Saint Ivuga
JF-Expert Member
- Aug 21, 2008
- 55,030
- 59,684
source is JF and dont ask anymore about source of this story
Hapa mkuu ndio umekosea kabisaaa. Innocent Bash ana magumashi yake mengine kabisa, hana mchongo wowote na Economist.Kiranga,
According to the info I have it was not Lisa who sent January's details to The Economist. It was another January's friend, Innocent Bash who sent that info to the Economist.
Does not really matter about the validity of this story.... lakini contents za hii story za watu kuomba pesa kwa wahisani na kuishia kuzibugia... Am sure you have witnessed such a scenerio in this country of ours called Tanzania..... Full Ufisadi kila mtu anakula kwa wakati wake. Am sure you can comment on that.
Kuna rafiki yangu lawyer kwenye NGO moja hapa NY ambayo yule dada Lisa Rockefeller ni board member, amenidokeza kuhusu issue ya huyu dada na yule kijana wa Bumbuli – January Makamba. Hii issue imemkera sana huyu dada na anaichukulia serious sana. January na Lisa walikuwa na uhusiano mzuri sana ambao ulishamiri zaidi wakati alipokuwa Marekani kwenye safari na JK ya kuonana na investors na donors. Lisa pia ndiye aliye-organize na rafiki yake wa "The Economist" kuandika ile piece ya January Makamba ambayo ilikuwa na objective ya kumsaidia kukuza profile yake kwenye kampeni. Kwa Lisa, January alionekana ni mtu progressive anayependa maendeleo na quite possibly future leader wa Tanzania. Wakati Lisa alipokuja Tanzania mara ya mwisho akakuta mradi aliotolea hela nyingi kule Mbeya haujafanyika, wakati alipewa guarantee na rafiki yake January kuwa hela hiyo itatumiwa kwenye huo mradi, alikuja juu na kudai accountability. January apparently akamjia juu na kumtishia kuwa yuko Bongo asilete ukoloni wa Kimarekani. Apparently, alimpa threats nyingi zaidi na kwa sababu ya hizo threats dada Lisa alizipeleka nyumbani na familia ikapiga simu Homeland Security. Ilibidi wamarekani wa-launch formal investigation ambayo mpaka sasa inaendelea. Kuna matisho aliyoyatoa January bila kufikiria madhara yake na huyu dada akayachukulia serious na kwa hasira sana. Kumbuka yeye alikuwa anategemea appreciation huku na quite honestly sidhani kama alikuwa na mambo mengine mengi zaidi ya kusaidia. Sasa hiyo ndiyo inasemekana imemfanya Mkulu ashindwe kumpa ule uwaziri ambao kijana alikuwa ana uhakika wa kuupata. Kuna habari pia kwamba kijana January amewekwa kwenye list mbaya ya Homeland Security na itakuwa vigumu sana kusafiri huku mpaka hii issue iwe cleared.
We inaonekana una beef na January, how can we trust your words.
Nafikiri hii ni post yako ya pili unasema kitu kilekile to me it seems you are connected in one way or another, if not you can opt not to visit this thread.
Wewe acha tu. Waswahili wanasema ukishangaa ya Musa utayaona ya Firauni. Kinachovunja moyo ni ama UWT haifanyi kazi yake vizuri au Kikwete anachagua tu watu kwa kuwapenda bila kuangalia background information zao. Huyu jamaa asingeweza kutia mguu USA kwa miaka angalau kumi hivi mpaka statute of limitation kwa kesi yake iishe, lakini sasa atasafiria pasi ya kibalozi.
Lisa pia ndiye aliye-organize na rafiki yake wa "The Economist" kuandika ile piece ya January Makamba ambayo ilikuwa na objective ya kumsaidia kukuza profile yake kwenye kampeni
Nafikiri ni vyema tukapata link ya hizo taarifa zako ili tupate kuchangia vizuri.....maana hizi habari ni vyeti sana.
Mimi siwezi ku-comment mpaka nipate source za taarifa.....
Kwani umelazimishwa kukoment si uondoke uende kwenye jukwaa la mapenzi alaaaaa tutakutukana mwishowe huku ni kwenye siasa huwa hatubembelezani ukitaka changanya malapa ebo!!!Be careful (VoiceOfReason), tuhuma inatakiwa iwe na evidence ndio iweze kukamilika...
Ukishamtaja mtu kama ni mtuhumiwa, lazima ujiandae na ushahidi. Ninachotaka mimi ni kwamba, source ya hiyo taarifa iko wapi???? Elewa swali kaka, usije kuja fungwa kwa kutoelewa swali.
Hapa ni sehemu ya kuchambua mambo kwa undani, na kwa ushahidi pia. Mtu mwenye busara hawezi kuwa na right ya kuongea kama hana evidence (that is how greaters thinkers do). Naomba na wewe ufikirie kwa mapana hayo...
Tumekuambia huku ni jukwaa la siasa wewe umezoea jukwaa la mapenzi kama unataka evidence ili ukomenti hizi hapaBe careful (VoiceOfReason), tuhuma inatakiwa iwe na evidence ndio iweze kukamilika...
Ukishamtaja mtu kama ni mtuhumiwa, lazima ujiandae na ushahidi. Ninachotaka mimi ni kwamba, source ya hiyo taarifa iko wapi???? Elewa swali kaka, usije kuja fungwa kwa kutoelewa swali.
Hapa ni sehemu ya kuchambua mambo kwa undani, na kwa ushahidi pia. Mtu mwenye busara hawezi kuwa na right ya kuongea kama hana evidence (that is how greaters thinkers do). Naomba na wewe ufikirie kwa mapana hayo...
Haya masuala ya chupi jamani ni masuala binafsi ni si vizuri kulizungumzia kwa ujumla wake kama linavyozungumzwa hapa. Hatuwezi kupata jibu kamili, na labda tutahisi tu. Kuna sababu nyingi sana ambazo zinaweza kumfanya kwa siku ile tu, kutovaa hiyo chuzi. Na sababu hizo inaweza kuwa niza kibinafsi zaidi kama za kiuchumi au za kitabibu zaidi.... NAFIKIRI TU-GENERALIZE SANA
Ukikwama inabidi uombe ruhusa ya kwenda kukojoa mara mbili mblili........
Huyo Dada kwa kweli anatudanganya sisi kama watoto wadogo. Kwanza atakuwa ameshaliwa zamaniiii!!!!
We mpaka boss wako akupe gari, na yeye anapokea...ni hatua ambayo ilishaanza mbali sana huko nyuma.... Asidanganye wana JF.
Kwa kumsadia tu, na kama anataka kweli kuwa huru na usumbufu wa huyo boss wake, arudishe gari...
So January atakua kapiga deal nyingi tu zinazotoka Marekani. koz ni mbili ndo tunazijua hii Ya Lisa na Ya Malaria No more ya SUGU. I must say this, Kutakua kuna zingine nyingi tu huyu jamaa atakua Kapiga....Lakini kwa nini sisi huwa tunakula hadi tunasahau Kunawa??? kwani hata angezuga na Ongoing Project ingekuaje??? Mtu unakula kila kitu bila hata kukumbuka wenzako ambao ndiyo walengwa???????
We inaonekana una beef na January, how can we trust your words.