Kwahiyo we pundamilia mke hapaswi kuvutia?Kwenye kuchagua mwenza vijana tuna jipa matarajio makubwa Sana, tuna sahau furaha ya muda mfupi haishindi amani ya milele.
Vijana wa kiume utasikia awe na nyash, hips, mweupe, awe ana nata ili washkaji wapandwe midadi,
aisee huyo ni mke na si tangazo la mamisi au malaya wa. mtaa, ndiyo ana paswa kuvutia ila Kumbuka uzuri huisha, watu huumwa, huzeeka, mama bora hatoki bar ya element au kitambaa cheupe.
una leta msaidizi wa maisha na si secretary au barmaid wa. reception.
Acha kelele wewe! We sema tu leo hela tunapataje?Kwenye kuchagua mwenza vijana tuna jipa matarajio makubwa Sana, tuna sahau furaha ya muda mfupi haishindi amani ya milele.
Vijana wa kiume utasikia awe na nyash, hips, mweupe, awe ana nata ili washkaji wapandwe midadi,
aisee huyo ni mke na si tangazo la mamisi au malaya wa. mtaa, ndiyo ana paswa kuvutia ila Kumbuka uzuri huisha, watu huumwa, huzeeka, mama bora hatoki bar ya element au kitambaa cheupe.
una leta msaidizi wa maisha na si secretary au barmaid wa. reception.
💪💪Kuhusu umri sahihi wa kuoa sijui, ila kuhusu kipato I got plenty of stories back in time kipindi nawaona mzee wangu na mkewe, wajomba zangu na hata family friends.
bro usi angalie sana hizi material things zita kuchanganya, hela au vitu havija wahi kutosha.
Kama mna kula milo 3-6, bills zina lipwa, afya na bima mnayo basi go ahead kaka thing's will sort out mbeleni.
Ukisema uzisakanye umri nao hausimami, unakuja kujikuta mtoto badala ya kukuita baba ana kuona babu kama kina Pascal Mayalla.
sasa muda wa ku enjoy uzee wewe uko bize kukimbizana na nani hajafanya homework, nani kazira kula ohh sio poa.
Pole sana mkuu umeongea kwa uchungu sana 😭Kwenye kuchagua mwenza vijana tuna jipa matarajio makubwa Sana, tuna sahau furaha ya muda mfupi haishindi amani ya milele.
Vijana wa kiume utasikia awe na nyash, hips, mweupe, awe ana nata ili washkaji wapandwe midadi,
aisee huyo ni mke na si tangazo la mamisi au malaya wa. mtaa, ndiyo ana paswa kuvutia ila Kumbuka uzuri huisha, watu huumwa, huzeeka, mama bora hatoki bar ya element au kitambaa cheupe.
una leta msaidizi wa maisha na si secretary au barmaid wa. reception.
wasiliana na dogo dully kwa maelekezo mengineAcha kelele wewe! We sema tu leo hela tunapataje?
Ndo nani huko daslamwasiliana na dogo dully kwa maelekezo mengine
Ni kama kuangalia channel moja miaka yote, hapo lazima upagaweMi nawazaga tu hivi nikioa ndo naishi na huyo mtu mpaka nizeeke? Naishiwa 'pawa' kwa kwel.
Niko nanjilinji, ila nahisi daslam ni sayari kama JupiterNdo nani huko daslam
UmetishaBaba na mama waliokuleta duniani ndoa yao iko na hali gani? Kila mtu abebe mfano wa alikozaliwa.