Ukweli kuhusu ndege za Serikali

Ukweli kuhusu ndege za Serikali

Wapinzani mnapokosa mambo ya msingi ya kujadili mnakuwa vituko sana. kwa hiyo unalinganisha makampuni ya Bakhresa ambayo yanatafuta faida kubwa na taasisi za serikali ambazo ni kwa ajili ya kutoa huduma?
Aisee,HUNA AKILI WEWE. ATCL inafanya biashara.

Alafu unakuta na wewe unategemewa kama baba wa familia kabisaa na jinsi usivyo na akili kichwani mwako.
 
Kwa upeo wako wa mtindio wa ubongo unajiona unaakili saana kuliko rais wa nchi? Usafiri ni usafiri tu kwa nchi kubwa kama Tanzania lazima tuwe na usafiri wa anga kwa kukidhi angalau soko la ndani tu inatosha hata tusipofanya international flight. Kwa akili zako za kipimbi tutegemee barabara tu kusafiri? Usafiri wa anga lazima ukidhi vigezo vya kimataifa kwahiyo ubora na hadhi ya ndege zetu ni sawasawa na ubora na hadhi za ndege zoote za kimataifa.

Hatukununua ndege kwa kuangalia faida ya moja kwa moja bali kuboresha mazingira rafiki ya uwekezaji, utalii n.k. Ulishawahi kujiuliza gharama za kujenga mtandao wa barabara za lami nchini gharama yake kiasi gani? Gharama ya kilometa moja ya barabara ni bilioni moja kwa wastani zidisha mara kilometers za Barbara zoote utapata matrilion ya hela mbona hamhoji hizo gharama ambazo in zaidi mara ngapi ya gharama za kununua ndege? Mleta uzi na Tundu Lissu ni vibaraka wa Mabeberu! Kwa hayo ndo yanakutosha kulingana na akili zako ndogo maana nikichambua zaidi hutanielewa!
hebu nenda shule tena ukasome somo la uchumi.

Muda mwingine haya mambo ya uchumi muwe mnaacha kama hamyajui aisee.
 
Pablo Blanco,

Hivi wanasiasa wetu ni watu wa namna gani?

Kwenye manifest ya CHADEMA kuelekea uchaguzi 2015 walizungumzia azma ya serikali itakayoundwa na CHADEMA kufufua shirika la ATC kwa kununua ndege mpya.

Leo hii wakubwa hao hao wanabeza utekelezaji wa suala hilo hilo na Rais Magufuli halafu ni hao hao pia walipinga sana serikali kuzuia makenikia na wakitahadharisha kuwa TZ inawekushtakiwa na mashirika hayo ya kimataifa na mwishowe itabidi mlipa kodi ndiyo abebe mzigo huo. Leo matokeo yake wote tumeyaona. Sasa tumuamini nani? Wale ambao kila kitu wanaponda au wale ambao hutekeleza kwa vitendo?

Nadhani ifike wakati wanasiasa watafakari hayo wanayotuambia kwani inafika wakati wanajidhalilisha ni bora watafute mada nyingine za kutudanganya.
MBONA MAGUFULI WAKATI WA KAMPENI ALISISITIZA LAZIMA KILA MWANAFUNZI APATE MKOPO.

KISHA AKAJA KUSEMA SIO LAZIMA KILA MTU APATE MKOPO PUNDE TU ALIPOPATA URAISI.
 
Mkuu, usilidhalilishe shirika letu la ndege. Nalo liko kibiashara, si kihuduma. Unapochangia mada kama hizi, jiulize mara mbilimbili kabla ya kuandika. Kwahiyo, kwako wewe, ndege za ATCL zinatoa huduma kama ilivyo kwa shule, zahanati na mabomba? Bure kabisa wewe!
Kuna watu ukisoma michango yao,unaona kuna tatizo kubwa sana ama la shule/vyuo vyetu,afya ya akili au umasikini unaosababisha watu kukosa "critical thinking & reasoning".
 
Cha kujiuliza n kua mlikua wap kuandka nyuzi za kuonya serikal kampuni ya ndege lilivokua linafirisika siku had siku had kufaaa kabisa?
Mlikua wap wakati viwanda vinakufa kimoja baada ya kingine?

