Ukweli kwa walimu

Ukweli kwa walimu

Hivi walimu na taaluma ya ualimu imewakosea nini jamani? Kwanini mnawaonea kwa kuwasema vibaya ilihali watoto na nyie wenyewe mmefundishwa na hao walimu au kosa ni baba wa taifa kujiita mwalimu
 
Ni nani aliyepata À mathematics au À chemistry ni mwalimu, walimu wengi ni watu waliofeli darasani, Mtu akishindwa Maisha anakimbilia kusoma ualimu apate ajira mapema
Wee jamaa watu wakubwa wanakuambia hujielewi wew bado unahisi unajielewa tu? Unadai mtu akifeli ndo anaenda somea ualimu kwa maana hiyo kuna chuo kinafundisha watu walofeli kuwa walimu? Chuo gani labda? mwalimu najua anajua zaidi ya dent kila level mpaka unamaliza PHD bado utafundishwa tu.inaelekea ulifeli ww so unawaonea gele walimu shame on yuh
 
Mwalimu gani hata uandishi hujui, ahaaa nyie ndio mnafundisha kiswahili kumbe nako ni Janga, Mwalimu hajui jinsi ya kutumia alama ya kuuliza
 
Ni muhimu kupitia mifumo ya kupata hawa walimu wanazidi kutuharibia Taifa, Mwalimu anashindwa kutofautisha r na L, hao watoto mnaofundisha mnajenga taifa la vituko
 
kajipange tena..mjomba..vip hz shule binafsi zinazotoa div one zote..walimu wao n madaktar
 
Hayo uliyoyasema kuna ukweli kias fulan, ila cheti sio ufanisi wa kazi na uhalisia kwan wapo waliofeli kialama kwa sababu tofauti na zilizo nje ya uwezo wao ila wapo vizuri
 
Watu wengi ambao hawakusoma ualimu ndio wanaojua vizuri masomo ya hisabati, kemia na biolojia, Tatizo mfumo uliopo ndio uliwafanya wasome kozi zingine, Ukichukua watu waliosoma Engineering au Commerce wapo vizuri kwenye hesabu kuliko walimu waliosomea darasani.

Hivyo hawa walimu tulionao wa Science wengi ni vilaza sana, Fuatilia masomo ya kidato cha tano wengi hufundishwa na watu ambao hawana mpango wa ualimu na wapo vizuri, Naunga mkono serikali ikague vyeti vyao walipata nini huko sekondari, utawezaje fundisha hesabu kidato cha sita wakati ulipata herufi za mwisho darasani.
Ualimu na walimu unaowabeza ni wapi? Walokufunza awamu, sing it, sekondari, chuoni au chuo Kikuu? Wote hawa ni walimu pamoja na kupewa majina yenye maana hiyohiyo kama vile profess, mhadhiri, mkufunzi na mwalimu moja kwa moja. Hao wote walifeli?

Ualimu ni zaidi ya ufaulu wa mitihani unayodhani wewe ni kipimo sabili.
Nawapa pole walimu wako wa awali wakiwemo wazazi wako ambao nadhani unawazidi ufaulu wa kimitihani!!!!
 
.hujielewi ww naisi uliugua kichaaa ,bdo hujapona vzr
Kwa haya matusi serikali ni muhimu kulifanyia kazi hili, hawa walimu wanaopanic hivi kuna tatizo, Ni muhimu kujaribu kada zingine zikafundishe
 
Naisi au nahisi ,bdo au bado,kuandika tu shida mwalimu gani wewe, hakuna kuwaajiri hawa, hawajui hata kuandika lugha Mama ataweza kiingereza
 
Mi Sio mwalimu Ndugu yangu ila uwezo wako Mdogo sana wakufikiri
Sindano mwalimu zinakuingia,, Awamu ya nne walimu mlibebwa sana mpaka vilaza, mnakaa kulazimisha ajira wakati masomo ya Science hamyawezi
 
Tena inabidi zifanyike interview mpewe mitihani kamili ya secondary mpimwe uwezo wenu nyie wa science, ukishindwa hakuna ajira, Sio kuajiri kundi kubwa lisilo na productivity
 
Ualimu na kufundisha sio shamba la mchicha unaamka asubuhi unanyweshea tu ualimu ni components nyingi kuna theory zake na strategies zake ndio maana kwa wanataaluma ualimu ni mfumo wa maisha wenye dimensions zake hao wa mitaani ndio huzaa half baked intellectuals be careful.
 
Nimesoma huu Uzi hadi nafsini nimehuzunika sana hivi ninavo hangaika na watoto wa maskini wezangu niwape maarifa,hivi ni nilivo kubali kufanya kazi kwenye mazingira magumu, lakini bado kuna MTU ananituka na kunikejeli kweli duniani kuna wenye akili hao mungu amewapangia kazi za kuwahudumia wenye akili wenzao
Mungu atakulipa hatimae
 
.hujielewi ww naisi uliugua kichaaa ,bdo hujapona vzr
Kwa kuwa mnaenda kufundisha hayo masomo ya science, Interview zenu serikali inabidi iwapime kwa mitihani ya masomo ya secondary mtakayofundisha, Zifanyike interview zaidi ya mbili kuchuja walimu wa Science ngano na makapi, mtaumia ila ndio ukweli, mlisomo kulenga ajira za fasta Lakini uwezo mdogo
 
Ualimu na kufundisha sio shamba la mchicha unaamka asubuhi unanyweshea tu ualimu ni components nyingi kuna theory zake na strategies zake ndio maana kwa wanataaluma ualimu ni mfumo wa maisha wenye dimensions zake hao wa mitaani ndio huzaa half baked intellectuals be careful.
Hizo dimension yakupasa uzionyeshe kwenye interview za masomo mtakayopewa, Naunga mkono hoja ya serikali ya kuwachuja kwa interview iwe ya mitihani ya secondary, Ukishindwa sasa ukatafakari hizo strategies Nyumbani kwako
 
Inaelekea mtoto wa dawa ww maana huelewi inatakiwa ufanyiwe psychological councelling
 
Tatizo kile chuo cha Teofil kisanji kilikuwa kinasajiri kila mwalimu shame on you science teachers
Duh! Tuko vizuri jamani ama mnataka tuwaoneshe kwa namna gani kuwa tumepikwa tukaiva kuliko mnavyodhania? Tatizo watu wanadhani kujua kwa mfano Physics ni kusolve matango! Now days ni concepts hapo ndio ujuvi wa Physics upo!
 
Back
Top Bottom