Mkogoti
TAPELI Mkubwa
- May 3, 2020
- 2,416
- 3,911
Ndio nimeingia na mimi huko nami ni mfatiliaji mzuri tu,
Sema kinanishinda kitu kimoja Wanawake wote wa huko ni hiyo mikoa ya Dar, Mwanza Arusha na Dodoma ndo wengi,
Sijaona wa iringa au Makambako ama wa Rusumo🤦😂, Wanawake mnakwama wapi kuweni kwenye hiyo Mikoa nasi tufaidi alaaa,
Sasa mnaamua nini ndo nishasema hivyo
🤦🏃😜