Mlikua wap wakat kampuni ya tren inakufa??
Leo mnaona kiongozi anafufua sector moja moja mnaanza kubwabwaja?? Mwenye akili atakua anaelewa hapa

Hilo bunge halikuwepo tangu JKN had viwanda vikaanza kufa, shirika la ndege la umma linakufa na reli zinabaki historia... Lilifanya nn??

Leo unakuja kuongelea viwanda vya bakhresa unafikir vilikua vinajiendesha?!
Kama hivi vya pamba yamebaki magofu tu ivo kama vya bakhresa je??
Je, zina faida gani economically?

Hizi hela ni zaidi ya mtaji wa viwanda vya Bakhresa. Angalia impact ya viwanda vya Bhakresa na ndege za Magufuli in terms of mzunguko wa hela, ajira na services. Watalii hawawezi wakaacha kupanda ndege za makampuni makubwa yenye muda mrefu kwenye biashara pamoja na usalama wa uhakika waje wapande ndege za Magufuli.

By the way, hata hayo makampuni makubwa yanapata hasara na biashara ya ndege si biashara ya kutegemea kujenga uchumi. Je, Bunge limepitisha manunuzi ya ndege saba?

Hivi unaachaje kuwekeza kwenye kilimo, madini, elimu, gesi,maji, umeme then unaenda kuwekeza kwenye ndege kwa taifa changa kama hili ambalo watoto hawana madawati na hospitali mama wajawazito wanalala chini?

Hapo hatujagusa demokrasia na ukiukwaji wa haki za binadamu. Huu uongozi umechafua sana picha ya taifa hili; this is one of the worst leaderships. By the way, kila chenye mwanzo kina mwisho, walikuwepo wakina Mobutu, wapo wapi now? Tusibiri muda wake utafika tu.

View attachment 1250571
 
Wapinzani mnapokosa mambo ya msingi ya kujadili mnakuwa vituko sana. kwa hiyo unalinganisha makampuni ya Bakhresa ambayo yanatafuta faida kubwa na taasisi za serikali ambazo ni kwa ajili ya kutoa huduma?
kama nia ni kutoa huduma mbona wanalipa pesa kama nauli. mpuuzi wewe nenda pale lugalo hospital na mwili wa marehemu wambie wauhifadhi na kuufanyia service zote serikali ya ccm italipa UONE KAMA HUTAAMBIWA ONDOKA NAO
 
Cha kujiuliza n kua mlikua wap kuandka nyuzi za kuonya serikal kampuni ya ndege lilivokua linafirisika siku had siku had kufaaa kabisa?
Mlikua wap wakati viwanda vinakufa kimoja baada ya kingine?

Mlikua wap wakat kampuni ya tren inakufa??
Leo mnaona kiongozi anafufua sector moja moja mnaanza kubwabwaja?? Mwenye akili atakua anaelewa hapa

Hilo bunge halikuwepo tangu JKN had viwanda vikaanza kufa, shirika la ndege la umma linakufa na reli zinabaki historia... Lilifanya nn??

Leo unakuja kuongelea viwanda vya bakhresa unafikir vilikua vinajiendesha?!
Kama hivi vya pamba yamebaki magofu tu ivo kama vya bakhresa je??
Wewe ulikuwa wapi wakati magufuli anauza NYUMBA ZA UMMA ZINAUZWA KWA HAWARA
 
Kwahiyo unataka nchi iendeshwe kama kiwanda cha mtu binafsi? Nitajie Nchi moja iliyo uchumi wa kati ambayo haina shirika la ndege.

Ati hawa ndio wapinzani!
America gains shirika la ndege UK British airways serikali ina wamiliki 5% tu
 
Wapinzani mnapokosa mambo ya msingi ya kujadili mnakuwa vituko sana. kwa hiyo unalinganisha makampuni ya Bakhresa ambayo yanatafuta faida kubwa na taasisi za serikali ambazo ni kwa ajili ya kutoa huduma?
Akili za CCM hoyee!!
Kwa hiyo ATCL siyo business oriented?
Kama hujui jambo kaa kimya ufiche upumbavu wako....
 
