Ukweli kuhusu PHD aliyopewa kikwete!

Haya yote umekuja kumueleza nani?
yeye mwenyewe kaonesha kushangaa, au hukumwelewa?
ndo mana unaambiwa ni majungu kwa sababu ilijulikana kabla kuwa atapewa phd aliyopewa, sasa unaongea nini?
amekwambia anahitaji kuitumia?
 
Salim A. Salim; JK Nyerere wao walipata honorary Ph.D kutoka University za Nje ya Nchi

Huyu kaka yetu yeye anagombea zote za bongo??? na anavyosafiri nje ya nchi?


Siyo kweli PHD yake ya kwanza alipata nchini Uturuki.Kweli mfumo kristo unatia watu upofu.Mtakufa na vijiba vyenu vya roho.
 
Kuna mambo ya msingi ya kujadili na wala sio hiyo phd ya jk.

Topic closed.
 
Kuna mambo ya msingi ya kujadili na wala sio hiyo phd ya jk.

Mod's naombeni mfunge hii thread ili kulinda heshima ya rais wetu.
 
Mkubwa unajua maana ya CV?. Unafikiri wale wasomi wote wa Udsm ni wajinga mpaka wakubaliane kumtunukia hii Phd? This man is Capable kinachotuumiza wabongo ni wivu, majungu na zaidi ni kufuata upepo tu ili mradi umesikia mwenzako kasema na wewe unalipuka, angalia usije ukaenda kaburini bila hata certificate ya chekechekea. watu wako busy they are working hard wewe piga majungu.

Teh teh inaoneka na kikwete ndugu yako
 
Salim A. Salim; JK Nyerere wao walipata honorary Ph.D kutoka University za Nje ya Nchi

Huyu kaka yetu yeye anagombea zote za bongo??? na anavyosafiri nje ya nchi?
mkuun ni huwa anaomba kabisa kwamba nataka chuo chenu kinipe PHD ya heshima bila hivo mbona hadi sasa ni kile chuo cha sisiem tu ndo kingekua kimempa
 
Na vyuo vingi hiyo inakuwa voted ikijumlisha na votes za wanafunzi pia. Hiyo degree ina value kubwa kuliko ya kusomea. Ina weza ku taint image ya chuo husika wakiitoa bila umakini. Imagine chuo chochote kingempa degree hiyo mtu kama Ghadafi.

Haiendani na maana ya honorary degree. Ikiwa huelewi maana ya hiyo PhD soma hapa.

''An honorary degree (a degree honoris causa) (In Latin: "for the sake of the honour") is an academic degree for which a university/degree-awarding institution) award to someone as a way of honoring that person for his/her contributions to a specific field, or to society in general.

Honorary degree - Wikipedia, the free encyclopedia

Kulingana na matatizo makubwa yanayoendelea nchini na mwenendo wa utawala wa huyo bwana inakuwa vigumu kukubali kwamba anastahili heshima hiyo. Inaonekana amepewa kwa sababu za kisiasa au kuna watu wanatoa shukrani katika vyuo husika.
 
Binafsi hainisumbui JK kupata phd ya heshima.
Kimsingi mtu kupewa phd ya heshima ya sheria kama alivopewa JK,hakumfanyi mtu kuwa mwanasheria wala kupata hadhi hiyo-hata kama ukipewa phd 200!

Kwa mfano,hauwezi kupractice wala kufanya bar exam uwe wakili wala kwenda law school..wala huwezi kufanya shuguli za aina yoyote za kisheria.
U need an earned LLB(1st law degree obtained from a recognised institution) to do that!
An honorary phd doesn‘t make u a lawyer!
Kwa uungwana kabisa aliwauliza waliompa phd hiyo hajawahi kusoma sheria degree hiyo ya nini/ Kwa heshima watu wazima wakikutunuku kitu si busara kukataa. weka thread za faida kwa watanzania wa kawaida. siasa za maji taka zimekwisha hamna cha kuandika sasa.
 
Siyo kweli PHD yake ya kwanza alipata nchini Uturuki.Kweli mfumo kristo unatia watu upofu.Mtakufa na vijiba vyenu vya roho.
sio turkey tu alipopewa honoraria, alipata Kenya egaton univ, Alaska USa walimpa phd. haijalishi. what is phd? mbona bill gates hana lakini kifaa?tunapoteza muda kusoma ujinga. watu wenye akili finyu hujadili watu inaboa
 
Mm nashauri UDSM wampatie honorary degree Professor Maji marefu MP, huyu hana hata STD 7 certificate ila kawa mbunge na ni mchawi, so ningeomba wamfikirie degree ya bureeee, thanx
Nakubaliana na wewe Mr Pesidaa,apewe kwa kudumisha ulozi na ugaguzi. Itakuwa PHD ya aina yake duniani.
 
Mr Kikwete ni Mtu kama sisi, ila kama si halali kwake kupata hiyo tuzo kulingana na Uadilifu wake kwa Taifa hili, tusimlaumu, ila Wanafiki hapa na Wanaojipendekeza kwake ni Uongozi wa Chuo - wakina Mukandara na Vibaraka wake waliompima na kumpa hiyo PHD.
Hongera Mr Kikwete kwa PHD, Mi nakutakia kazi njema.
 
Back
Top Bottom