zitto junior
JF-Expert Member
- Oct 7, 2013
- 24,228
- 39,778
Wapi imeandikwa Ham alikuwa mweusi?? Na aliyemchungulia alikuwa Canaan ndio akamuita baba yake aje kuona na ndio maana laana alipewa Canaan sio Ham!!!mkuu mweusi alikuaga mtoto wa nuhu aliemchungulia baba ake....[emoji23][emoji23] ndie baba wa weusi wote