Ukweli kuhusu Pyramids

Ukweli kuhusu Pyramids

Ndo maana Vatican kuna documents za mambo mazito kama haya imeamua kuhold.

Haitaki kabisa mtu mwingine au ufalme mwingine iguse hayo mambo.

Ila hizo Pyramids hazijajengwa na kiumbe chochote kutoka sehemu zingine zaidi ya wanadamu.

Sent using Jamii Forums mobile app
Hapo ndipo nnapo anza kuelewa Masonic walikuwepo kitambo saaana
 
Mi naamini hayo ma-pyramids yamejengwa na wanadamu, tena wanadamu wa kawaida kabisa,

Maana wanefili (majitu) waliangamizwa na waisrael kule caanan, japo zilibakia mbegu chache sana kama yule Goliath mfilisti .

Nani waliojenga na kwanini walijenga?!

Bila shaka pyramids zilijengwa na wamisri (wakale) au waisrael (watumwa wao) kwa kufuatisha elimu na ufundi wa hali ya juu waliokuwa nao enzi hizo!

Walijengaje?!

Mimi naamini sikweli kwamba eti walibeba tofali moja ambalo lina uzito wa tani 2500, bali inawezekana pia hao watu waliojenga enzi hizo walijenga hayo matofali huko huko juu,

Yaani walijenga tofali juu ya tofali lingine wakiyaacha mpaka yakauke, kama vile tunavyojenga linta ya nyumba! Walienda kwa mtindo huo mpaka kumaliza pyramid zima wakifuatisha mahesabu yao na ufundi wao.

Maana tukikazania na kung'ang'ania kwamba eti walibeba tofali la tani 2500 haileti sense, hawakuwa na mitambo (winchi) wala vifaa vya kubebea, wala hawakuwa na nguvu za kuyabeba physical hayo matofali,

Bali kuna uwezekano kuwa yalijengewa huko huko juu kama tunavyojenga linta za nyumba, hilo pia linawezekana, kwanini lisiwezekane??????!!!!!
 
Me nimekuelewa chukua Pepsi ya baridi unywe,ni kweli yawezekama walitumia mfumo wa kujenga juu kwa juu jee walianzua wapi? Chini au juu?
 
Acha uongo, kipindi Waisraeli wanaenda Egypt tayari wa Egypt walikuwa na ustaarabu wao na ndiyo maana walipelekwa kama watumwa na hawakuwa na sauti pale Cairo, hivyo michoro na kila kitu lilifanywa na mabwawa wao na wao walikuwa watumwa tu pale.
Yani wwe unataka kusema wagunduzi wa mitambo ya nuclear washindwe kujenga hayo? Wenzio zamani walikuwa wanakula story na Sir God live live unashangaa hayo mambo. Mnara wa babeli ulijengwa uligusa mawingu tafuta jengo refu zaidi duniani sahv afu angalia linafika wapi?
 
Kwani sisi tunaenda kwenye moon kutafta nin..au tunapeleka vyombo mars kutafta nin mkuu...ni nature ya viumbe hai tu mkuu...wapekupeku
Sasa sisi kila siku tunaenfa Mara Mars Mara kwenye moon lakini haya tofali la block tumeshindwa kupeleka
Ndomana me naonaga hapo wanao hangaika kwenda huko wamekosa Kazi.kwani ukienda huko utagundua nn cha maana
 
Muogope sana binadamu mwenye akili akiamua kulivalia swala fulani njuga na wewe kamwe huwezi jua anataka nn na atakuficha mpaka matokeo yatoke. Hata wakati wanatoka nchi zao hao watu kuja kuexplore maeneo mengine ya dunia walionekana machizi maeneo yao ila tunashuhudia kinachoendelea mpaka sasa so we sikilizia tu may be utashuhudia au hutashuhudia kama babu zetu ambavyo hawajashuhudia.
 
Waarabu wa zamani walikuwa mapande na wana nguvu sana....binadamu wa siku hizi akibeba ka sado tu anahema
 
Sasa sisi kila siku tunaenfa Mara Mars Mara kwenye moon lakini haya tofali la block tumeshindwa kupeleka
Ndomana me naonaga hapo wanao hangaika kwenda huko wamekosa Kazi.kwani ukienda huko utagundua nn cha maana
Unataka kunambia tofali l block mars ni muhimu kuliko drone duuu
 
Halafu shida binadamu tunaishi kwa mazoea sana hivi Sayansi kwasababu tunasoma darasani basi haya mambo ni ya kawaida. Hv kweli kujenga hizo pyramid na kupeleka vyombo mwezini kuna tofautiana maajabu hapo?
 
