Kuna uhusiano gani kati ya ufalme wa kifarao na pyramids? Kwani nyerere na Magufuli wamejenga miradi sawa?haya ni matango pori uliyolishwa na dini zenu nyie walugaluga
Pyramid ni majengo ya kale zaidi na yalikuwepo maelfu ya miaka kabla babu yenu Abram hajahama toka Uru ya wakaldayo kwenda kaanani yaani kiufupi
Abram wakati anaihama nchi yake hizo pyramid zilikua zimejengwa maelfu ya miaka hata yeye alizishangaa kama tunavyoshangaa Mimi na wewe
Maana kama umewahi soma kisa cha yeye kufika misri na kumwambia sarai ajifanye dadaake mbele ya farao ina maana zilikua zimeshajengwa muda murefu sana,
Ina maana wana wa Israel na Abraham nani alitangulia kuwepo mbaka mseme watumwa islaelist walizijenga?