Ukweli kuhusu Pyramids

Ukweli kuhusu Pyramids

Ninachoshindwa kuamini ni kwamba ayo yalijengwa na wanadamu kama sisi wa enzi izo ambako ata technologia haikuwepo, tofali moja linatani moja na lilipandoshwa juu sana,,,,

Vipimo vimetumika kwa ustadi wa juu, ayo madude yamejengwa na viumbe wengine na Sio wanadamu kwakwel
ayo = hayo
Izo = hizo
ata = hata
Nina imani umejifunza kitu!
 
Tatizo tunawafananisha binadamu wa zamani na sisi lege lege tunaoshindia chips yai, ndo maana watu wanashangaa Mfalme Suleiman kuwa na wanawake karibia elfu moja, hamuwezi jua alikuwa na uwezo wa kupiga rungu non-stop, nguvu zaidi ya simba. Wewe chukulia mtu kama Mfalme Daudi, akiwa na miaka 12 tu aliweza kupiga simba na dubu roba matata sana hadi wakatema kondoo wa baba yake aliokuwa anawachunga......sasa tofali la tani 2500 ni kitu gani kwa Daudi....Watu wa kale tukiwaona katika taswira ya binadamu wa kisasa ndo tunaona haya mambo hayawezekani...
 
Tatizo tunawafananisha binadamu wa zamani na sisi lege lege tunaoshindia chips yai, ndo maana watu wanashangaa Mfalme Suleiman kuwa na wanawake karibia elfu moja, hamuwezi jua alikuwa na uwezo wa kupiga rungu non-stop, nguvu zaidi ya simba. Wewe chukulia mtu kama Mfalme Daudi, akiwa na miaka 12 tu aliweza kupiga simba na dubu roba matata sana hadi wakatema kondoo wa baba yake aliokuwa anawachunga......sasa tofali la tani 2500 ni kitu gani kwa Daudi....Watu wa kale tukiwaona katika taswira ya binadamu wa kisasa ndo tunaona haya mambo hayawezekani...
Tani ngapi vile???? 2,500???
Hakuna mtu wa kubeba hilo tofali.
 
musa na harun waliyakuta mapiramid yameshajengwa kitambo sana,mapiramid yapo miaka 3000 kabla ya kristo musa na harun wamekuja miaka 480 kabla ya kristo juzi tu,hapo mudi alihadithiwa au alikremu vibaya
Mkuu, jiridhishe kwanza na tarehe ulizoweka hapa kabla hujaleta ubishi usio na afya. Pyramids (za misri) yalijengwa kwa namna hiyo niliyoeleza. Ni baada ya ujenzi huo na kwa maana hiyo ndo maana pyramids zilienea hata katika maeneo mengine (Sudan, Mali, Nigeria, Spain) wakiiga hizo za Egypt. Unayo nafasi kudharau au kuweka kebehi lakini huo ndo utabaki ukweli kuhusu pyramids. Nimekupa ushahidi wa wazi kabisa wa hiyo true north (Qiblah) humo ndani wakielekea ulipo msikiti wa Jerusalem (Agsa).

Wanasayansi wamefanyia utafiti vipimo vya pyramids hizo na jinsi hiyo true north ilivyowekwa wama conclude kwamba "some chapters possibly missing in human and global history that we know" na kwamba precise ya vipimo vya pyramids hizo si vya kiwango cha kawaida kwa kuzingatia na yaliyokuwa yakijulikana na wanasayansi.
 
Tulikuwa tumeenda kukata gogo..

Ila Kama kweli yalikuwa makaburi tu hakuna sababu nyengine Basi walikuwa majinga sana! Utaendaje kujenga kaburi la mtu tu halafu tofari moja tu linauzito wa tani moja..!
Kutakuwa na namna nyengine hao jamaa kina annunaki waje waseme vizuri!
Mi hata sitaki jua kwa nini walijenga ,nataka kujua waliwezaje kupandisha juu hayo matofali yenye tani kadhaa.
 
Kuna pyramids kibao hata Sudan. Unajua ukisoma story za Wazungu utaona ni mambo ya ajabu. Nenda upate story za locals ndo utajua kwamba ni mambo ya kawaida sana.
 
