Elezea walitumia vifaa gani kunyanyua hiyo mijiweHayo yamejengwa na waisraeli walipokuwa watumwa nchini Misri kwa mujibu wa biblia
Iko wazi kua huko hakuna gravity,Umejuaje kama hakuna ox....si mpaka uende ndo ujue
hata mimi sijamuelewa kwa hiyo walianza kupauwa badala ya msingi je hayo mawe ya juu force ya GRAVITATIONAL ilikuwa, usingizini?Sikubishii ulichosema ila naomba unipe uthibitisho. Yalijengwa kwa kuanzia juu kivipi? Zile Geat Piramid pale Giza, walianza kwa kuparua ardhi kuondoa udongo wa juu, ardhi yenye ukubwa sawa na viwanja sita vya mpira wa miguu. Sasa unaposema walijenga kwa kuanzia juu unamaanisha nini? Na je, ujenzi unapokuwa umeanzia juu, huwa unalifanya jengo liwe earthquake proof?
Heee huyo si jini kabisa khaaa.Kwanza hiyo fact umeipatia wapi?Watu ww zamani walikuwa na MAUMBO MAKUBWA.warefu na wenye nguvu .sio kama wa sasa..
Unaambiwa adam alikuwa na urefu wa nguzo mbili za umeme uziunganishe pamoja ndo urefu wake
Hahahaaa
Walijengaje juu kwa juu bwana mkubwa?
Hayo matofali ni kama mawe. Yanaonekana yalichongwa na kupachikwa moja baada ya lingine.
Sio kitu cha kutengeneza juu kwa juu kama LENTA.
Hakuna sayar isiyo na gravity mkuu.Iko wazi kua huko hakuna gravity,
Pyramids ni mojawapo ya maajabu yanayothibitisha uwepo wa viumbe wengine tofauti na binadamu.
Hebu fafanua kidogo kazi ya mikono yao iliwaangamiza vipi?Kwa mujibu wa history na Bible wanefili waliangamizwa kwenye bara la Atlantica ambalo mpaka Leo ni barafu .na waliangamizwa wao na Kazi za mikono yao
Kwasababu hakukuwa na technology nd swali lako? Je alieanzisha technology ya kubeba hizo tani kama kumsukuma mlevi unamchukuliaje?Tofauti IPO mkuu
Halina umuhimu wowote kwa dunia ya leo. Kama ikitokea linahitajika linaweza tengenezwa dkk 0 2 huko huko kuna haja gani ya kulibeba. Halafu kam hujui sahivi ni zama za steel ambayo imeonekan kuwa nyepesi kuliko block hivo kurahisisha hata maswala ya ujenzi. Na wanazidi kurevolutionize zaidi. Watu wanafanya vitu kwa faida sio kushindana.Ndio ni muhimu au we unahc hakuna umuhimu?
We unahisi kama kweli wameyakuta madini huko na wanaanza kutafuta jinsi ya kuchimba sio faida?Wanajisumbua tuu me naona hakuna cha maana mkuu
Lete vithibitisho kuwa hyo nd haijachakachuliwa? Halafu mtu unacriticise bible imeongea neno gani baya ambalo limeiathiri dunia? Kuwaambia watu wasiibe, wasiue, wasizini, wasiseme uongo, wapendane, wamuabudu Mungu mmoja, waheshimu baba na mama, shika sababato, usiabudu sanamu na mengine mazuri mengi uje uipe dosari kisa tu imesema kuwa pyramids walijenga waisrael chini ya utawala wa misri walipokuwa utumwani. Yani kweli binadamu Mungu atachoma aisee yani sidhani kama kutakuwa na msamaha mwepesi hivi. Halafu unakuja na mipaka waliokuchorea hao hao wazungu unataja nchi ambazo zinapakana na Misri hyo hyo. Je unajuaje kama kabla ya mkutano wa berlin ilkuwa nchi moja? Sorry kama nimeongea kwa uchungu sana na Mungu atusaidie sana tuje tuokoke huko mbinguni.Tatizo letu Waafrica hatujui historia yetu na wala hatutaki kuitafuta kuijua zaidi. Nyie mna physical evidences kwamba pyramid zipo kwenye bara lenu na sio kwamba zipo Misri tuu bali Sudan, Ethiopia, Mali na kwingineko. Tunachokijua ni ku quote biblia na kuwapa credit Waislael eti ndio walijenga. Swali dogo la kujiuliza, kwanini wajenge pyramids Africa na Sio kwao?
