuwa "Liwalo Na liwe" na kuamua kupambana na Magufuli kuwania kuteuliwa na CCM mwaka 2020 atakuwa anaweka rehani maisha yake ya kisiasa na kibinafsi. Jambo hili la ovyo kabisa linakera na kuchukiza lakini unfortunately ndio hali halisi hiyo.

Kitu pekee ndani ya CCM kinachoweza kumzuwia Magufuli ni yeye mwenyewe. Aidha aamue kuwa hatogombea au sijui aboronge kiasi gani. Lakini kutegemea sijui Membe, sijui Mwandosya, sijui nani ni kujaribu tu kujipa matumaini hewa.

Na ukweli mwingine mchungu ni kwamba njia pekee ya kumzuwia Magufuli mwaka 2020 ni ndani ya CCM. Lakini hilo nimeshaongelea hapo juu.

Kwanini ndani ya CCM na sio kwa Upinzani? Kwa sababu miezi 22 kabla ya uchaguzi, wapinzani wapo bize kumshangilia Membe badala ya kukaa kitako na kupanga mikakati ya ushindi 2020.

Naam, Magufuli anawafanyia udikteta Wapinzani lakini hata mkoloni alifanya hivyo kwa TANU lakini uhuru ukapatikana. In fact, huo udikteta wa Magufuli unavisaidia baadhi ya vyama kuficha udhaifu wake no wonder vimekuwa mahiri kudandia matukio badala ya kuwashawishi Watanzania kuwa vyama hivyo vinaweza kuwa mbadala wa CCM.

Chama kikuu cha upinzani Chadema bado kinakabiliwa na ombwe la ajenda. Ikumbukwe kuwa moja ya sababu zilizopelekea Chadema kukubalika kwa Watanzania wengi ni ajenda yake ya vita dhidi ya ufisadi.

Unfortunately, chama hicho kililazimika kutelekeza ajenda hiyo baada ya kumpokea Lowassa, mwanasiasa ambaye chama hicho kilimwandama kwa miaka tisa mfululizo kikimtaja kuwa "baba la ufisadi." It's neither rocket science nor brain surgery kubaini kwamba huwezi kumchafua mtu kwa miaka tisa kisha ukataka kumsafisha kwa miezi mitatu. Hiyo ni historia kwa sasa.

Ukijiuliza kitu gani kinaitambulisha Chadema kwa wananchi muda huu sidhani kama utapata jibu la kueleweka. We knew walikuwa mstari wa mbele dhidi ya ufisadi kabla ya ujio wa Lowassa. Kwahiyo ajenda yao kuu ilikuwa vita dhidi ya ufisadi. Je kwa sasa ajenda yao ni ipi?

CUF is too fragmented to mount any upinzani wa maana. Na CUF has always been chama cha Zanzibar. Lakini pia mtihani mkubwa kwa CUF 2020 ni suala la "mgombea wa kudumu wa kiti cha urais" yaani Maalim Seif. Tayari kuna vuguvugu la kutaka mgombea mwingine baada ya Maalim Seif kushindwa mfululizo.

Na hilo la mgombea ni headache nyingine kwa Chadema. Lowassa alishatamka kuwa atagombea 2020. Haihitaji ufahamu mzuri wa siasa za Tanzania kujua kuwa mwanasiasa huyo amesha-expire kisiasa. Vipi kuhusu ambitions za both Sumaye na Nyalandu? Na vipi kuhusu chaguo la wengi ndani ya Chadema Tundu Lissu? Lakini kwa kuzingatia kilichojiri 2015, what about MAKAPI kutoka CCM? Membe may be?

Let's hope busara ita-prevail na chama hicho kitapata mgombea sahihi. Tatizo ni kwamba, muda hauko upande wao. Mwaka 2020 ni kesho kutwa tu na so far maandalizi ni as good as nonexistent.

ACT ya Zitto imeshindwa kujipanua na imeendelea kuwa "chama cha mtu mmoja" ambacho licha ya kuwa kinachofanya vema sana kuliko chama kingine chochote kile cha siasa katika ufuatiliaji wa Bajeti, ripoti ya CAG, nk, kimebaki kuwa kikundi cha harakati zaidi kuliko chama cha siasa.

Idea ya Zitto kuwaunganisha wanasiasa na wanaharakati kuunda democratic front ni nzuri lakini sana sana itaishia kukirahisishia kazi kitengo kuhujumu Umoja kusudiwa. Huwezi kukusanya kila Tom, Dick and Harry kwa vile tu "lengo lenu ni moja" na kutarajia kuking'oa madarakani chama ambacho kinafahamu fika nini kitawakumba viongozi wake kikitoka madarakani.

Yes, CCM kama taasisi ya kihalifu inafahamu fika kuwa ikipigwa chini, watajazana jela. And they are not that stupid kuruhusu hilo litokee kirahisi.

Which brings me back to kichwa cha habari kuwa unless kuna miujiza itakayotokea kati ya sasa na 2020, Magufuli atashinda tena katika uchaguzi mkuu ujao. Kirahisi tu.

Jiskie huru kutafsiri vyovyote vile andiko hili lakini naomba kukumbushia tena kwamba "kuuchukia ukweli hakuufanyi uwe uongo."

Na jingine la mwisho ni kwamba wishful thinking haiwezi kuleta mabadiliko yoyote yale.

I stand to be corrected.
 
Jamaa unahaha sana baada ya kumsikia kamilius. Si twita si humu. Chill.
anaongea ukweli lakini. Mi niliuliza nani alikua na nguvu ya ushawishi fedha mtandao kati ya Ngoyai, magufuli, Suluhu? mwisho wa siku nani alipitishwa kati yao?

tukiweza kukata mizizi ya hako ka kikundi kanakotuchagulia wagombea/viongozi basi Camilius au mwingine yeyote yule nje ya ccm njia itakua nyeupeeeeee
 
Ukweli una sifa moja muhimu: kuuchukia ukweli hakuufanyi kuwa uongo. Na kuuchukia ukweli hakuuzuwii kutokea.

