Uncle Jei Jei
JF-Expert Member
- Jan 7, 2011
- 1,684
- 2,157
Haiendani na maana ya honorary degree. Ikiwa huelewi maana ya hiyo PhD soma hapa.
''An honorary degree (a degree honoris causa) (In Latin: "for the sake of the honour") is an academic degree for which a university/degree-awarding institution) award to someone as a way of honoring that person for his/her contributions to a specific field, or to society in general.
Honorary degree - Wikipedia, the free encyclopedia
Kulingana na matatizo makubwa yanayoendelea nchini na mwenendo wa utawala wa huyo bwana inakuwa vigumu kukubali kwamba anastahili heshima hiyo. Inaonekana amepewa kwa sababu za kisiasa au kuna watu wanatoa shukrani katika vyuo husika.
naungana na wewe kwa asilimia zote! Nawashangaa wanaotoka watokako na kuanza kutetea huu upunguani wa Wasomi wa Kitanzania!