Da'Vinci
JF-Expert Member
- Dec 1, 2016
- 35,705
- 106,885
Mkuu hilo jeshi lilikua linaitwaje??kaka hii historia yako ni ya wapi?
Ati Africa ilikuwa haifahamiki?
Unawajua waethiopia?wahabesh- hawa walikuwa na jeshi moja matata sana na liliiteka middle east yote hadi Israeli kote huko walitembeza kichapo
Nitajie nchi na baadhi ya vita ilizopigana pia niambie lilikua chini ya mfalme nani
Mkuu naomba ujazie nyama kidogo hapa..Na inasemekana(inasemekana) kuwa lile sanduku la agano.. Moses alilopewa lenye amri kumi za Mungu.
Wahabesh walikuja nalo na lilipotelea Ethiopia.
Jinsi walivyolitwaa hili sanduku la agano aksante..