Ukweli kuhusu ufalme wa Babeli

Ukweli kuhusu ufalme wa Babeli

Huu mti nakumbuka kulikua na mtihani wa mock wa shule ya msingi
sasa kuna mwalimu kaja kutusimamia mnoko kishenzi mtihani wa kwanza kakaba hadi penati no chabo no kuibia

mtihani wa pili kuna mtu kaja na mbegu zake kazivunjia pale mbele ya darasa yule mwalimu akaingia baada ya kugundua akasema "HAPA HATA MUWEKE MAVI SITOKI MBUZI NYIE"

nilicheka mpaka hapa nacheka tu
hahahahaaa nimemecheka sanaa!!!
 
Hizi ndio maana kuna mda tubaziitaga hadith za uwongo njoo utamu kolea.ivi kwa mfano ule mnala wa baberi unavyosemekana ulianguka baada ya kushindwa kuendelea kujengwa baada ya mungu kuona wanadamu wanakaribia kumfikia akawachanganyia lugha cjui.ivi kweli mungu wa kipindi iko alikua muoga kiasi iko.vio kipindi iki watu wanaweka hadi airspace stations angani!haogopi??au zilikua story tu za danganyatoto tuitimu mafundisho tukomunike basi.me kuna mda story nyingi za biblia znanivuruga
 
Hao Babylonians,the land between the two rivers,Euphrates na Tigris,actually ruins zake zipo mpaka leo karibu kabisa na Baghdad. Hao ndio waliwateka Wayahudi. Hao ndio waliowafundisha Wayahudi banking na usury. These people invented usury,this usury which is the bane of human life.
Usury ndio nini mzee??tufafanulie
 
Usury ndio nini mzee??tufafanulie
Usury maana yake mtu anakukopeshe hela,unapomlipa unamlipa hela nyingi kuliko alizokukopesha,ukishindwa,anamchukua mke wako. Ni tatizo kubwa,hasa kama kuna vita na unataka hela za haraka. Kwa hiyo katika historia,the most interesting things have happenned kwa ajili ya matatizo ya riba.
 
ha ha ha mkuu ule mpaka ukiusaga bwana habali yake si mchezo
nakumbuka school boarding kuna mshkaji aliibiwa tomato yake si unajua tena chakula cha boading kilivyokibovu bila tomato akipandi sijui
aliupata wapi huo mmea aisee mpk tukamludishia tomato yake ndo akatuonyesha alipouficha huo mmavimmavi mana bwenini kulikuwa akulaliki
nimekumbula mbari sana aisee

Nilikuwa sitaki kuandika kitu leo humu.

Umenikumbusha kitu hapa nimechaka sana.

Siku moja nilikuwa Iringa shule ya secondari Malangali. Sasa kule ni baridi sana. Jioni mazoezini bwana. Nilikuwa na kipisi chake. Sasa tunakaa wengi pamoja tunaangalia wanaocheza mpira. Kitu jua ndio linazama. Mii taratiibu nakisugua kwenye sakafu weeeeeeeeeee balaa utasema mtu kaharisha.

Mmavimavi unanuka sana sana.
 
hiyo bustani inasemekana haikuwa inaelea kama inavyofahamika na wengi ,but ilijengwa katika muundo wa kama ngazi fulani hivi na ilikuwa ni zawadi kutoka kwa mfalme debkadnez kwenda kwa mkewe,yaani aliijenga mahususi kwa ajili ya mkewe,ilikuwa imepangiliwa vizuri mno huku ikisemekana kuwa ilikuwa na kila aina ya mmea unaoujua hapa duniani
Mpaka Dope
 
Nilikuwa sitaki kuandika kitu leo humu.

Umenikumbusha kitu hapa nimechaka sana.

Siku moja nilikuwa Iringa shule ya secondari Malangali. Sasa kule ni baridi sana. Jioni mazoezini bwana. Nilikuwa na kipisi chake. Sasa tunakaa wengi pamoja tunaangalia wanaocheza mpira. Kitu jua ndio linazama. Mii taratiibu nakisugua kwenye sakafu weeeeeeeeeee balaa utasema mtu kaharisha.

Mmavimavi unanuka sana sana.
Sipati picha mkuu vile watu walivyotawanyika kutoka eneo la tukiondoka.
 
Nilikuwa sitaki kuandika kitu leo humu.

Umenikumbusha kitu hapa nimechaka sana.

Siku moja nilikuwa Iringa shule ya secondari Malangali. Sasa kule ni baridi sana. Jioni mazoezini bwana. Nilikuwa na kipisi chake. Sasa tunakaa wengi pamoja tunaangalia wanaocheza mpira. Kitu jua ndio linazama. Mii taratiibu nakisugua kwenye sakafu weeeeeeeeeee balaa utasema mtu kaharisha.

Mmavimavi unanuka sana sana.
Aisee sipati picha vile watu walivyoondoka kwenye eneo la tukiondoka.
 
ha ha ha mkuu ule mpaka ukiusaga bwana habali yake si mchezo
nakumbuka school boarding kuna mshkaji aliibiwa tomato yake si unajua tena chakula cha boading kilivyokibovu bila tomato akipandi sijui
aliupata wapi huo mmea aisee mpk tukamludishia tomato yake ndo akatuonyesha alipouficha huo mmavimmavi mana bwenini kulikuwa akulaliki
nimekumbula mbari sana aisee
Yale yanaitwa mavunja genge... mt na matunda ni hatar na hayo maua mavi ni tofaut kabx
 
Dah jamaa wa malangali umenichekesha sana hyo miti mingi sana maeneo hayo maarufu kwa jina la vunja genge
 
soma Biblia usiwe mvivu, na ni kweli ulikuwa ufalme wenye nguvu na ulitawala dunia hadi Afrika, bustani pia ilikwepo
 
fanya tafiti. soma kwanza biblia kitabu cha mwanzo sura ya 10 story ya NUHU. kuna utukuu wa NUHU kwa ujukuu wa Kush ambae ni mtoto wa Kham. Utukuu ni Nimrod ndio mwanzilishi wa ufalme na ndio alijenga babel. Ni mweusi kama wewe. kumbuka dunia kipindi hicho kilikuwa na weusi pekee.
mkuu mweusi alikuaga mtoto wa nuhu aliemchungulia baba ake.... ndie baba wa weusi wote
 
Back
Top Bottom