Kwa wanaojali mahesabu, imebaki miezi 22 tu kabla ya uchaguzi mkuu wa mwaka 2020. Tunajua bayana kuwa tayari mgombea wa CCM ni Magufuli. Naam, ukweli ndo huo maana kwa wanaoijua CCM wanafahamu fika kuwa hakuna nafasi ya kujitokeza Mwana-CCM wa kum-challenge.

Hapana, sio kwamba sheria inakataza bali ni muhimu kutambua kuwa CCM sio chama tu bali ni mfumo wa maisha. What I mean here ni kwamba, yeyote atakayeamua kuwa "Liwalo Na liwe" na kuamua kupambana na Magufuli kuwania kuteuliwa na CCM mwaka 2020 atakuwa anaweka rehani maisha yake ya kisiasa na kibinafsi. Jambo hili la ovyo kabisa linakera na kuchukiza lakini unfortunately ndio hali halisi hiyo.

Kitu pekee ndani ya CCM kinachoweza kumzuwia Magufuli ni yeye mwenyewe. Aidha aamue kuwa hatogombea au sijui aboronge kiasi gani. Lakini kutegemea sijui Membe, sijui Mwandosya, sijui nani ni kujaribu tu kujipa matumaini hewa.

Na ukweli mwingine mchungu ni kwamba njia pekee ya kumzuwia Magufuli mwaka 2020 ni ndani ya CCM. Lakini hilo nimeshaongelea hapo juu.

Kwanini ndani ya CCM na sio kwa Upinzani? Kwa sababu miezi 22 kabla ya uchaguzi, wapinzani wapo bize kumshangilia Membe badala ya kukaa kitako na kupanga mikakati ya ushindi 2020.

Naam, Magufuli anawafanyia udikteta Wapinzani lakini hata mkoloni alifanya hivyo kwa TANU lakini uhuru ukapatikana. In fact, huo udikteta wa Magufuli unavisaidia baadhi ya vyama kuficha udhaifu wake no wonder vimekuwa mahiri kudandia matukio badala ya kuwashawishi Watanzania kuwa vyama hivyo vinaweza kuwa mbadala wa CCM.

Chama kikuu cha upinzani Chadema bado kinakabiliwa na ombwe la ajenda. Ikumbukwe kuwa moja ya sababu zilizopelekea Chadema kukubalika kwa Watanzania wengi ni ajenda yake ya vita dhidi ya ufisadi.

Unfortunately, chama hicho kililazimika kutelekeza ajenda hiyo baada ya kumpokea Lowassa, mwanasiasa ambaye chama hicho kilimwandama kwa miaka tisa mfululizo kikimtaja kuwa "baba la ufisadi." It's neither rocket science nor brain surgery kwamba huwezi kumchafua mtu kwa miaka tisa kisha ukataka kumsafisha kwa miezi mitatu. Hiyo ni historia kwa sasa.

Jiskie huru kutafsiri vyovyote vile andiko hili lakini naomba kukumbushia tena kwamba "kuuchukia ukweli hakuufanyi kuwe uongo."

Na jingine la mwisho ni kwamba wishful thinking haiwezi kuleta mabadiliko yoyote yale.

I stand to be corrected.
is it me? I have never taken you seriously.

I could be wrong about you, though.... and if so, apologies sir!
 
Yes atashinda coz hatuna history ya kumpa Rais awamu Moja tu,

Pili me sidhan kama wapiga kura wa Tanzania wapo after ajenda za vyama wala usishangae ukifanya research yako ukagundia 80% hawajui hata ajenda ya ccm au chadema ni ipi,

Kitu muhimu kwa Watanzania maisha yawe mazuri pesa ziwepo that's all,

Ndio maan Leo ukisema uchumi wa Tanzania unakuwa kwa asilimia 99 kwa mwezi na watu hawana pesa hakuna mtu anakuelewa, wanatamani uchumi ukue kwa 00.01% as long as pesa ipo
 
Chahali tatizo lako ni moja tu. Unapenda sana kukosoa watu. Wewe ukikosolewa kidogo tu (hata bila kutukanwa) huko Twitter, huwa unakimbilia ku-block watu ama kuwaita kenge 😀. Hii haki ya kukosoa iwe ni two-way traffic mzee. Najua watuamiaji wengi wa Twitter mtakua mnanielewa hapa. Point nyingine sitofautiani sana na wewe kwenye chapisho hapo juu.
 
anaongea ukweli lakini. Mi niliuliza nani alikua na nguvu ya ushawishi fedha mtandao kati ya Ngoyai, magufuli, Suluhu? mwisho wa siku nani alipitishwa kati yao?

tukiweza kukata mizizi ya hako ka kikundi kanakotuchagulia wagombea/viongozi basi Camilius au mwingine yeyote yule nje ya ccm njia itakua nyeupeeeeee
Unawajua wanao sababisha hayo au unalopoka tu
 
Hahaha yani Evarist Chahali hata usingeandika huu uzi, hilo linafahamika rais kwa ticket ya ccm ni miaka 10 na ccm mwenyekiti taifa ni miaka 10.
Huwa sielewi nyuzi zako huwa zina ujumbe gani.
Juzi ulituambia eti adui wa upinzani ni ccm, kisha ukatuambia zitto kabwe ni pandikizo huko upinzani, unavyokwenda iko siku utatuambia sumu ya panya inaua na binadamu.
 
Back
Top Bottom