Unapo zungumzia pyramids za miser moja kwa moja unazumzungizia utashi ujuzi maarifa ufundi ustadi, kalama na elimu ya wana wa Israel, wao ndiyo waliojenga hayo ma pyramids naam taifa la Mwenyezi Mungu muumba wa nchi na dunia.......
Kwanini hawakuyajenga kwao (Israel) sasa..?
 
Daaa... Hii story ya mapyramids ni tamu sn..... Naendelea kujifunza zaidi na zaidi namna watu walivo critical thinkers....

Ni maaajabu makubwa na mjadala utaendelea mpaka mwisho wa dunia

Kuna mjuba mmoja kasema Adam alikua na urefu wa nguzo mbili za umeme huyo kanichekesha sn cjui kapata wapi hiyo...anyways tuendelee kudadavua
 
Mkuu, jiridhishe kwanza na tarehe ulizoweka hapa kabla hujaleta ubishi usio na afya. Pyramids (za misri) yalijengwa kwa namna hiyo niliyoeleza. Ni baada ya ujenzi huo na kwa maana hiyo ndo maana pyramids zilienea hata katika maeneo mengine (Sudan, Mali, Nigeria, Spain) wakiiga hizo za Egypt. Unayo nafasi kudharau au kuweka kebehi lakini huo ndo utabaki ukweli kuhusu pyramids. Nimekupa ushahidi wa wazi kabisa wa hiyo true north (Qiblah) humo ndani wakielekea ulipo msikiti wa Jerusalem (Agsa).

Wanasayansi wamefanyia utafiti vipimo vya pyramids hizo na jinsi hiyo true north ilivyowekwa wama conclude kwamba "some chapters possibly missing in human and global history that we know" na kwamba precise ya vipimo vya pyramids hizo si vya kiwango cha kawaida kwa kuzingatia na yaliyokuwa yakijulikana na wanasayansi.
ushahidi gani uliouweka?
 
Pyramids zimejengwa na Mussa (Moses) na ndugu yake (Haaruni). Hii ni kwa mujibu wa Quran na yalijengwa kwa command maalum (wahyi) kutoka kwake ambapo structure ya ujenzi wake imefanywa kuwezesha watu wa misri wawe wakiswali humo na kuelekea katika true north (Qiblah) kwa wakati huo kabla Qiblah hakijabadilishwa. [We inspired Moses and his brother "Settle your people in Egypt in houses and make your houses (facing the Qiblah."...10.87).

Tafsiri: Na tukampelekea Musa na ndugu yake WAHYI huu: 'Watengenezeeni majumba watu wemu katika Misri na zifanyeni nyumba zenu ndio mwahali mwa ibada...'

Tafsri kwa kiingereza na kiswahili sio nzuri sana kuelezea maana ya aya hii lakini mambo ya msingi ya kuzingatia

1. Ujenzi wa Mapyramid ulifanywa katika kipindi cha Musa na ndugu yake Haaruni kwa amri ya (ya Kihimaya) au WAHYI kutoka kwa Mungu. Hivyo teknolojia yote iliyotumika katika ujenzi wa Pyramids si wa kiuwezo wa kawaida wa kibinaadamu ila ujenzi ulifanywa na binaadamu.
2. Majumba hayo yamejengwa kwa kuyaelekeza Qiblah ya wakati huo (Masjid Aqsa) ambapo Qibla hicho ni true north ya yalipo majumba hayo. Kumbuka Qiblah hapo mwanzo haikuwa Makkah kama ilivyo sasa.
3. Lengo la majumba hayo ni makazi na kuabudia(pamoja na mambo memgine).
Mambo ni mengi ila mida hautoshi lakini kwa ufupi pyramids yamejengwa kwa mfumo huo.
haya ni matango pori uliyolishwa na dini zenu nyie walugaluga
Pyramid ni majengo ya kale zaidi na yalikuwepo maelfu ya miaka kabla babu yenu Abram hajahama toka Uru ya wakaldayo kwenda kaanani yaani kiufupi
Abram wakati anaihama nchi yake hizo pyramid zilikua zimejengwa maelfu ya miaka hata yeye alizishangaa kama tunavyoshangaa Mimi na wewe
Maana kama umewahi soma kisa cha yeye kufika misri na kumwambia sarai ajifanye dadaake mbele ya farao ina maana zilikua zimeshajengwa muda murefu sana,

Ina maana wana wa Israel na Abraham nani alitangulia kuwepo mbaka mseme watumwa islaelist walizijenga?
 
