Mchungaji Lusekelo: Wakazi wa Saudi Arabia ndio Waarabu hawa wengine Wote ni Masalia ya makabila ya Kale Filisti, Kush nk!

johnthebaptist

JF-Expert Member
May 27, 2014
87,741
150,471
Mchungaji Lusekelo aka Mzee wa Upako amesema hapa Duniani Waarabu ni wale wa Saudi Arabia Peke yake

Hawa wengine Iraq, Palestine, Yemen, Syria, Egypt, Libya Oman, Iran nk siyo Waarabu ni Masalia ya makabila ya Kale kama Wafilisti, Wakurdi nk

Mzee wa Upako amesema Wayahudi na Waarabu ni ndugu hata Mtume Muhammad SAW alikwenda Yerusalemu ndipo akapaishwa mbinguni kupewa hizi swala 5 ambazo kimsingi zilikuwa 50

Source: Mzee wa Upako TV
 
Hata Mufti mwenyewe sijui kama anakijua hiki kitu
 
Waisrael na waarabu kwa sasa tuachane nao kidogo

Hebu tujipange changamoto ni nyingi kuliko fursa
 
Mchungaji Lusekelo aka Mzee wa Upako amesema hapa Duniani Waarabu ni wale wa Saudi Arabia Peke yake

Hawa wengine Iraq, Palestine, Yemen, Syria, Egypt, Libya Oman, Iran nk siyo Waarabu ni Masalia ya makabila ya Kale kama Wafilisti, Wakurdi nk

Mzee wa Upako amesema Wayahudi na Waarabu ni ndugu hata Mtume Muhammad SAW alikwenda Yerusalemu ndipo akapaishwa mbinguni kupewa hizi swala 5 ambazo kimsingi zilikuwa 50

Source: Mzee wa Upako TV
Usiweke maneno kwenye kinywa cha Lusekelo! Muhammad na ukristo wapi na wapi? Mnatumia vinywa vya watu kusema uongo!
 
Tungejadili tu umasikini wetu na namna ya kujinasua, haya mambo yakufutilia mambo ya watu hayatusaidii kitu.
 
Mchungaji Lusekelo aka Mzee wa Upako amesema hapa Duniani Waarabu ni wale wa Saudi Arabia Peke yake

Hawa wengine Iraq, Palestine, Yemen, Syria, Egypt, Libya Oman, Iran nk siyo Waarabu ni Masalia ya makabila ya Kale kama Wafilisti, Wakurdi nk

Mzee wa Upako amesema Wayahudi na Waarabu ni ndugu hata Mtume Muhammad SAW alikwenda Yerusalemu ndipo akapaishwa mbinguni kupewa hizi swala 5 ambazo kimsingi zilikuwa 50

Source: Mzee wa Upako TV
Huyu aendelee kuwaibia na kuwapumbaza hao kondoo wake wanaomfata kanisani mtu mbumbumbu kama huyu
 
Back
Top Bottom