mwanadar
JF-Expert Member
- Oct 18, 2015
- 423
- 294
Da mkuu umenikumbusha maeneo flani mkoani Singida maeneo ya Itigi pale.Kuna mti flani unaitwa mmavmav sidhani kama ulikuwepo hapo bustanini vinginevyo malkia asingepumzika humo, maana harufu yake hata choo cha soko pana afadhali.