Tani ngapi vile???? 2,500???
Hakuna mtu wa kubeba hilo tofali.
Mkuu unajua lile jengo aliloangusha Samson kwa kutumia mikono yake na kuua maelfu ya wafilisti pamoja na yeye mwenyewe ni tani ngapi? Usiwatafakari hao watu kwa kutumia mawani ya kuwatazamia binadamu wa kisasa ambao hata simba akiingia mtaani kila mmoja anatafuta uvungu...
 
Pyramid..well.

Kuna nguvu ilitumika kuinua hayo mawe juu na kuyapanga. Ni hisabati za ulimwengu na taaluma za kijadi za siri. Kuna sehemu watu waliangusha ukuta tu kwa kutumia baragumu..(kama kupuliza vuvuzela tu) na ngome/ukuta ulianguka watu wakapita.

Ni hesabu tu, kuna free energy nyingi tu zimetuzunguka kila pande kila mahali. Ni namna ya kuzitumia tu ndio hesabu zilipo. Pyramid pia zilijengwa kwa kutegemea sound and wave energy. Zilipigwa ngoma sana hapo mawe yakawa yananyanyyka tu.

Pyramid kitu muhimu kabisa ni lile jiwe la juu kabisa. Ile top, kama kofia. Ile ndio jiwe kuu. Ndio limeshikilia balance ya pyramid yote. Ndio maana wengine wanasema ilianza kujengwa juu! Ndio jiwe kuu lile. Pembe zote na kuta zote za pyramids balance yake iko juu pale. Ukitoa juu pale pyramids itabomoka. Hesabu yote ya ujenzi iko pale. Ni kama utatu ukitazama picha ya pyramid. Kushoto, kulia na juu. Pale juu ndio pameshikilia kila kitu. Nguvu zote zimeunganishiwa pale.

Sasa ndio maana kuna alama zenye pembe tatu nyingi tu za vyama mbali mbali na cult symbols za namna hiyo. Na hata nyingine ile pyramid imewekewa jicho pale juu. Kwamba ndio watchers of every corner and angle. Kuona vyote na visivyoonekana.

Ndio wajenzi huru hao. Muunganiko wa nguvu zote unazojua kuzichanganya na kuzitiisha kuwa kitu kimoja. Hata wenye imani nyeusi au nyeupe kadri wanavyo practice na kuzama ndani zaidi ndio wanajikuta wanakaribia kwenye ncha hii ya pyramid.....hivyo...niishie hapa...
 
Mi naamini hayo ma-pyramids yamejengwa na wanadamu, tena wanadamu wa kawaida kabisa,

Maana wanefili (majitu) waliangamizwa na waisrael kule caanan, japo zilibakia mbegu chache sana kama yule Goliath mfilisti .


Nani waliojenga na kwanini walijenga?!

Bila shaka pyramids zilijengwa na wamisri (wakale) au waisrael (watumwa wao) kwa kufuatisha elimu na ufundi wa hali ya juu waliokuwa nao enzi hizo!

Walijengaje?!

Mimi naamini sikweli kwamba eti walibeba tofali moja ambalo lina uzito wa tani 2500, bali inawezekana pia hao watu waliojenga enzi hizo walijenga hayo matofali huko huko juu,

Yaani walijenga tofali juu ya tofali lingine wakiyaacha mpaka yakauke, kama vile tunavyojenga linta ya nyumba! Walienda kwa mtindo huo mpaka kumaliza pyramid zima wakifuatisha mahesabu yao na ufundi wao.

Maana tukikazania na kung'ang'ania kwamba eti walibeba tofali la tani 2500 haileti sense, hawakuwa na mitambo (winchi) wala vifaa vya kubebea, wala hawakuwa na nguvu za kuyabeba physical hayo matofali,

Bali kuna uwezekano kuwa yalijengewa huko huko juu kama tunavyojenga linta za nyumba, hilo pia linawezekana, kwanini lisiwezekane??????!!!!!
Hahahaaa

Walijengaje juu kwa juu bwana mkubwa?

Hayo matofali ni kama mawe. Yanaonekana yalichongwa na kupachikwa moja baada ya lingine.

Sio kitu cha kutengeneza juu kwa juu kama LENTA.
 
Back
Top Bottom