Selemani said:
Nimekuelewa. Ila mbunge unachangisha wananchi wajaze ofisi yako, si uhanithi huo? Wabunge wanawatumikia wananchi and not otherwise. Suala ninalosema hapa ni kwamba Ezekiah Wenje is selfish, kwa sababu wananchi wako maskini, hizo laki moja si bora wangeweka mafuta kwenye ambulance. Wenje anakula mshahara mzito tu na marupurupu kedekede. He is just a typical bongo politician, spending so much time on insignificant details, just because they will make him popular.
Kuhusu mikataba mibovu, sio ufisadi. It is bongos penchant for mediocrity. People have misplaced values, and they do not give a sh!t. Kwani Mbowe si mpinzani, but he is as mediocre as they come. We need a fundamental change of system and attitudes, sio kubasilisha chama.
Selemani,
..Ofisi ya mbunge si mali binafsi, ni mali ya umma.
..kwa msingi huo wananchi wakichanga kuweka fanicha sidhani kama ni jambo baya.
..pia zingatia mazingira yaliyopelekea wananchi kuchangia kuweka fenicha kwenye ofisi za wabunge wa Mbeya mjini, na Mwanza mjini.
..nadhani wananchi wameonyesha kukerwa na vitendo vya wabunge waliopita ku-vandalize ofisi hizo.
..kwa upande mwingine siyo mbaya kwa mbunge kuwachangisha wananchi kwa jambo dogo kama fenicha, halafu yeye Mbunge akabeba jukumu la kuchangia masuala mengine makubwa ukizingatia kipato cha wananchi, na fuba wanalokomba wabunge.
..kuhusu mikataba mibovu, hii sasa inaonyesha ni hujuma na ufisadi wa waziwazi. siyo suala la incompetence tena. JK, Lowassa, etc walikuwepo tangu wakati wa IPTL[94,95,96], kwa msingi hawa tayari walishajifunza kutokana na makosa yao ya zamani. kwamba wanarudia makosa hayo hayo basi hiyo sasa ni makusudi na hujuma.
..naomba nikukumbushe safari ya mweka hazina wa CCM Malaysia. alivyorudi alikuwa anazungumza lugha za ajabu-ajabu. ndiyo maana naendelea kusisitiza bora kuchangiwa na wananchi kuliko matajiri na mafisadi.
..kwa hapa Tanzania attitude haziwezi kubadilika bila kuiondoa CCM madarakani. tumeshabadilisha maraisi 3 tuliye naye ni wa 4 na mambo ni yaleyale.