Ukweli kwa walimu

Ukweli kwa walimu

Dawa inawaingia walimu wa Science,uwezo wenu wa kujua masomo ni mdogo ndio maana serikali inapasa iwaverify upya
c dawa bali tunataka tukutoe kwenye fikra potofu.kwani mwl wangu mm wa hisabati nampa heshima mpaka kufa
 
Watu wengi ambao hawakusoma ualimu ndio wanaojua vizuri masomo ya hisabati, kemia na biolojia, Tatizo mfumo uliopo ndio uliwafanya wasome kozi zingine, Ukichukua watu waliosoma Engineering au Commerce wapo vizuri kwenye hesabu kuliko walimu waliosomea darasani.Hivyo hawa walimu tulionao wa Science wengi ni vilaza sana, Fuatilia masomo ya kidato cha tano wengi hufundishwa na watu ambao hawana mpango wa ualimu na wapo vizuri, Naunga mkono serikali ikague vyeti vyao walipata nini huko sekondari, utawezaje fundisha hesabu kidato cha sita wakati ulipata herufi za mwisho darasani
kinacho nishangaza na kunichekesha sana tena zaid ya sana ni kwamba hata wewe hicho kiburi na dharau zako zoote zimekuja baada ya kupita kwenye mikono ya hao hao unao wabeza leo sasa sijui tukueleweje??? Nadhani ni stress za kukosa ajira ndizo zinazo kusumbua na unadhani kwa kusema hivyo utaishawishi serikali kufanya kilichopo kwenye akili yako ndogo hiyo ili upate nafasi.
 
Ukweli mchungu walimu wengi ni vilaza sana, watoto wengi hufaulu masomo ya science wakifundishwa mitaani na watu ambao sio walimu, walimu wengi walipata madaraja ya mwisho hata masomo wanayofundisha wengi walifeli
Na mtu asikudanganye kwamba kazi hupatikana kwa kuwadharau walipo kazini huo ni ujinga na kukosekana kwa elimu ,wewe kama unafundisha hesabu na uko mtaani usidhaninkuwasema walimu walio kufundisha ukafika hapo ndio kutakufanya nawewe upate kazi ni kujichuria tuu maana hapo ulipo kama ulisoma umepita katika mikono ya hao hao unao unao wananga ,kwanza sina hakika kwanza kama hata shule umesoma maana msomi yeyote hujua umuhimu wa mwalimu haijalishi awaje ,na kwa akili hizi utakaa sana mtaani kijana huku ukiendelea na majungu yako ya kuwa nanga walio kupa ujanja,
 
Mjamaa alitaka sifa akaparamia masomo fulani ,sasa amemaliza ameona hata tangazo la kuzusha kwa kada yake halijawahi kutokea.
am not a teacher lakini upuuzi wako sijaupenda,wewe si ndo yule mzee wa mtutu kuanzia primary mpaka chuo.Kwani hao walimu si wameandaliwa ?.leave them, I say leave them,I say leave them.Nakuambia utasugua sana bench wewe
 
Watu wengi ambao hawakusoma ualimu ndio wanaojua vizuri masomo ya hisabati, kemia na biolojia, Tatizo mfumo uliopo ndio uliwafanya wasome kozi zingine, Ukichukua watu waliosoma Engineering au Commerce wapo vizuri kwenye hesabu kuliko walimu waliosomea darasani.

Hivyo hawa walimu tulionao wa Science wengi ni vilaza sana, Fuatilia masomo ya kidato cha tano wengi hufundishwa na watu ambao hawana mpango wa ualimu na wapo vizuri, Naunga mkono serikali ikague vyeti vyao walipata nini huko sekondari, utawezaje fundisha hesabu kidato cha sita wakati ulipata herufi za mwisho darasani.
mmmmhhhhh.....admnistrator umemtoa wapi huyu
 
Nimesoma huu Uzi hadi nafsini nimehuzunika sana hivi ninavo hangaika na watoto wa maskini wezangu niwape maarifa,hivi ni nilivo kubali kufanya kazi kwenye mazingira magumu, lakini bado kuna MTU ananituka na kunikejeli kweli duniani kuna wenye akili hao mungu amewapangia kazi za kuwahudumia wenye akili wenzao
 
Hii post haikulenga msipate ajira bali ni muhimu kuangalia mfumo tunaoutumia hasa kwa walimu hawa wa science
 
Sio siri kila mtu anajua vichwa wote waliosoma PCM wanaenda engineering na wale wa PCB wanaenda udaktari.
Hivo vichwa vilitengenezwa na hao mainjinia na madaktari? Jibu kwanza hapo halafu tuendelee.
 
kwa wote nakataa sema baadhi .. mimi ni mwalimu nina one ya advance na nina A ya mats advance so hizo pumba zako ukiongea uwe umefanya utafiti.. wapo walimu ambao mtu anaata mana anaona ndo kipaji chake
 
Watu wengi ambao hawakusoma ualimu ndio wanaojua vizuri masomo ya hisabati, kemia na biolojia, Tatizo mfumo uliopo ndio uliwafanya wasome kozi zingine, Ukichukua watu waliosoma Engineering au Commerce wapo vizuri kwenye hesabu kuliko walimu waliosomea darasani.

