'Mzee' anakuja kuchagiza phd ya jk. Ngoja mtajionea upendo wake kwa prsdnt!
Hakuna mwenye wivu na Kikwete wewe, jibu hoja, kalifanyia nini taifa mpaka kustahili kupewa hiyo PHD?
Swali; unafiki kama angepewa hayati Mwalimu Nyerere kuna mtu hangepinga hapa jamvini?
mkandara ni pandikizi ambalo alijui alitendalo
hayo ndio maneno aliosema enzi za uhai wake sasa wewe unasema hajui alitendalo...?hapa chuo kuna maprofesa wawili tu mimi na mukandara basi wengine waliobaki hamna kitu..by late Prof. Chachage
Nimesikitishwa sana na chuo ambacho watu wamepitia wengi sana na ambao wako kwenye ngazi muhumu sana serikalini kumpa PhD Kikwete. Mambo ya kujiuliza watanzania wenzangu ni kwa nini huyu mtu anapewa hii heshima? kwa lipi hasa alilolofanya kubwa kwenye sheria na mpaka apewe PhD? Je ni kuwanyima mahakimu wa mahakama za mwanzo mazingira mazuri ya kufanya kazi? ingekuwa vizuri na inampendeza mungu ningemtukana Mkandara kwa kusukuma hili na likawezana kwa sababu yeye ndo kawekwa pale kwa maslai yake Kikwete. I hate this and I will join who will rejoice the fall of Kikwete mzalimu na fisadi mkubwa nchini Tanzania na anayepewa PhD kwa ufisadi wake wa kubaka democrasia
Wivu utakuua wewe, ameshapewa PhD ngapi na vyuo vyenye hadhi gani ulikondee la Mlimani!!
Halafu, hivi akipewa hiyo PhD mfumuko wa bei unaongezeka? Au ndo Dowans wanalipwa? Labda utanyang'anwa uraia. Najaribu kutafuta kwa nini linakugusa hivyo hili suala, hakuna sababu ya msingi kumbe ni wivu tu...
Nafikiri nyie hamjui hata maana ya PhD naona mnajisemea tu.Tatizo ni wivu. Hiyo phd aliyopewa wewe imekuadhiri vip!, asipopewa hiyo phd matatizo tuliyonayo yatakwisha?... Acheni wivu, hicho ni cheti tu, hakina maana yoyote ktk shughuli zake.
hiyo ni kawaida kwa vyuo nadhani wameona aibu kikwete kupewa phd 3 nje maana wengine wanatambua mchango wake.je wao
pia sio big deal kama mnavyogeuza hapa,mkapa ana degree ya football ya uchina unashsngaa law ya kikwete
Mkuu nahic upeo wako wa kufkiri ni mdogo sana,kuhusu mikopo ya elimu ya juu hujui kwmb ktk awamu ya kikwete ndo wanachuo wameanza kupata mikopo kwa kutenganishwa ?pia haufahamu kuwa mwaka huu vijana wengi wenye sifa hata wale wenye division one wamekosa mikopo?khs kilimo kwanza,kilimo hicho hakiwanufaishi watanzania,kinachofanyika na serikal ni kubadilisha majina nakumbuka tulikuwa na kilimo cha kufa na kupona... nchi yoyote inayofuata demokrasia lazima kuwe na uhuru wa habari...tatizo ni kwamba vyombo vyetu vya habar vimekuwa vinaminywa kuongea mazuri tu ya serikali....Nina wasiwasi na upeo wako wa kufikiri...........it seems that you are a slow thinkerhauyaoni aliyoyafanya?.
Ngoja nikutajie baadhi:
1. Ujenzi wa chuo kikuu cha dodoma.
2. Ujenzi wa shule za kata.
3. Sera ya Kilimo Kwanza na kuwawezesha wakulima.
4. Mikopo Elimu ya juu.
5. Uhuru wa Habari.
6. Uvumilivu wa kisiasa. Japo wahuni wa Chadema wanamtukana hovyo jukwaani ila amevumilia, angeamua kuwa kama Museveni pia angeweza.
N.k.
hauyaoni aliyoyafanya?.
Ngoja nikutajie baadhi:
1. Ujenzi wa chuo kikuu cha dodoma.
2. Ujenzi wa shule za kata.
3. Sera ya Kilimo Kwanza na kuwawezesha wakulima.
4. Mikopo Elimu ya juu.
5. Uhuru wa Habari.
6. Uvumilivu wa kisiasa. Japo wahuni wa Chadema wanamtukana hovyo jukwaani ila amevumilia, angeamua kuwa kama Museveni pia angeweza.
N.k.
Salim A. Salim; JK Nyerere wao walipata honorary Ph.D kutoka University za Nje ya Nchi
Huyu kaka yetu yeye anagombea zote za bongo??? na anavyosafiri nje ya nchi?
Uko sawa kabisa ndio maana wanapewa Marais kwani hawana haja ya ku-practice.