Ukweli kuhusu WWE mieleka

G_real

JF-Expert Member
Aug 23, 2019
684
851
JE MIELEKA NI KWELI???

Kila kitu Duniani kina chanzo chake, kama sio chanzo basi njia ya mafanikio ya kitu fulani, Wengi tunaweza tumjue sana John Cena lakini tusimjue Jessy McMahons.

Jessy McMahons ni nan? Jina kamili anaitwa Roderick James McMahons Amezaliwa May 26, 1882 marekani, huyu ndie mwanzilishi na Mwasisi wa Mieleka (WWE), alifariki november 22 1954 akiwa na Miaka 72 Mwaka 1952 alianzisha Capitol Wresling Corporation akiwa na toots Mondts, mmiliki wa sasa wa Mieleka ni Bwana Vice Mcmahon mjukuu wa Jesy
McMachon ambaye mwaka 1968 alikuwa
mtangazaji, 1997 alikuwa mcheza mieleka
akitambulika kama mr mcmahon.

JE MIELEKA NI NINI??Wengi tumekua hatujui mieleka ni nini zaid tu imekua Mchezo hatari dunian, tukiwa tumefumbwa macho, nimejaribu kufuatilia kwa kiasi fulan nimegundua kitu kimoja duniani kuna MICHEZO NA BURUDANI, michezo lazima pawe ukweli na ushindani, lakini burudani sio lazima kuwe na ukweli, (mfano maigizo n.k) Ukiangalia maana ya Wresling (WWE) kwa kiingereza ni...

"WWE shows are not legitimate sporting contests,
but purely entertainment-based,featuring storyline- driven, scripted and choreographed matches, though they often include moves that can put performers at risk of injury if not performed correctly".

MTAZAMO WANGUU Ukijaribu kuangalia hiyo maana tunagundua kumbe
Mieleka ni mchezo wa kuigiza, hadithi za kutunga zinazofanywa jukwaani, mechi za kupangwa ili kuleta burudani kwa watazamaji, ila wakati Mwingine
inakuwa hatari, kwa sababu wanafanya uwongo kuwa ukweli, wakati mwingine huu mchezo ni hatari(Ndo maana wanasema DON'T TRY THIS AT HOME)
Imaana kuna wakati wanajisahau ndio maana wanaumizana lakini kuna adhabu na fidia au faini. Wana madokta wao na kuna chakula maalumu plus madawa wanayotumia kama steroids inayowafanya wanatuna tuna

28061608_1589873777775164_2759336406952115228_o.png.jpeg
 
Mchezo wa Mieleka ni wa Kweli.
Ila Kuna wakati wanafanya show ya just intertainment ili kutia chachu katika pambano halisi linalotarajiwa.
Mshindi wa Mkanda wa meileka analipwa pesa ndefu hadi anaponyang'anywa.
Sasa jiulizeni mzaha unafanyika vipi wakati Kuna pesa mezani ?
Kwa mfano Kuna kushindania Money in the Bank.
Yaani mshindi anawekewa kitita cha pesa mda huohuo baada ya ushindi.
Hivi unaweza kuamini umati wote ule wa Wazungu kutoa kiingilio cha kutazama Mieleka kinaingia kuangalia maigizo..!

Shindano la kugombea kupata pesa linalotokana na ghalama kubwa ya kufanya mazoezi ya Mieleka liishie kufanya maigizo..!
 
JE MIELEKA NI KWELI???

Kila kitu Duniani kina chanzo chake, kama sio chanzo basi njia ya mafanikio ya kitu fulani, Wengi tunaweza tumjue sana John Cena lakini tusimjue Jessy McMahons.

Jessy McMahons ni nan? Jina kamili anaitwa Roderick James McMahons Amezaliwa May 26, 1882 marekani, huyu ndie mwanzilishi na Mwasisi wa Mieleka (WWE), alifariki november 22 1954 akiwa na Miaka 72 Mwaka 1952 alianzisha Capitol Wresling Corporation akiwa na toots Mondts, mmiliki wa sasa wa Mieleka ni Bwana Vice Mcmahon mjukuu wa Jesy
McMachon ambaye mwaka 1968 alikuwa
mtangazaji, 1997 alikuwa mcheza mieleka
akitambulika kama mr mcmahon.

JE MIELEKA NI NINI??Wengi tumekua hatujui mieleka ni nini zaid tu imekua Mchezo hatari dunian, tukiwa tumefumbwa macho, nimejaribu kufuatilia kwa kiasi fulan nimegundua kitu kimoja duniani kuna MICHEZO NA BURUDANI, michezo lazima pawe ukweli na ushindani, lakini burudani sio lazima kuwe na ukweli, (mfano maigizo n.k) Ukiangalia maana ya Wresling (WWE) kwa kiingereza ni...

"WWE shows are not legitimate sporting contests,
but purely entertainment-based,featuring storyline- driven, scripted and choreographed matches, though they often include moves that can put performers at risk of injury if not performed correctly".

MTAZAMO WANGUU Ukijaribu kuangalia hiyo maana tunagundua kumbe
Mieleka ni mchezo wa kuigiza, hadithi za kutunga zinazofanywa jukwaani, mechi za kupangwa ili kuleta burudani kwa watazamaji, ila wakati Mwingine
inakuwa hatari, kwa sababu wanafanya uwongo kuwa ukweli, wakati mwingine huu mchezo ni hatari(Ndo maana wanasema DON'T TRY THIS AT HOME)
Imaana kuna wakati wanajisahau ndio maana wanaumizana lakini kuna adhabu na fidia au faini. Wana madokta wao na kuna chakula maalumu plus madawa wanayotumia kama steroids inayowafanya wanatuna tuna

View attachment 1191976
100%.
 
Back
Top Bottom