Ukweli mchungu, Lema mwisho wake 2020

Ukweli mchungu, Lema mwisho wake 2020

Dume zima unaongea na ndevu ka beberu eti mwisho Wa lema 2020, akipita hapo utasema mwisho 2025, tumewazoea
 
Hivi aliyezuia zahanati ya mama na mtoto ni lema? Hivyo aliyezuia ndo kikwazo cha maendeleo ya Arusha
 
Uko wapi sasa

Naomba tukutane hapo Ngarenaro usikie kama kuna maendeleo atayaongea
Halmashauri ya CHADEMA Arusha ndio inajenga Madarasa ya ghorofa Ngarenaro Sec na ccm hawakuwahi fanya jambo hilo zaidi ya miaka 50 ya Uhuru. Au hukuona? Ulifumba macho? Au utasema hajafanya Lema? Ulitaka akabebe zege yeye ndio ujue kafanya? Huna hoja Ryan Babel tena unadhalilisha jina mchezaji ninayempenda sana! Huna hoja kabisa
#[¥√¶}€...
 
Kwa nyomi hii Gambo atakuwa ashampigia simu aliye mdanganya kuwa anaijua Arusha
 
Acheni kumfananisha Mandela na watu wa hovyo tafadhali! Mandela spent nearly 27 years in the jail, your boy has just spent 4 months halafu mnataka nyie wazee mnataka kumvisha majina ya African legends??
Lema ndiyo MANDELA WA TANZANIA na ulimwengu unajua hivyo
 
Back
Top Bottom