Kwahiyo unataka nchi iendeshwe kama kiwanda cha mtu binafsi? Nitajie Nchi moja iliyo uchumi wa kati ambayo haina shirika la ndege.

Ati hawa ndio wapinzani!
Hoja iko hapa kwamba hizi Ndege manunuzi yake yanapitishwa Bungeni?
 
Samahani mkuu! Denge nazo hutoa HUDUMA kumbeee!!
Wapinzani mnapokosa mambo ya msingi ya kujadili mnakuwa vituko sana. kwa hiyo unalinganisha makampuni ya Bakhresa ambayo yanatafuta faida kubwa na taasisi za serikali ambazo ni kwa ajili ya kutoa huduma?
 
Neno Uzalendo limebadili maana siyo ile tunayoijua. Kwa mfano hapa Tanzania hakuna mtu amepigania haki za madini kutoka kwa wawekezaji kushinda Tundu Lissu. Halafu Meko anasema Tundu Lissu siyo mzalendo auliwe. Ridiculous!!

Wanaijiita wazalendo ndiyo akina Bashite, Meko na Ole Sabaya wakati kazi yao ni kujitajirisha kwa fedha za unyang'anyi wa wazi wazi.
Watu wa kujimwambafy kwa kuwaonea wapinzani ndiyo sasa hujiita wazalendo
 
MBONA MAGUFULI WAKATI WA KAMPENI ALISISITIZA LAZIMA KILA MWANAFUNZI APATE MKOPO.

KISHA AKAJA KUSEMA SIO LAZIMA KILA MTU APATE MKOPO PUNDE TU ALIPOPATA URAISI.
Bukoba aliwasimanga juu ya tetemeko la Ardhi
 
MBONA MAGUFULI WAKATI WA KAMPENI ALISISITIZA LAZIMA KILA MWANAFUNZI APATE MKOPO.

KISHA AKAJA KUSEMA SIO LAZIMA KILA MTU APATE MKOPO PUNDE TU ALIPOPATA URAISI.
Hata wakati anawinda pesa za makinikia alisema atagawa Noah kwa kila Mtanzania
 
Kwanini wananchi wengi wanafurahi ndege tofauti na wanaokosoa.

Kwasababu hao wengi hawaelewi athari za kuwekeza katika miradi isiyo kuwa na tija!! JIWE anaogopa hata kuonesha audited accounts za ATCL kwa vile kununua ndege kwa mtindo wake ni uwekezaji wa kichefuchefu!!! Muda si mrefu wataanza kuficha sura zao pale gharama za uendeshaji zitakapozidi mapato!!! Kwanini hamuangalii performance ya mashirika mengine ya ndege kabla ya kujitumbukiza kununua aina hizi za ndege kwa pupa? Kitu gani kinawashinikiza mfanye maamuzi ya aina hii?Shirika kuendesha Dreamliner sio mchezo!!!

Sidhani hata hiyo strategic plan ya ATCL kama inashauri ndege zinunuliwe kiholela bila kuwa na uwiano na performance ya hizo zilizotangulia kununuliwa!!! Kama busara na weledi na sio pupa kutumika, tungeona shirika la ndege likianza safari za kimataifa baada ya kujihakikishia kulitawala solo la abiria la ndani.
 
Wapinzani mnapokosa mambo ya msingi ya kujadili mnakuwa vituko sana. kwa hiyo unalinganisha makampuni ya Bakhresa ambayo yanatafuta faida kubwa na taasisi za serikali ambazo ni kwa ajili ya kutoa huduma?
Ndege nilizipinga Kitambo sana kwamba hakuna haja ya kununua Madege Kwa Mkupuo,
 
Mkuu, usilidhalilishe shirika letu la ndege. Nalo liko kibiashara, si kihuduma. Unapochangia mada kama hizi, jiulize mara mbilimbili kabla ya kuandika. Kwahiyo, kwako wewe, ndege za ATCL zinatoa huduma kama ilivyo kwa shule, zahanati na mabomba? Bure kabisa wewe!
Yawezekana huyu ni mmojawapo wa washauri wa hii kitu.
 
Back
Top Bottom