Muogope sana binadamu mwenye akili akiamua kulivalia swala fulani njuga na wewe kamwe huwezi jua anataka nn na atakuficha mpaka matokeo yatoke. Hata wakati wanatoka nchi zao hao watu kuja kuexplore maeneo mengine ya dunia walionekana machizi maeneo yao ila tunashuhudia kinachoendelea mpaka sasa so we sikilizia tu may be utashuhudia au hutashuhudia kama babu zetu ambavyo hawajashuhudia.
Wanajisumbua tuu me naona hakuna cha maana mkuu
 
Halafu shida binadamu tunaishi kwa mazoea sana hivi Sayansi kwasababu tunasoma darasani basi haya mambo ni ya kawaida. Hv kweli kujenga hizo pyramid na kupeleka vyombo mwezini kuna tofautiana maajabu hapo?
Tofauti IPO mkuu
 
Sasa sisi kila siku tunaenfa Mara Mars Mara kwenye moon lakini haya tofali la block tumeshindwa kupeleka
Ndomana me naonaga hapo wanao hangaika kwenda huko wamekosa Kazi.kwani ukienda huko utagundua nn cha maana
Wanaoenda huko wanaproof kama kuna viumbe vilitoka huko kuja huku ndomana wanahangaika kutafta..mtu hawekez mahala pasipo na kitu shekhe..hawa wazungu wanajua what happed...na wamefanya siri
 
Maana wanefili (majitu) waliangamizwa na waisrael kule caanan, japo zilibakia mbegu chache sana kama yule Goliath mfilisti .
Mkuu wanefili waliangamizwa na Gharika na sio waisrael, alafu israel ilikua bado ilizaliwa na Yakobo mbeleni kabisa.
 
Ulaaniwe
Habari wana JF ni muda mtefu sijashiriki nanyi Ila nimerudi na suala linalo sumbua dunia kuhusu pyramids zilizoko Egypt zilijengwa na nani? Mwaka gani? Na kwasababu gani?

BAADHI YA WATU WASEMAVYO:
1. Pyramids zilijengwa na viumbe kutoka anga za juu, ambao waliwahi kuja duniani miaka 5,000 iliyopita na kuishi Mashariki ya Kati.

Mapiramidi hayo yalitumika kama mnara wa kuongozea ndege zao kuona wapi Mashariki ya Kati ilipo, wakati zikishuka kutoka anga za juu.

Viumbe hao maarufu kwa jina la Annunaki walikuja duniani na kugundua kuna madini mengi ya dhahabu na kuanza kuchimba kisha kusafi kwenda kwenye sayari yao iitwayo Nibiru.

Maana ya 'Annunaki' ni walioshuka kutoka juu, na 'Nibiru' ni sayari ipitayo yaani Crossing Planet.

Mapango yote yaliyopo duniani, ikiwemo yale ya Amboni mkoani Tanga waliyachimba wao hao Annunaki.

Baada ya viumbe hao Annunaki kuondoka kurejea kwao Nibiru, ndipo Wafalme wa Misri waliamu kuyatumia kama makaburi ya wao kuhifadhiwa humo.
Ujenzi wa pyramids ulifanyika kwa ufundi na ustadi mkubwa, kiasi kwamba mpaka sasa hakuna mtambo wa kuweza kupandisha au kunyanyua mawe yaliyotumika kujenga.

Mfano, jiwe moja lina uzito wa tani 2,500 sawa na kilo 2,500,000.
Yalijengwa kwa kuoanishwa au kuwa sanjari na yota za orion ambazo zimejipanga huko anga za juu.

View attachment 1726340

2. Ujenzi wa Pyramids ulifanyika kwa ustadi wa kulinganishwa na nyota za Orions, kama hivi.
View attachment 1726341

3. Michoro ya Pyramids sanjari na nyota za Orions. Je, mfalme au mhandisi gani wa dunia angeweza kujenga Pyramids kwa ueledi uliotumika enzi hizo?

View attachment 1726342

4. wengine wanasema hayo ni makaburi ya watawala wa zamani wa Misri yaan mafarao so kwa sasa yamebaki Kama kumbukumbu Na ni moja Kati ya vivutio vvikubwa huko Egypt hasa katika masuala ya dini.

Je,, UKWELI ni UPI juu ya hizi pyramids na ujenzi wake na Kazi yake ...?

Naomba kuwasilisha wakuu
Mkuu ulaaniwe nilijua unakuja na majibu.
 
Back
Top Bottom