Pascal Mayalla Platinum Member Joined Sep 22, 2008 Posts 59,697 Reaction score 134,436 Sep 27, 2025 #21 Intelligent businessman said: Ukisema uzisakanye umri nao hausimami, unakuja kujikuta mtoto badala ya kukuita baba ana kuona babu kama kina Pascal Mayalla. sasa muda wa ku enjoy uzee wewe uko bize kukimbizana na nani hajafanya homework, nani kazira kula ohh sio poa. Click to expand... Kiukweli kuna joy fulani ya ziada kuwa baba babu. Wale watoto wakubwa wote wako busy na maisha yao, hawana tena time na wewe!, wale wadogo wa baba babu, ndio wako na wewe to warm the house. P
Intelligent businessman said: Ukisema uzisakanye umri nao hausimami, unakuja kujikuta mtoto badala ya kukuita baba ana kuona babu kama kina Pascal Mayalla. sasa muda wa ku enjoy uzee wewe uko bize kukimbizana na nani hajafanya homework, nani kazira kula ohh sio poa. Click to expand... Kiukweli kuna joy fulani ya ziada kuwa baba babu. Wale watoto wakubwa wote wako busy na maisha yao, hawana tena time na wewe!, wale wadogo wa baba babu, ndio wako na wewe to warm the house. P
min -me JF-Expert Member Joined Jul 20, 2022 Posts 61,438 Reaction score 178,098 Sep 27, 2025 #22 Ndoa nikuachana nazo tu , kwanza hazina faida yoyote 🚮
Smart911 Platinum Member Joined Jan 3, 2014 Posts 179,175 Reaction score 196,915 Sep 27, 2025 #23 Poleni sana... Cc: Mahondaw
Shadow7 JF-Expert Member Joined Sep 28, 2020 Posts 33,952 Reaction score 56,153 Sep 27, 2025 #24 Hatari sana
Holoholo JF-Expert Member Joined May 10, 2023 Posts 8,723 Reaction score 19,708 Dec 24, 2025 #25 Binadam mwenye akili timamu,hawezi kuoa ama kuolewa. Ndoa ni kwa wale wenye "UAK" Upungufu wa Akili Kichwani.
Binadam mwenye akili timamu,hawezi kuoa ama kuolewa. Ndoa ni kwa wale wenye "UAK" Upungufu wa Akili Kichwani.
Holoholo JF-Expert Member Joined May 10, 2023 Posts 8,723 Reaction score 19,708 Dec 24, 2025 #26 Siwezi kuoa kabisa ktk maisha yangu.
M Msumari Wa Shaba JF-Expert Member Joined Sep 9, 2024 Posts 595 Reaction score 786 Dec 24, 2025 #27 Mbombo ngafu
Wagumu Tunadumu JF-Expert Member Joined Dec 10, 2022 Posts 7,591 Reaction score 23,295 Dec 24, 2025 #28 Afu baada ya miaka 15 ya ndoa hawaendi mahakamani tena,mwanamke ndo anaongea na mwanaume anasikiliza na wala hawana migogoro ya ndoa tena Siku hz hii naiona sana kwenye jamii ni kama wazee wengi wameufyata
Afu baada ya miaka 15 ya ndoa hawaendi mahakamani tena,mwanamke ndo anaongea na mwanaume anasikiliza na wala hawana migogoro ya ndoa tena Siku hz hii naiona sana kwenye jamii ni kama wazee wengi wameufyata