Utasemaje "does not really matter" wakati kuna majina ya watu yanatuhumiwa? The validity of this story does matter. Usitake ku collectivize kila kitu, kwa sababu viongozi wa Tanzania corrupt, basi tusijali kama hii story inayompaka matope January ni ya kweli au ya kutunga kwa sababu inasema viongozi wa Tanzania ni corrupt. Ridiculous.
I find the story to be totally believable, but that does not mean I don't understand the need for scrutiny so that we get the story straight. Kwa mfano, hizo habari za Lisa kulitumia "The Economist" ili kumpamba January ni kweli ama ni nakshi za usanii tu? Is "The Economist" that low ? I mean they get their stories wrong or innacurately sometimes, especially when it comes to Africa, but is it so dependent on the likes of the Rockefellers to turn into such a lousy mouthpiece ?
Kama anataka source mwambia amuombe urafiki Lisa Rockefeller Facebook aangalie beef yake na January huko, au atafute original thread, of course kuna vitu vingine itakuwa vigumu ku verify, but it's not going to be like watu wametunga kila kitu out of thin air na January hana beef na Lisa.