Jamani ebu someni kuhusu KEMET - the black land ambapo kwa sasa inaitwa Egypt. .
Kuna kabila uko Mali inaitwa DOGON hawa jamaa wana uelewa mkubwa kuhusu ulimwengu wetu na inasadikika kwamba ni kizazi cha hao mababu zetu waliojenga hizo pyramid.
Waafrica tuna historia nzuri sana ila inapumbazwa na dini na pia propaganda za wazungu kutaka kuonesha kwamba sisi ni inferior. Hii historia tunayosoma mashuleni na kwenye biblia sio ya ukweli, imechakachuliwa.
Sasa kwanini roots zenu zinawapeleka kuabudu mizimu ? Hamn maandiko matakatifu kama bible ilivoagiza? Mbona hyo Misri yenyewe ina asili ya kuabudu wafu kama hao mafarao?Kweli kabisaa Africa ni mama land historia za dunia nyingi zinaanzia Africa na naweza kusema waafrica ndio wana wa Israel halisi hao wengine wanajipendekeza tu
Kwa mambo aliyofanya binadamu mpaka sahivi pyramid haziwezi kuwa za viumbe wa tofauti. Binadamu ana uwezo sana watu wanaland kwenye mwezi.Hizo pyramid zilijengwa na annunaki
Hao viumbe walikuja duniani yapata miaka 5000 iliyopita na ndio walioleta ustaarabu duniani na kuwafunza binadamu ujuzi wa mambo mbalimbali,
Ukiangalia hayo madude utayakuta Mexico,Egypt, Peru,Indonesia na baadhi ya sehemu,
Hao viumbe walikuja duniani kutafuta madini kama dhahabu ndio maana ukienda Zimbabwe kuna machimbo ya dhahabu ya mwenemutapa ni moja kati ya maeneo ya ajabu sana utajiuliza Yale machimbo enzi hizo walitumia zana gani maana inaonesha ni uchimaji advanced uliofanyika kuliko teknolojia tuliyonayo Leo,
Pia Annunaki walipoondoka duniani kuna jamii nyingi zilianza kuwaabudu kama miungu jua,huko mexico waaztec waliamini ipo siku watakuja kurudi tena na ndio maana wakawa wanatoa sadaka za binadamu walipoona hao viumbe hawarudi maana waliamini kwa kufanya vile hao annunaki watashuka tena toka mawinguni ili wawaletee ujuzi na baraka maana enzi hizo hao viumbe waliposhuka duniani walikuja na vyombo vya anga vya kustaajabisha na zawadi mbalimbali kwa watawala wa enzi hizo,
Pia kuna kabila linaitwa Dogon lipo huko Mali pia nao mbaka Leo wanakiri na wanaamini mababu zao waliwahi tembelewa na viumbe toka sayari ya Nibiru (planet X),
Nawakafundishwa elimu kubwa sababu hao dogon walikua wanajua elimu ya nyota toka kale kuna mpelelezi alifika kwao miaka ya 1600 huko hao watu wa kabila la dogon wakamwambia dunia ni duara na jua letu lina mfumo wa sayari zaidi ya 8
Pia walimwambia kuhusu dunia kujizungusha kwenye muhimili wake,
Kiufupi hao dogon tribe ni moja ya makabila ya kale waliobakia na kumbukumbu zote kuhusu hao viumbe hata wao nyumba zao hujenga kwa mfumo wa pyramid.
Kuna mengi sana nyuma ya haya sema muda ndo hautoshi!
Mussa aliyakuta hayo maan yeye kazaliwa miaka mingi sana baada ya wenzao kupigika vya kutosha na hayo madude yalikuwa yashajengwamusa na harun waliyakuta mapiramid yameshajengwa kitambo sana,mapiramid yapo miaka 3000 kabla ya kristo musa na harun wamekuja miaka 480 kabla ya kristo juzi tu,hapo mudi alihadithiwa au alikremu vibaya
Maandiko matakatifu kwa mambo yaliyoyavumbua hakuna neno naweza nisiliamini elewa hivo aisee. Mungu hakupenda iwe vile hivo aliliharibu lile tower la babylon.ulijuaje kama uligusa mawingu?? kuna dalili zozote zinaonesha hivyo?
Kwani kila mtu anamiliki Iphone?Kwanini hawakuyajenga kwao (Israel) sasa..?