Hivyo hawa walimu tulionao wa Science wengi ni vilaza sana, Fuatilia masomo ya kidato cha tano wengi hufundishwa na watu ambao hawana mpango wa ualimu na wapo vizuri, Naunga mkono serikali ikague vyeti vyao walipata nini huko sekondari, utawezaje fundisha hesabu kidato cha sita wakati ulipata herufi za mwisho darasani.
hata mimi unaunga mkono uhakiki wa vyeti kwa walimu. ila huu uhakiki unaofanyika sasa ni uhakiki wenye laana, wenye kulenga kuendelea kuzuia ajira za walimu. huu uhakiki usingekua wa laana kama ungefanyika mapema, na muda huu ajira zikawa zimetoka. ila kwakua wahusika ni wenye laana wanaanzisha uhakiki wa laana ili kuzuia ajira. huu ni muda wa kutoa ajira, uhakiki ungefanyika mapema.
 
Ukweli mchungu walimu wengi ni vilaza sana, watoto wengi hufaulu masomo ya science wakifundishwa mitaani na watu ambao sio walimu, walimu wengi walipata madaraja ya mwisho hata masomo wanayofundisha wengi walifeli
Waliingiaje vyuoni wakati walifeli?
Nina mashaka na uelewa wako kuhusu mfumo wa elimu tz
 
Watu wengi ambao hawakusoma ualimu ndio wanaojua vizuri masomo ya hisabati, kemia na biolojia, Tatizo mfumo uliopo ndio uliwafanya wasome kozi zingine, Ukichukua watu waliosoma Engineering au Commerce wapo vizuri kwenye hesabu kuliko walimu waliosomea darasani.

Hivyo hawa walimu tulionao wa Science wengi ni vilaza sana, Fuatilia masomo ya kidato cha tano wengi hufundishwa na watu ambao hawana mpango wa ualimu na wapo vizuri, Naunga mkono serikali ikague vyeti vyao walipata nini huko sekondari, utawezaje fundisha hesabu kidato cha sita wakati ulipata herufi za mwisho darasani.
Watu wa aina yako ni vilaza wasumbufu darasani. Walmu wamejihidi kukusaidia usipate zero ndo unakuja hapa kuwabeza.
Itafute laana ya walimu utaipata tu.
Mwl wangu nitamheshimu hadi naingia kaburini, haijalishi alikuwa na weakness kiasi gani
 
Ni nani aliyepata À mathematics au À chemistry ni mwalimu, walimu wengi ni watu waliofeli darasani, Mtu akishindwa Maisha anakimbilia kusoma ualimu apate ajira mapema
Pengine labda wapo vilaza kama unavyosema kama ilivyo kwa fani zingine na huku hawakosi! Lakini kusema wote ni vilaza hauwatendei haki!

Najua mliochaguliwa fani za uhandisi kwa bahati mbaya kwa sababu maksi zenu pengine zilikuwa zinasuasua na hamna/hamkuwa na uhakika wa kugraduate kwa sababu ya uwezo wenu mdogo mpatapo bahati za kugraduate hata kwa gentleman huwa mnasumbua sana kutaka muonekane mlikuwa vipanga kumbe kila conference ya September ni/mlikuwa common members!
Kama uligraduate angalia kozi za MT ulipata grade zipi na ujue hao madaktari na maprofesa waliokufundisha hizo kozi walisoma fani gani
Waulize geologists, meteorologist, geomaticians hizo Physics walifundishwa na wahadhiri waliosoma kozi gani?
Waulize baadhi ya Wakemia kozi za Chemistry kama hawajakutana na madaktari na maprofesa waliosoma ualimu!

Unamaanisha nini kwa watu wafuatao: Rais, waziri mkuu, waziri wa elimu na wengineo wa mlengo huo?
Logically unapogeneralize statement kwa case chache tunasema huo ni upumbavu!
 
Hii ishu ya kuajiri walimu wote ndio imetufikisha hapa, kuna wengine wengi hawajielewi mtu hesabu alipata E form Six eti aende akafundishe hesabu wakati yeye alifeli ni ujinga uliopitiliza, Bora mtume vyeti vilaza wachujwe
Vipi aliyepata E ya Physics halafu akaenda kusomea Engineering? Naye akienda kusoma hiyo engineering anabadilika anakuwa kipanga au?
 
Back
Top Bottom