Ukweli mchungu, Lema mwisho wake 2020

Ukweli mchungu, Lema mwisho wake 2020

Tanzania ya sasa imebadilika sana hivyo inahitaji siasa zenye mabadiliko na zenye tija. Mwenendo wa siasa za Lema anazozifanya Jijini Arusha ni ishara mbaya sana na itakuja kumpa wakati mgumu sana uchaguzi ujao

Lema amesahau kuyaubiri maendeleo kwaajili ya jimbo lake zaidi anashinda kupiga kiburi na kejeri dhidi ya mkulu na hii itamshusha sana Lema kwani kayasahau maendeleo na wananchi wanapata shida wanahitaji huduma yake huku yeye kawatelekeza akipambana na mkulu wa nchi!

Siasa za Arusha zimebadilika, CCM wamejiimarisha kumwangusha Lema na kwa hili watafanikiwa kwani lema ameshindwa kwenda na wakati sasa
2020 ndio utakuwa mwisho wa tambo kiburi na kejeri toka kwa mbunge huyu asiyekuwa na maendeleo kwa wananchi
6ea5f0af0f1e2774c9a03cfa40c56324.jpg
 
hivo ndivo zilivo akili za Team Wema
hawachagui viongozi makini ,bali wanachagua ilimradi wakomeshe ccm...
na kuendeleza siasa zisizo na mpango!

huku kwetu kubenea hajaja hadi leo. na kampeni hakupiga
Siasa safi ndio zipi? Hii nchi bado maskini sana na tuambie inaongozwa na chama kuanzia uhuru! Watanzania watapiga hatua kubwa siku wakiachana na hiki chama.
 
Ww kaongele ya ngedere wenzako arusha ni ya cdm na lema ni raisi wa arusha
 
Tanzania ya sasa imebadilika sana hivyo inahitaji siasa zenye mabadiliko na zenye tija. Mwenendo wa siasa za Lema anazozifanya Jijini Arusha ni ishara mbaya sana na itakuja kumpa wakati mgumu sana uchaguzi ujao

Lema amesahau kuyaubiri maendeleo kwaajili ya jimbo lake zaidi anashinda kupiga kiburi na kejeri dhidi ya mkulu na hii itamshusha sana Lema kwani kayasahau maendeleo na wananchi wanapata shida wanahitaji huduma yake huku yeye kawatelekeza akipambana na mkulu wa nchi!

Siasa za Arusha zimebadilika, CCM wamejiimarisha kumwangusha Lema na kwa hili watafanikiwa kwani lema ameshindwa kwenda na wakati sasa
2020 ndio utakuwa mwisho wa tambo kiburi na kejeri toka kwa mbunge huyu asiyekuwa na maendeleo kwa wananchi
nenda kwa mkurupukaji ukachukue mshiko wako.ccm isubiri kupatwa kwa jua na ndio utakuwa mwisho wa ukuu wa ukijani.siku iliyonenwa na nabii i karibu.!
 
Kama anapaswa kufanya maendeleo ya jimbo lake kwann wamuweke ndani kwa miezi minne kwa kesi yenye dhamana ? Acha aseme tu
 
Tanzania ya sasa imebadilika sana hivyo inahitaji siasa zenye mabadiliko na zenye tija. Mwenendo wa siasa za Lema anazozifanya Jijini Arusha ni ishara mbaya sana na itakuja kumpa wakati mgumu sana uchaguzi ujao

Lema amesahau kuyaubiri maendeleo kwaajili ya jimbo lake zaidi anashinda kupiga kiburi na kejeri dhidi ya mkulu na hii itamshusha sana Lema kwani kayasahau maendeleo na wananchi wanapata shida wanahitaji huduma yake huku yeye kawatelekeza akipambana na mkulu wa nchi!

Siasa za Arusha zimebadilika, CCM wamejiimarisha kumwangusha Lema na kwa hili watafanikiwa kwani lema ameshindwa kwenda na wakati sasa
2020 ndio utakuwa mwisho wa tambo kiburi na kejeri toka kwa mbunge huyu asiyekuwa na maendeleo kwa wananchi
Ndoto yako hii haina tofaut na ndoto ya Lema.............
 
Nafananisha uwezo wako wa kufikiri na NZI WA CHOONI mwenye rangi ya KIJANI.
2020 utakuwa mwisho wa NZI WA KIJANI kama wewe na wote wenye akili kama zako.
 
Nadhani wewe unaishi Koromije au Bahi huwajui watu wa Arusha,mtu yoyote atakaepitishwa na Chadema awe Lema awe nani hata jiwe, ataishinda chama cha Magufuli
Suala lipo kwa uongozi wa CDM na si vinginevyo
Na kweli haijui Arusha vizuri huyu, Ccm kwa Arusha bado sana ,Cdm itadumu sana kwa Arusha
 
SISI NDIO WAKAZI WA ARUSHA........ALAF WEWE UNATOKWA POVU nn shida mzee?
 
Shida yako ni maendeleo yaje au kubenea? Kwenye madaraka kuna kitu kinaitwa "POWER DELEGETION" yani mgawanyo wa madaraka.....kuibua matatizo na changamoto yupo katibu wa mbunge....
 
Wengine wanatakaga aone replied za watu ili ajione katoa bonge la wazo kumbe colo tu#mfate kijana shupavu -mzee wa zeze ukombolewe na koromije shit.....!
 
Back
Top Bottom